Chid Benz: Wasanii wengi wanatumia cocaine, mimi nilikuwa natumia madawa ya bei rahisi sana

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472

Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya Heroin na Cocaine.
 
Madawa yes yana grade zake!

Kuna watu smart, matajiri, wanasiasa ,wasanii n.k wanatumia ile grade nzuri ya juu ,,,, wanatumia kwa viwango pia, sio kubwia tu!

Hawa wanaosiz na kutoa udenda wanatumia ile grade ya mwishoni ama tuite makapi,,,, lishe mbovu pia hakuna viwango/vipimo maaulumu!
 
Hakuna kutumia kwa viwango kwenye unga hususan Cocaine, ukianza kutumia kutumia utakuwa unapanda tu viwango vya matumizi.

Acha hadithi za mitaani, kaa mbali na madawa
 
Madawa yes yana grade zake!

Kuna watu smart, matajiri, wanasiasa ,wasanii n.k wanatumia ile grade nzuri ya juu ,,,, wanatumia kwa viwango pia, sio kubwia tu!

Hawa wanaosiz na kutoa udenda wanatumia ile grade ya mwishoni ama tuite makapi,,,, lishe mbovu pia hakuna viwango/vipimo maaulumu!
Madawa ni madawa tu
Hata hiyo grade ya just sijui inayotoka
Colombia unavuta na itakuja tu kukuchukua
Kuna wale wanaovuta na Kuna wale wanao sniff...
Finally ndy mtu anamua kujipiga sindano kwenye mishipa mtu akifika level hiyo kuchomoka huwa ni ngumu

Ova
 
Madawa yes yana grade zake!

Kuna watu smart, matajiri, wanasiasa ,wasanii n.k wanatumia ile grade nzuri ya juu ,,,, wanatumia kwa viwango pia, sio kubwia tu!

Hawa wanaosiz na kutoa udenda wanatumia ile grade ya mwishoni ama tuite makapi,,,, lishe mbovu pia hakuna viwango/vipimo maaulumu!
Usijidanganye Unga ni unga tu haina grade ukiwa unavuta utachakaa utakeusitake, kwa Justin bieber anatumia makapi? Ila yuko vipi? Vipi wewe mwenzangu na mimi.
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya mtu anayetumia madawa ya kulevya; na mtu anayependa kujichua, anayependa kubet, kushinda instagram/facebook/tiktok/jamii forums 24/7, anayependa sana pombe, anayependa sana totoz, anayependa kushabikia mpira wa miguu, anayeshabikia ccm, nk.
 
Back
Top Bottom