JoesonJosephat
Senior Member
- May 29, 2016
- 124
- 58
Unajua wimbo wewe auAcheni mambo yenu kila kitu mnaponda tu...wimbo uko poa sana...Bg up chidi...usiwasikilize hao wanao kunanga kwani nisawa na wapinga maendeleo.
Unajua wimbo wewe auAcheni mambo yenu kila kitu mnaponda tu...wimbo uko poa sana...Bg up chidi...usiwasikilize hao wanao kunanga kwani nisawa na wapinga maendeleo.
ona sasa!! unamfananisha chidi na nay...kweli?? hahahahah hayaChid hawezi kuludi kwenye game akashika tena sahivi tunae ney wa mitego
aysee hakuna ngoma ya Chid nnayoielewa kama NATUBU...hivi ile beat alinyonga nani?ni boniluv ama?Beat haijampendeza Chid, Babu tale na Fella likija swala la Hip Hop wawashirikishe producers wengine, sababu Shirko na Laizer hawawezi hii midundo, chek hii ngoma na ile ya Getu tararira, mbaya sababu ya beats
Beat haijampendeza Chid, Babu tale na Fella likija swala la Hip Hop wawashirikishe producers wengine, sababu Shirko na Laizer hawawezi hii midundo, chek hii ngoma na ile ya Getu tararira, mbaya sababu ya beats
Mmh! Kweli we ni Madam Mwajuma
Like serious???Chid hawezi kuludi kwenye game akashika tena sahivi tunae ney wa mitego
Hahahahh we kweli screpa mkuukama vile mibange bado iko kichwani
Mashaalah akiwa na mzee yusuph ni ndo naikubaliaysee hakuna ngoma ya Chid nnayoielewa kama NATUBU...hivi ile beat alinyonga nani?ni boniluv ama?