Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Umeandika vizuri ila hapo kwenye 'utamu wa h...' sijakuelewa kabisa, halafu nakufikiria vingine kabisa...
Usilolijua sawa na usiku wa giza, lisikuharibie siku kwa kutaka kujua maana yake. Lishapita hilo lipuuzie tuu....
Kufikiri ni haja ya kila mnena. ....... ukiacha kufikiri ujue ushahama duniani .......