idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,423
1.6B ni pesa ya kawaida sana kwa consultant, tena kwa mradi mkubwa kama ule wa IPTL.I
Kwa hiyo watumishi wpanakipwa 1.6 bilion au? Usiache tukakutusi bure...Hongera kumtetea maana hata kunguru hutembea pamoja lakini huwezi kuta njiwa akaruka na mwewe....