cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,703
[emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa mfano tu huoHii kauli haijakaa vyema. Mbona umenilenga mimi? Kumbuka hapa huniongelei mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa mfano tu huoHii kauli haijakaa vyema. Mbona umenilenga mimi? Kumbuka hapa huniongelei mimi.
Sasa unanitolea mfano as if mimi ndio nimekutundika kibendi! We Cariha wewe [emoji39][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa mfano tu huo
Hujaelewa, Hoja ni kuwa mama awe na maamuzi ikiwa baba ambaye kamtekeleza mtoto awekwe kwenye cheti Cha kuzaliwa au lah. Sio Rita walazimishe eti ni lazima awekwe wakati baba kawatekeleza Hana msaada wowote. Kumbuka kuwa mzazi sio kuzalisha tu Bali kutekeleza majukumu kama baba/mamaTanzania bado hawapandikizi Watoto hivyo Watoto wengi huzaliwa kutokana na urutubishaji wa Baba na Mama kwa mantiki hiyo basi RITA hawawezi kuweka chaguo la Mzazi mmoja.
Hujaelewa, Hoja ni kuwa mama awe na maamuzi ikiwa baba ambaye kamtekeleza mtoto awekwe kwenye cheti Cha kuzaliwa au lah. Sio Rita walazimishe eti ni lazima awekwe wakati baba kawatekeleza Hana msaada wowote. Kumbuka kuwa mzazi sio kuzalisha tu Bali kutekeleza majukumu kama baba/mama
Na hayo unaosema wa kupandikiza kwenye cheti Cha kuzaliwa wazazi watawekwa wote ikiwa wanandoa wameamua kutafuta mtoto kwa njia hiyo kutokana na matatizo ya uzazi wanayoyapitia.
Suala linalozungumzwa hapa ni kwa wale wanaotekeleza Watoto, mama awe na maamuzi juu ya cheti Cha kuzaliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] na mtu akinitundika akimbie atanitambua aisee, aache chata nzuri hvo, huyo lazima arudi kwa machoziSasa unanitolea mfano as if mimi ndio nimekutundika kibendi! We Cariha wewe [emoji39]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
That's why hili limeletwa hapa. Rita inabidi waliangalie Hilo, Sheria itungwe Option ya single parent iwekwe. Nchi nyingi tu wanafanya hivyo sio kitu kipya.Nawe hujanielewa, kumtelekeza Mtoto hiyo ni kesi/kazi ya Ustawi wa Jamii kulishughulikia sio RITA na sio wajibu wa RITA kufahamu wala kuingilia faragha (mnaishije= hiyo ni faragha yenu kwa mujibu wa Katiba) wao huandikisha Mzazi mwenza yaani Baba au Mama wa Mtoto.
Yaani wewe bwana kwa kuzingatia mrejesho wangu wa kwanza . Hakuna Mzazi wa Mtoto anaejitungisha Mimba na wala Tanzania hatupandikizi Watoto hivyo hakuna kinachoitwa " Single parent"That's why hili limeletwa hapa. Rita inabidi waliangalie Hilo, Sheria itungwe Option ya single parent iwekwe. Nchi nyingi tu wanafanya hivyo sio kitu kipya.
Shida ya wabongo tukishaamini kitu we think ndivyo kilivyo kamwe hakiwezi badilika. SadYaani wewe bwana kwa kuzingatia mrejesho wangu wa kwanza . Hakuna Mzazi wa Mtoto anaejitungisha Mimba na wala Tanzania hatupandikizi Watoto hivyo hakuna kinachoitwa " Single parent"
Kwa hiyo Rita watakuwa na uwezo wa kujua kuwa alibakwa, roho mtakatifu au chipsi?Sasa kama ulikubali amwage ndani ulitegemea nini hiyo option inatakiwa kutumika kwa waliopata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu au kubakwa ila kwa wale waliotanua miguu kisa chips & soda lazima waweke majina ya sperm donors wao.
Unajua my dear watu wengine unaweza kuwaona kama wana akili ila ni wapumbavu kupita maelezo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo Rita watakuwa na uwezo wa kujua kuwa alibakwa, roho mtakatifu au chipsi?
Biologically hakuna mtoto anaezaliwa bila Baba kuhusika, so wacha indelee kua tu hivyo hivyo ilivyo.Habari zenu wakuu,
Kwenye suala la cheti cha kuzaliwa hapa Tanzania ni lazima sehemu ya wazazi wa mtoto Baba na Mama majina yao yawekwe. Hili linaleta ugumu kwa single parent ambapo unalazimishwa kumuweka mtu ambaye hana msaada na wewe tangu ujauzito na wala hakusaidii chochote na ukute hajawahi kumuona huyo mtoto tangu azaliwe.
Rita inabidi mliangalie hili, isiwe ni lazima majina ya wazazi wote wawili wawepo kwenye cheti cha kuzalia. Kuwe na option ya mzazi mmoja Kama single parent, sio kulazimisha majina ya baba eti kama humuweki baba wa mtoto weka baba yako au kaka ilimradi ile nafasi ya baba mtoto isiwe wazi.
Nchi za wenzetu hata hapo Kenya tu wanafanya hili, baadae kama baba atarudi na mama ataridhia mtoto atumie jina la baba, wanarudisha cheti na kuongeza jina la baba.
Na hii pia inaleta matatizo in future utakuta documents za baba zinahitajika just because jina lake liko kwenye cheti Cha kuzaliwa na hapo utakuta hamna mawasiliano. Lakini ukiwa single parent wanajua baba hayuko kwenye maisha ya mtoto. Eg uende kuapply passport au visa uhamiaji na ubalozi kote watataka consent letter kutoka kwa baba kuthibitisha anakubaliana mtoto asafiri.
Kuwa mzazi sio kuzalisha/kuzaa tu, Lazima Kama mzazi ubebe majukumu yako. Iwe mko pamoja au mmeachana na mzazi mwenzako, Watoto lazima wapewe kipaumbele.
Rita msilazimishe watu kuwa mababa kwa kuweka majina yao kwenye cheti Cha kuzaliwa wakati hata hajui sura ya mtoto. Sheria ibadilishwe, Option ya single parent inahitajika.
EwaaaaaSasa kama ulikubali amwage ndani ulitegemea nini hiyo option inatakiwa kutumika kwa waliopata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu au kubakwa ila kwa wale waliotanua miguu kisa chips & soda lazima waweke majina ya sperm donors wao.
Hahahaha, Mkuu twenzetu kijijini. Kama unaitaka Mali utazipata shambaniMiaka ya karibuni ni kama kumekuwa na ushindani wa wanawake na wanaume. Its like their entire existence (men and women) imekuwa ni kuprove who is better
Ila hii naamini sio outlook njema kwa future of humanity. Division of labor ni kitu kizuri na kinaendelea kuwa vital hata kwa ustawi wa jamii zetu.
Women are caretakers.. it doesn't matter how humbling that profession seems to many.. but its Noble and very important. Men were providers you go out you work you bring home.
Shida inaanza wanaume na wanawake (both) wanapoamua kutokuheshimu uwepo wa wengine.. few men stopped providing, women stoped caring.. here we are..
Even now, hatujajifunza.. tunataka kuendelea kuvutana that's why tunajadiliana this post. This is not treating the problem.. it's just making a hole deeper..
If i was affluent enough.. my wife will stay home like a queen she should be. And I will go out to battle and bring home like a King I have to be. Shida women don't wanna stay home and raise kids they wanna work..to what end!?
Lakini when kids don't have parents aound they grow to become a menace to the society.. hiki hatutakubali kamwe ila ndio.ukweli. familia zinakufa kwakuwa tunataka maisha ya TV and can't face reality.
Grena twende Kijijini, buy a farm, raise our kids quietly.. mambo ya usasa mwingi na tuyaache mjini 🙂
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app