Tatizo mnataka kutuchapa viboko kupitia migongo ya watoto. Mlaaniwe akinamama wa siku hiziUnadhani kuwa mzazi ni kuweza kuzaa/kuzalisha tu?? Kuwa mzazi ni kuwa responsible for your kids haijalishi mko pamoja au mmeachana na mzazi mwenzako Watoto lazima uwape kipaumbele. sio unazalisha huko halafu unatekeleza Watoto then unajiita Baba. Hapo ni sperm donor tu