Chenge: Mimi ni nyoka mwenye makengeza msaka pesa

Chenge: Mimi ni nyoka mwenye makengeza msaka pesa

Andrew Chenge kahusika katika mission zote za kifisadi zilizoliingizia taifa hasara kubwa sana.

Lakini mpaka sasa hakuna Rais alieweza kumchukulia hatua,wala hakuna chombo chochote kilochoweza kumchukulia hatua yoyote.

Leo kwenye ripoti ya pili ya mchanga wa madini katajwa tena kuhusika moja kwa moja kwenye kusaini mikataba ya ovyo lakini Mh Rais ajafungua kinywa chake na kumuongelea Andrew Chenge.


Uyu ndie Chenge "FISADI MKUU"
58a95ecfcc3f9ed7fc951025b3aaa9ff.jpg
Yawezekana ndie master wao....
 
Nimeamini kila lenye mwanzo lina mwisho,huyo Mzee joka la makengeza ndio wakati muafaka kabisa wa kulipa madhambi yote aliyotendea watanzania.

Ushauri wangu kwake atubu dhambi zote kwani dalili za kifo zimeanza kujionyesha waziwazi.

Akishalipa madhambi yote anaondoka duniani hilo ni jambo la kawaida kwa wadhulumaji wote duniani.

Pay back my dear friend then die in peace!!!
 
Nakumbuka nikiwa mdogo, mwalimu wangu wa shule ya msingi aliniaminisha kuwa chenge ni MTU safi
Nikiwa darasa la tatu tulipata ugeni wa mheshimiwa Chenge tulimtungia nyimbo na kuimba mbele zake mfano wa wimbo "
Karibu baba mh chenge ,mwanasheria mkuu wa serikali yetu, kwa watanzania nani asiye kujua kwa ujasiri wako utendaji wa kazi nchi za nje jina lako limesifika kwa ujasiri wako utendaji wa kazi" tukiwa na na vipenzi vya kaki tumefua na kunyosha siku hiyo wanaume wenye base tnaitika
"Uchaguzi mwaka 2005 tnakuomba baba usisite kuchukua form kiti cha uraisi "
Nacheka pia naumia mwalimu wangu alivompa sifa chenge[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
nimekiongea hiko
kuna uzi umefunguliwa kwenye jukwaa la elimu unaonesha lawama za walimu dhidi ya serikali
wao wamekuwa wa kwanza kuwaaminisha hata watoto wanaowafundisha kuwa ccm ndo kwenye utukufu
walimu ndo watu wa kwanza kulaumiwa hapa nchini kwa kuwabeba na kuwalea mafisadi
 
Nimekumbuka mbali sana wimbo huu na nakusudia kuomba msaada wa kisheria
Kule shule tuliimba naapa hivi mbele ya chama mapinduzi nitakulinda mpaka kufaaa!!
Sijaelewa jamani naumia nikikumbuka huu wimbo sijui kwanini wimbo ule haukuwa na maana
 
umenkumbusha mbal sana nkwa darasa pil wilayan kyela, 2lpata ugen wa mh. Mwakyembe, shughul yake na maandaliz ya kumpokea huyu bwana ctaa nisahau, ujio wake aliambatana Mateo Qares mkuu wa mkoa wa mbeya wakat uo. mwez mzma 2naanda nymbo za kuwapokea nakumbuka kiitikio kilikua "baba mateo, baba mwakyembe" bez ndo 2likua 2naitikia ivo. Walm na wanakijij wanatetemeka, MATEO alifoka sana cku ile baada ya kuona mazngra machaf pale shulen cjui yuko wap uyu bwana, hawa jamaa wameheshimwa sana walkua mungu wadogo, mkuu wa mkoa na wilaya walkua n mung wadogo. ktendo cha hawa jamaa kuanza kupngwa na kutukanwa na ishara mbaya sana kwa upande ule wa kjana 2likuepo wakat uo tunaelewa hil
 
Hahaa mwakembe alikuja pala milambo miaka flani ivi tupo kwenye misuli Mara kengele kaongea kama kawa mpenda sifa katoa soda KWA wanafunzi woote na walimu walikula chao bia ...akatoa ahadi ya kurekebisha mabweni mpaka Leo sijui kama alitekeleza...afu alisema vita thidi ya mafisadi inabidi ujitoe Mara nkaja sikia makinikia ya mabehewa mabovuu
 
Mimi nakumbuka nikiwa form five mwalimu wa zamu alitulazimisha kulima barabara ili mwenge upite...... Halafu siku ya mwenge tulipangwa barabarani na kuanza kuimba kwa kuusifia huku tukila vumbi la kutosha......
 
Sasa hivi ndo kilichobaki, sasa Change fanya dili ukamatwe upelekwe Mahakamani na kesho utaona Zito Kabwe, chadema mpaka Tundu Lisu ataamshwa Wodini kuja kukutea halafu baada ya hapo jina lako litakuwa jeupe kama theluji, kama vile la Lowasa, Nyalandu, Tido Co.!

Ila usisahau kupiga picha na Mbowe kwanza ili wakuamini, ...
 
Chenge ni mwansheria na alikuwa anajua mitego yote ya kisheria wakati akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali!

labda achukuliwe ahifadhiwe 'eneo salama' kwa miezi 6 kwa uhujumu uchumi then DPP aseme 'hana nia' ya kuendelea na kesi
 
Sasa hivi ndo kilichobaki, sasa Change fanya dili ukamatwe upelekwe Mahakamani na kesho utaona Zito Kabwe, chadema mpaka Tundu Lisu ataamshwa huko kukutea halafu baada ya hapo jina lako litakuwa jeupe kama theluji, kama vile la Lowasa, Nyalandu, Tido Co.!

Ila usisahau kupiga picha na Mbowe kwanza ili wakuamini, ...
Wewe una kitu chachage marehemu alikiita "collective incimbilization" u..nga wa kihalaiki.
 
Sheria ( Ya Havard ) + Ndumba + Pesa = HAGUSIKI

[HASHTAG]#PoleTidoMuhando[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom