CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Mke wa mtu alikutwa akisoma ujumbe wa simu aliotumiwa na mpenzi wake wa nje.
Ghafla mwanamke huyo akajikuta akitokwa na machozi baada ya mpenzi wake wa nje kumwambia kuwa mapenzi yao yamefika kikomo.
Baada ya kumuona mkewe analia,mume alishituka kidogo na kutaka kujua kulikoni?
Mumewe akamuuliza nani kakutumia meseji?
MKE:dada.
MUME:inasemaje?
MKE:Ananielekeza jinsi ya kupika pilau.
MUME:sasa mbona unalia?
MKE:si nimefika sehemu ya kukata vitunguu!!
Teh teh teh teh teh!!