I nearly cried baada ya kuona hii clip na kuona chid anapoelekea.....ila kiukweli Chidy ndio basi nina experience na wavuta Unga Chidy hawezi rudi kawaida.....nimekuwa na Langa long time akitumia dawa Dom hawaachagi.Daaaahh chid is still the best.!! Mshkaji badi yumo in there, Mungu amfanyie wepesi inshallah
Kwa tunaojua amefree bars chache za mwishoni ila mwanzoni ni verse hiyo ingawa bado ni mkali sana.He knows how to freestyle asee kala kaachwa mbali