Chezea msamaha weye!

Chezea msamaha weye!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
1470510094357.jpg
 
Hahahahahahhahaaaa

Yaani asili iko tangu udogo. ... tuko hivyo. Hapo huyo kaschana sio tuu amenuna bali amedeka na anasubiria abembelezwe sana yawezekana aendelee kubembeleza siku nzima

Hakuna raha na utamu wadada tuipatayo kama kubembelezwa tena kwa maneno mazuri na sauti nzuri ya kubembeleza bila kuchoka.
Ila haufikii utamu wa hogo heheh.
 
Ila wewe binti au dada una majaribu sana, Leo Jpili hebu kasali kwanza halafu baadaye ndio tujadili jinsi unavyopenda utamu wa "hogo"
 
Kwani huwa inaliwa? We kiboko!
 
Nitakunyoosha kumbe unapenda sana
 
Ila wewe binti au dada una majaribu sana, Leo Jpili hebu kasali kwanza halafu baadaye ndio tujadili jinsi unavyopenda utamu wa "hogo"

Ibada ya kwanza ishaisha na nshatoka kanisani.
Nimekujaribu na kipi tena kaka?

Nachojua utamu wa hogo hauna maelezo wala kipimo
 
Basi tu,yaani si unajua na mimi ni mmiliki wa hogo!! Ndio hivyo tena wewe kulionja langu si haramu naamini!!
 
Hahahahahahhahaaaa

Yaani asili iko tangu udogo. ... tuko hivyo. Hapo huyo kaschana sio tuu amenuna bali amedeka na anasubiria abembelezwe sana yawezekana aendelee kubembeleza siku nzima

Hakuna raha na utamu wadada tuipatayo kama kubembelezwa tena kwa maneno mazuri na sauti nzuri ya kubembeleza bila kuchoka.
Ila haufikii utamu wa hogo heheh.

Umeandika vizuri ila hapo kwenye 'utamu wa h...' sijakuelewa kabisa, halafu nakufikiria vingine kabisa...
 
Back
Top Bottom