Chief Mkwawa ana mchango mkubwa

Chief Mkwawa ana mchango mkubwa

hongera zake. Ila napenda kumshauri awe anatembelea na majukwaa mengineyo.
 
Hakika kama kuna MTU hamkubari huyu jamaa, atakuwa hana unasaba na hili jukwaa. BIg up Chief umetufanya hata sisi tusio na uhusiano na mambo ya technology tuonekane wakari Kwa kucopy kutoka kwako.
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa bana anastahilo ongezi za kutosha inatakiwa huu uzi uvunje record ya likes pamoja na coment kibao kutokana na mchango wake mkubwa hapa ndani, salute to HIM
 
angefaa sana kuwa waziri wa wizara ile ya teknolojia badala ya yule kichwa nazi aliyeko

mmh!, kwa siasa hizi za majitaka za kibongo,watu kama Chief-Mkwawa wabaki tu kutumia utaalam wao kusaidia watu hapa JF na kwingineko,nina hakika heshima yao itaendelea kudumu na kutambuliwa kuliko kuingia kichwa kichwa ktk siasa za tz ili uwe mbunge/waziri.siasa zimechangia sana kuuwa vipawa na akili za wataaalm/wasomi wa nchi hii.

jikumbushe yaliyo wakumba akina prof.muhongo,tido muhando na TBC alipo toka tu BBC,nguli wa sheria Dr masumbuko lamwai na wengineo ambao kwa sasa hawasikiki tena.wamepotweza.

namshauri chief,kwa alipo fikia,afikirie kuacha kutumia nickname ya "chief mkwawa" ,badala yake atumie jina lake halisi,itamuongezea heshima,fursa,kuaminika na hatimaye kupata deal nyingi nje ya JF.mda mwingine fake ID tunazotumia JF zinatukosesha fursa bila sisi wenyewe kujua.nazungumzia kwa sisi ambao tuna vision ya kufanya jambo kubwa la kimaendeleo kwa siku za usoni.it's has been said,online users with real ID appear more professional and accountable in their conversations.
so chief, it's just an advice,you can take it or leave it.pamoja kaka.
 
Chief-mkwawa na Mwl.RCT..si wachoyo wa kushea kile wakijuacho! Binafsi nimefunguka mambo mengi kupitia wao..na wengine pia..ni vizuri mtu akifanya jambo zuri kuthamini mchango wake...#LEARN TO APPRECIATE#
 
Si kwamba anajua sana ila ana moyo wa upendo,wakat mwingne anajibiwa vbaya lakn anaendelea kuelewesha,uliza chochote jamaa atajibu,big up bro
 
huyu ni kama MziziMkavu kule JF Doctor, wanajitoa sana kwakweli, wanatumia knowledge yao kusaidia wengine. God Bless you! Sio kama watu wengine wao wakiingia JF wanafikiria malumbano ya kisiasa tu mda wote
 
Last edited by a moderator:
huu ni miongoni mwa uzi umaotakiwa kuwa sticky .. mahususi kwa ajili ya kuwaonesha jamaa zetu tunautambua mchango wao katika jukwaa hili..
long live Chief-Mkwawa
mwl-rct
cybertec
na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Ubarikiwe sasa Chief Mkwawa!! wewe ni Jembe hapa JF,,, Bado sijaona wakufanana na wewe hapa JF,,, We ndo Star wangu JF,,
 
That's why always I say kweli hapa ni THE HOME OF GREAT THINKERS, na ma-GREAT THINKERS km akina Chief-Mkwawa na mwl-rct na wengineo wanapoishi roho yenu nzuri ya kushare infos na watu wengne kweli Mungu awazidishie mahala pale mnapotoa kwakua hata maandiko yanasema ni heri kutoa kuliko kupokea kwakua kutoa kunaleta baraka zaidi!! May God bless u live loong JF
 
Last edited by a moderator:
huu ni miongoni mwa uzi umaotakiwa kuwa sticky .. mahususi kwa ajili ya kuwaonesha jamaa zetu tunautambua mchango wao katika jukwaa hili..
long live Chief-Mkwawa
mwl-rct
cybertec
na wengineo

wapambanishwe ili tujiridhishe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom