Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
hivi kila anayeondoka bila kuaga huwa anaweza kurekodiwa??Kwenye hiko kipindi cha tv kama wataonyesha jinsi alivyokuwa anaondoka italeta majibu sahihi
I would expect kwamba anayeondoka kwa kuaga ndio rahisi kurekodi anavyoondoka