CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
Good evidence!
Morning ubavu wangu charminglady leo nimeamka mapeeema, si unajua leo ndo sikku ya kuja kujitambulisha rasmi kwa wazazi wazaa chema...
Morning ubavu wangu charminglady leo nimeamka mapeeema, si unajua leo ndo sikku ya kuja kujitambulisha rasmi kwa wazazi wazaa chema...
Utaendaje wakati kamati haijakupa baraka au unakiuka makubaliano.
Kkwetu pazuriii tumewakumbuka dada changanyaradi na kaka mutosikisi mafurupanyabuku kwetu pazuriii tumewakumbuuuuka acheni kuaibisha familia yenu jamani
Mwanasheria hapo pana cheti kweli cheti cha namba 666 mi hapa mniambie jamaa ni mhunzi huru.
alilialiiiiiiiiiiiiiililiii asu asu asu asu jaman my shosti hatmae maana watu wanajua kuzikaanga mbuyu
ucjali kipenzi, mambo yako poa wangu!
ma mkubwa suala la kuja kujitambulisha kwetu halihusiani na kamati tafadhali. . .
kwanza inabidi muithibitishie mahakama kwa nini mlibadilisha majina yenu halisi sa hv unajiita charminglady ilhali uliitwa na wazazi wako changanyaradi,na kaka yako anajiita mtoto6 ilhali anaitwa mutosisikii na baba yenu anaitwa mzee mafurupanyabuku,,nyie watoto mliozaliwa kipindi cha jakaya mna tabu sana nyie.
Rutashoborwa wewwe sio mtanzania kwanza,uliingiaingia tu kutokea korea kusini,,kajisalimishe mahakamani urudishwe kama ni mkimbizi wa kisiasa useme mapemaaa.
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa