Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,636
- 112,473
Mkuu ebu ngoja niiweke hivi.....
Kwanza lazima ukumbuke kwamba starehe zako ndizo zilizo pelekea kupata ujauzito na hata mtoto kuzaliwa. Hivyo basi, ugomvi wako/chuki na mzazi mwenzako zisiwe chanzo ama sababu ya mtoto kukosa haki ya kuitwa jina la mama/mama yake.
Sasa, kama wewe uligombana na mzazi mwenzio basi isiwe ndio sababu ya kuwataka RITA wabadili sheria kwasababu zenu.
Kumbuka kwamba kuwajibika kwa mzazi ni wajibu kisheria, hivyo basi ikiwa mnatofauti nivyema ukaenda kupata msaada kwenye moja ya vyombo vya sheria husika.