Andrew Chenge ni best friend wa Lowassa, msishangae siku Lowassa akishinda Urais akaja kuwa Mwanasheria mkuu tena au waziri wa sheria???
They're both fisadis!
Mjanja hatafuti fedha kwa njia za wizi labda Tapeli.
chenge hajaiba. alifanya 'consultancy' kwenye huo mradi.
Report ya BAE kuhusu Rada walisema pia wale waliohusika kwa TZ nao washitakiwe,Consultantion fee ya Bilioni moja nucta 6?
unashangaa hiyo? nenda PSPF, NSSF uone watu wanavyolipwa fee kubwa. consultation ni kazi ghali sana!
una matatizo ya akili!!? consultant gani utamlipa 100,000. kwenye mradi mkubwa kama wa IPTL.Labda Consultation fee ya magumashi,consultation fee zinajulikana bei zake wengine wanachaji laki moja kwa saa ila kama za magumashi inawezekana,kuna kipindi ilitokea kashfa ya ubadhilifu wa fedha ambao hiyo wizara iiandika kwamba gari inatumia mfauta ya kihasi kadhaa ambayo ukipiga mahesabu ni sawa na hiyo gari ilikuwa inatembea 600km kwa siku wakati gari ni ya hapa hapa dar.
unatafuta kwa kuwaibia watanzania maskini kama hawa - hiyo ni Laana!!Yaah ndo mfano wa mwanaume mtaftaji... sio kushinda jf kupiga kelele na kulalamika kama mwanamke kutwa nzima. Acheni wanaume watafte pesa, kama mmechagua kushinda kwenye keyboard kutwa nzima, mnalalamikia nini wanaume wenzenu wasaka pesa? Dunia hii nani asiyetaka pesa za kumhakikishia maisha ya kesho.
PASCO (alisema tanzania ni shamba la bibi.)
una matatizo ya akili!!? consultant gani utamlipa 100,000. kwenye mradi mkubwa kama wa IPTL.