Chenge: Mimi ni nyoka mwenye makengeza msaka pesa

Huyu mdogo wangu ndiyo wale waliyo tayari kutoa uhai wa ALBINO ili apate pesa.Nina wasiwasi hata huyo anayemteta haishi kwenda kwa waganga wa jadi kujitengeneza.

Mkuu kwani umesahau Chenge huyu huyu alionekana kwenye camera kule bungeni akinyunyizia unga unga kwenye viti vya wabunge wenzie..? Na vile vile aliwatoa kafara kwa kuwagonga wanawake wawili na kisha akaachiliwa na mahakama..? Hawa ndo kweli wanaoshiriki kwenye kadhia hii ya aibu ya kuwaua wenzetu wenye ulemavu wa ngozi..
 
Umeona eh.Ndiyo vijana wetu wanawatetea mwa nguvu zote.Huyu ambaye hata shetani atamkataa
 
Huyu mheshimiwa wako alitaka kushtakiwa huko uingereza serikali ya CCM ikakataa.Kama hujii kitu uliza.Unayemtetea hata kama mzazi wako sifa yake ya kwanza ni Ushirikina huyu alifumaniwa Bunge I akimwaga mmadawa.Sifa ya pili siyo tu mwizi ni Jambazi lililokubuhu.Sifa yake nyingine ni fisadi na muongo.Pole kama ni nduguyo.
shigongo amekuharibu!
 
Uliyesoma QT ni wewe maana huna akili hata chembe.Mpumbavu kweli kweli wewe.Pesa siyo kil kitu, watu kMa nyie mnapumbazwa na vijisenti vichache na mnasalimisha UTU wenu.Mdogo wangu kama umefika chuo kikuu basi nakusikitikia sana maana miaka yote hiyo umejifunza KUSOMA NA KUANDIKA TU.Pole sana na kionea huruma kizazi chako.Sina tusi zaidi la kukupa maana umeshanionesha u kijana wa aina gani.Ninamuonea huruma Mwananmke mwenzangu aliyekuleata DUNIANI.Mtoto aliyempta si riziki.

Ni kweli naamini sasa elimu itolewayo leo si elimu ni ujinga.
hahahah!!! hata kuandika hujui, maskini, unatia huruma! kuna laana inakufuatilia tangu kizazi chako cha 10000000 kabla, na usipofanya hima itaendelea kwa vizazi vyako vyote hata mwisho wa nyakati. jitahidi sana watoto wako wasiwe kama wewe. utahira, ujinga, ushenzi, umbumbumbu, vimejaza ubongo wako. badilika, jadili mambo ya msingi sasa, sio kushinda JF kujibu-jibu tu bila akili. pesa ishalipwa haitarudi kamwe, hata uandike kiasi ya kujaza 'server' ya JF. nyamb*f!
 
Utayatatua vipi wakati wamejiundia genge la ujambazi kufisadi nchi..? Wamekamata mihimili yote.. Halafu bado wana sympathisers huku uraiani kama wewe wanaotetea ujinga..
wewe utasaidia vipi!!? umekaa nyuma ya computer kupiga domo tu. nyamb*f!
 
Una uhakika kama ninapiga domo tu..? Endelea kujidanganya na kuwatetea hao wezi wenzio.. Siku sio nyingi mtatafuta pa kukimbilia..
 
Chenge anaswa na Ndumba, oh sorry kumbe Chege
 
Nothing last forever
Kulikuwa na kiongozi mmoja wa Romania jeuri kupita huyu Nyoka,alikuwa na ulinzi na kikosi cha wauwaji na akiogopewa kupita maelezo lakini siku yake ilipofika it just took not more the two hours walimhukumu.
 
hahahah!!! hata kuandika hujui, maskini, unatia huruma! kuna laana inakufuatilia tangu kizazi chako cha 10000000 kabla, na usipofanya hima itaendelea kwa vizazi vyako vyote hata mwisho wa nyakati. jitahidi sana watoto wako wasiwe kama wewe. utahira, ujinga, ushenzi, umbumbumbu, vimejaza ubongo wako. badilika, jadili mambo ya msingi sasa, sio kushinda JF kujibu-jibu tu bila akili. pesa ishalipwa haitarudi kamwe, hata uandike kiasi ya kujaza 'server' ya JF. nyamb*f!

kwanza kabisa nyambafu ni wewe mwenyewe na huyo fisaxi chenge anayekuweka mjini..Kizazi hange ni chenye baraka sana za muumba aliyeniweka duniani.Amenipa elimu inagoyosha kupata mkate wangu wa kila siku na kazi ya maana kwa halali bila kuiba au kupokea rushwa.Wala sitegemsi mafisadi kuniweka mjini espe ially wale ambao cedha zao zinazotokana nq wizi wa mali za umma, ufisadi, rushwa na ushirikinq ambavyo vyote ni ttaits za Mzee wako Chenge.Na kwa uhakika kabisa mzee huyu siyo tu ni fisadi bqli ni shetani ambaye kwa namna moja ama nyingine yawezekana nqye ni mnunjaji wa viungo vya ... kwa ajili ya kupata ubunge na kufanya aogopwe.

Pole kama ni baba yako basi unababa mwwnye laana mpaka ya shetani, stupid boy unadhani matusi hatujui.? Wewe ni kati ya wale vijana watakao laani siku na mwanamke aliyemzaa.
 
fisaxi ni nini!!? matokeo ya QT hayo, pole sana mamaa! kwa hiyo hapo unaona umetuka weeee. laana ni mbaya jamani, ptuuuh!!!! kabla ya ku-post kagua basi uone umeandika nini, hujui kabisa kuandika na hii inatokana na laana uliyo nayo.
 
Acha dharau wewe. Kuwa na nidhamu hata kiduchu.
 
Unajua mliosoma QT ni watoto wadogo kama wewe.Mie siijui hata hiyo QT inaonekanaje.Ndiyo maana nilikwambia toka mwanzo angalia usije ukawa unatukana weeeeeeeeee halafu humjui hata mtu unayemtukana mwisho unabaki unaisema hali yako mwenyewe;
!.Umesoma shule za QT ndiyo maana IQ yake haikupeleki ukafanya maamuzi yako mwenyewe au kufikiri zaidi ya hapo ulipofika.

2.Hebu iangalie hiyo post yako....'Umeona umtuka...'maana yake nini?Mdogo wangu kama umeenda shule basi ujue pamoja na degree zako zote umeishia kujua KUSOMA na KUANDIKA tu.

3.Huyo Chenge unayejitahidi kumtetea ndiyo kati ya wale watanzania wachache waliodhaniwa wataleta MAENDELEO na WATALITETEA Taifa lao lakini ndiyo yamekuwa MAJAMBAZI na MAFISADI wakubwa wakiliibia TAIFA lililo wasomesha kwa gharama kubwa kwa pesa ya wakulima,wafugaji na walipa kodi wengine.

4.Chenge ni kati ya wale viongozi wasiojitambua na wala hawajui nini wanalifanyia Taifa lao.Wamepata degree bahati mbaya ndiyo kama wewe wameishia kujua kusoma na kuandika.Walichoongeza tu hapo ni ushirikina kiasi kwamba wanauwezo wa kutembea UCHI bungeni wakimwaga madawa ili wasiumbuliwe.

Mdogo wangu kuwa na elimu siyo kuliibia Taifa lako.Na hakuna binadamu mwenye akili zake timamu akaliibia Taifa lake.Ni mahayawani kama huyo Chenge unayemtetea.Ni Fisadi,mla rushwa,jambazi,mchawi yaani sifa zake ndizo ameamua kuzikamilisha mwenyewe kwa kujiita NYOKA so unataka WATANZANIA wenye wakili zetu tumuite nani?

Kuliibia Taifa siyo sifa na wala haiwezi kuwa sifa hata kidogo,na anabahati yupo kwenye nchi ya kusadikika lakini wangekuwa China au Urusi huyu kesha nyongwa siku nyingi na anakaribia kuoza.

Nyie ni kati ya wale vijana mnasifia hata wabeba unga na mkipewa sembe mpeleke Uchina mtabeba bila kufikiri.Mtoto wewe ni MPUMBAVU na sijawahi ona Mpumbavu kama wewe..............
 
endelea kunadi ujinga wako ila mimi ni nyoka mwenye makengeza, msaka pesa. akili zako za nguruwe peleka huko, huna adabu kabisa. una ushamba ulopitiliza, hiyo ni laana. jitahidi iishie kwako, ikisambaa kwenye vizazi vyako italeta shida sana. mlaaniwa wa mwisho wewe! nyambaf!!!
 
Acha dharau wewe. Kuwa na nidhamu hata kiduchu.

wewe nawe una elimu ya QT!!? maskini, mnatia huruma sana. sio bure na wewe utakuwa na laana. nijibu ili nijue ni laana kiasi gani inakuandama, nitakupa ushauri wa kuiepuka.
 
endelea kunadi ujinga wako ila mimi ni nyoka mwenye makengeza, msaka pesa. akili zako za nguruwe peleka huko, huna adabu kabisa. una ushamba ulopitiliza, hiyo ni laana. jitahidi iishie kwako, ikisambaa kwenye vizazi vyako italeta shida sana. mlaaniwa wa mwisho wewe! nyambaf!!!

Pole sana.Hamna tofauti.Kama Baba yako ni NYOKA mwenye Makengeza then naweza kuelewa mtoto lazima awe hivy😵k Hongereni sana kizazi cha NYOKA toka kwa NYOKA MKUU MWENYE MAKENGEZA.

Kumbuka umri wako ni mdogo sana kushangilia ujinga,hata kama unadhani Baba yako alichofanya ni BUSARA basi pole sana.

Anyway nakutakia maisha mema mbele ya safari nyie vizazi vya nyoka aka kizazi cha fisadi Chenge.Hongereni sana kwa kuwa mkizazi cha NYOKA na mnashangilia mkidhani ni sifa kubwa kuwa mwizi.:A S embarassed::A S embarassed:
 
Acha dharau wewe. Kuwa na nidhamu hata kiduchu.

Kaka huyu mtoto anajiona amesoma kweli,ukiona hoja zake yaani mwanzo mwisho ni matusi tu.Achana naye.Nimeona nabishana na mtoto mdogo ambaye anaweza hata kuwa mdogo wangu wa mwisho kabisa.
 
Pole sana.Hamna tofauti.Kama Baba yako ni NYOKA mwenye Makengeza then naweza kuelewa mtoto lazima awe hivy😵k Hongereni sana kizazi cha NYOKA toka kwa NYOKA MKUU MWENYE MAKENGEZA.

Kumbuka umri wako ni mdogo sana kushangilia ujinga,hata kama unadhani Baba yako alichofanya ni BUSARA basi pole sana.

Anyway nakutakia maisha mema mbele ya safari nyie vizazi vya nyoka aka kizazi cha fisadi Chenge.Hongereni sana kwa kuwa mkizazi cha NYOKA na mnashangilia mkidhani ni sifa kubwa kuwa mwizi.:A S embarassed::A S embarassed:
umaskini ni kitu kibaya sana, umaskini ni laana. hiyo ni laana mbaya sana!
 
Back
Top Bottom