Sio kwenye uislam tu, Nchi nyingi tu wanahiyo option sababu dunia inabadilika. Zamani cases za single parent ilikuwa ni chache Sana lakini Sasa ni nyingi na ni kawaida kuona single parent. Kwahiyo lazima Sheria zibadilike kutokana na hali iliyopo.Hili swali lako linawezekana kupata majibu yake kwenye Uislam pekee tena kwa mtoto wa nje ya ndoa! Kwani kwenye Uislam mtoto wa nje ya ndoa huchukua ubin kwa mama yake au ubin wa Abdullah.
Mwanamke anayekataa kumpa mtoto jina la baba yake ujue baba alikuwa sahihi kabisa kutimka yaani huyo lazima atakuwa ni janga in waiting.Kwani kaka hujui sisi binadamu ni vigeugeu. Mnaweza kuwa mnapendana Sana lakini wiki baadae mnakuwa maadui na hapo tayari mwanamke ni mjamzito au mnamtoto.
Swala la ubin wa baba sio swala linalomhusu mama bali ni haki ya mtoto.Unapomnyima mtoto haki ya kujua ubini wake kwa upande wa baba kwa sababu ya matatizo yako na mwenzio unakuwa umechanganya zaidi.Sio kwenye uislam tu, Nchi nyingi tu wanahiyo option sababu dunia inabadilika. Zamani cases za single parent ilikuwa ni chache Sana lakini Sasa ni nyingi na ni kawaida kuona single parent. Kwahiyo lazima Sheria zibadilike kutokana na hali iliyopo
Sio wanapenda kutowapa majina ya baba zao Ila ni sababu zinawaforce kufanya hivyo. Why umpe mtoto jina la baba ambaye hajali kama anamtoto na hana msaada? ukiwa responsible na unampa mtoto kipaumbele hata Kama mmeachana na mwenza wako hapo mama lazima akujumuishe kwenye jina.Mwanamke anayekataa kumpa mtoto jina la baba yake ujue baba alikuwa sahihi kabisa kutimka yaani huyo lazima atakuwa ni janga in waiting.
Ila unajua kwamba kutokumpa jina hakubadilishi wala kumasidia mtoto.sana sana kunakufanya wewe ujisikie vizuri baada ya kukataliwaSio wanapenda kutowapa majina ya baba zao Ila ni sababu zinawaforce kufanya hivyo. Why umpe mtoto jina la baba ambaye hajali kama anamtoto na hana msaada? ukiwa responsible na unampa mtoto kipaumbele hata Kama mmeachana na mwenza wako hapo mama lazima akujumuishe kwenye jina.
Kutompa mtoto jina la baba goes to deadbeats ambao hawana msaada na hawajali mtoto yani mama ndio everything, one man army.
Kama tuliogombana ni sisi mbona Sasa mtoto anatekelezwa, Kwani na yeye aligombana na mtoto?Acha kumnyima mtoto haki ya kutumia jina la baba yake
Kama nyie mmegombana NI nyie sio mtoto
Huo NI ubinafsi was hali ya juu
Kama unataka mtoto was peke yako jipe mimba
Hivi wewe hata Kama baba yako hajakulea halafu uwe mkubwa huwezi kutamani kumfahamu baba yako?Mkuu shida inakuja kuwa in future unakuwa huna Uhuru na mtoto lazima baba documents zake zihitajike na ukute hamna mawasiliano lakini ukiwa single parent yeye anajulikana hayuko kwenye maisha ya mtoto. Mfano unaenda kuomba passport ama visa ya mtoto, uhamiaji na ubalozi kote watataka consent letter kutoka kwa baba kuthibitisha anakubaliana mtoto asafiri.
Ndio hvo sasa na majina yenu hatuwapi watoto mnabaki sperm donor tu.Sasa kama alitaka uzae kwa nini akatae mtoto. We ulijilengesha kisha ukataka mimba halafu ukaleta dharau akakubwaga.
Wewe lazima umetelekeza watoto, sasa jifariji ukose bond ya mtoto Kama baba mond hubaki kulalamika tuIla unajua kwamba kutokumpa jina hakubadilishi wala kumasidia mtoto. Sana sana kunakufanya wewe ujisikie vizuri baada ya kukataliwa
Siku nikirudi kumchukua mtoto natengeneza kingine kipya nakihakiki mpaka RITAMimi ukikimbiq mtoto naandika ubin wa babangu au ndugu yangu wowote wa kiume.
Hili wazoumelitoa kwenye epsode ya tamthilia ile ya Kihindi?Mkuu shida inakuja kuwa in future unakuwa huna Uhuru na mtoto lazima baba documents zake zihitajike na ukute hamna mawasiliano lakini ukiwa single parent yeye anajulikana hayuko kwenye maisha ya mtoto. Mfano unaenda kuomba passport ama visa ya mtoto, uhamiaji na ubalozi kote watataka consent letter kutoka kwa baba kuthibitisha anakubaliana mtoto asafiri.
Shangaa wewe ndo ilivyoKuna watu wanakataa mimba,kwa hiyo ajazwe alichokikataa. halafu kama umekimbia mimba itakuwaje lazima
mkuu hapa tunajiuliza KWA NINI sio JINSI GANIHili swali lako linawezekana kupata majibu yake kwenye Uislam pekee tena kwa mtoto wa nje ya ndoa! Kwani kwenye Uislam mtoto wa nje ya ndoa huchukua ubin kwa mama yake au ubin wa Abdullah.
Hiyo option ni ya majina tu sio lazima awe aliyetia mimba. akiamua hata anaweza kumuita mwanaye Hassan Tundu LissuShangaa wewe ndo ilivyo
Lazima wazazi wawili wawepo hakunaga option ya mzazi mmoja
Sijasema mtoto asimfahamu baba, Kama akiwa mkubwa 18+ na akauliza kuhusu baba yake ataonyeshwa na maamuzi ni yake kuweka ukaribu nae au la.Hivi wewe hata Kama baba yako hajakulea halafu uwe mkubwa huwezi kutamani kumfahamu baba yako?
Halafu mama yako anasema sitaki umjue baba yako kwa sababu tuligombana
Hiyo sio haki hata kidogo
Muache mtoto aje amkane baba yake yeye mwenyewe atakapofikisha a a miaka 18
Watoto wengi Sana wanaumizwa Sana na wazazi wanaowaandika majina ya ubini ya wajomba zao au Babu zaopale wanapokuwa wakubwaMimi ukikimbiq mtoto naandika ubin wa babangu au ndugu yangu wowote wa kiume