Yeye ngada inampenda zaidi ila kama ana nia ya dhati ataacha.Jamaa gemu bado lilikuwa lina muhitaji uyu
Kichwa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeye ngada inampenda zaidi ila kama ana nia ya dhati ataacha.
Kachana na pumzi ya kutosha, kasauti tu kamenywea kidogo. Apige gym na kutafuna yai bichi sana voice inarudiThis guy has talent. I wonder what went wrong akaingia huko kwenye unga. Apone na arudi katika hali yake. For those wanaojua real mcs, huyu ni one of them.......
Ndio tetesi zilizopo weye umeona wapi mwezi mmoja tiba iwe imekamilika yaani labda ilikuwa maralia sio uraibu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona naskia alitoroka huko bwagaroho
Big brothers on the way to sober house bagamoyoooo. Kipindi cha kwenda kupata matibabu. Chid is still the best hiphop artist I've ever seen.
Hip hop sijui kwa nini haipo juu......Pina na Chid wamenikumbusha kipindi cha 2000