mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
Jamaa ni messi wa hili jukwaa. Ni kama useme anajua kila kitu
kiukweli nimeshindwa kuona suali alionshindwa huyu jamaa
Jamaa ni messi wa hili jukwaa. Ni kama useme anajua kila kitu
Hata mimi naunga mkono hoja isipokuwa neno moja kwake, anapewa likes tu kwanini yeye hatowi likes? hajawahi kupendezwa na hoja ya mwana jukwaa yeyote? Hebu fikiri juu ya hilo Chief-Mkwawa
may sound rude lakini hakuna anaelazimisha mtu kulike au kutolike, au kuchangia au kutochangia. Labda ndo style yake
jamaa ana moyo wa kusaidia. sana.
Vipi nikimuomba mkwanja atanisaidia...hii sikukuu imenijia vibaya sana.
Hata mimi naunga mkono hoja isipokuwa neno moja kwake, anapewa likes tu kwanini yeye hatowi likes? hajawahi kupendezwa na hoja ya mwana jukwaa yeyote? Hebu fikiri juu ya hilo Chief-Mkwawa
Nenda kweny setting mkuu...kweny controls kuna optiona ya kutumia keyboard au joystick(pad)..jamani naombe msaada wenu wadau nina pes 2014 na pes 2015 lakini zote ninapoconect pad hazichez ninatumia key board tu sijui nifanyaje nisaidieni jinsi ya kuweza kuchezea pad kwenye pes
jamani naombe msaada wenu wadau nina pes 2014 na pes 2015 lakini zote ninapoconect pad hazichez ninatumia key board tu sijui nifanyaje nisaidieni jinsi ya kuweza kuchezea pad kwenye pes