Usinene kwa hasira
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 391
- 435
MSIZAE KWA KUPEWA MIMBA, NENDENI MKAPANDIKIZWE MBEGU
Japo kuna wanaume wapumbavu Ila Wanawake wengine wana roho mbaya sana. Mawazo gani haya sasa ya kumyima baba haki yake?
Kuna baba wa mtoto alishapigania nafasi ya kuwa na mwanae na hajawahi kupewa nafasi ya kumuona na mtoto anaambiwa baba yako alikutelekeza. Sasa hilo limama likipewa nafasi ya kuandika jina moja ndo damu ya mtoto inapotea moja kwa moja.