Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Haya, si alitaka wasemee nje?? Sasa Mnyika kasemea nje ................................. atwambie atamfanyaje!!??
Hawezi kumfanya kitu kwani Mnyika amesema ukweli mtupu..
Haya, si alitaka wasemee nje?? Sasa Mnyika kasemea nje ................................. atwambie atamfanyaje!!??
wacha upopompo. hujui lolote! you are as empty as a newborn. sisemi mambo kutoka hewani. kaulize kwanza ndio uje hapa, la sivyo ujinga utaendelea kukutawala.Ningekushauri kitu kimoja tu katika maisha uliyobakiza hapa ULIMWENGUNI au DUNIANI, ndugu yangu usipende kumtukana mtu usiyemjua maana waweza pata aibu kubwa sana.Ninafanya kazi na Ma-consultant wa kila rangi kwenye mashirika ya kimataifa ila sijawahi kuiona hii unayoisema ati mtu analipwa 1.6bilioni sababu conzultancy fees acheni kujiibia jamani mnatia aibu duniani huku.Na ndiyo sababu hata hao wafadhili wamewanyima pesa.Msidhani kwa sababu hatujasoma Havard Universty basi ni wajinga au wapumbavu hapana gunavumilia tu huu ujinga wenu.Pole sana ila usilolijua ni kama usiku wa kiza kinene.Umejivua nguo kisa unawatetea majambazi na wauaji wa watanzania maskini.Ole wenu siku yaja ambayo utajutia kwa I I ulifanya uliyofanya.
Jambazi mkubwa!kama si kulindana huyu angekuwa segerea siku nyingi,jambazi sugu!��utasema yote, ila natetea 'profession'. natetea usomi, watu kama wewe ambao hamjasoma hamuwezi kujua undani wa kazi muhimu kama 'consultancy'. uliza pembeni tu (usiogope kuonekana mjinga): uliza 'consultant' analipwa asilimia ngapi ya gharama au 'output' ya mradi? ukija uwe una majibu, sio ngonjera zako za kijinga!
wacha upopompo. hujui lolote! you are as empty as a newborn. sisemi mambo kutoka hewani. kaulize kwanza ndio uje hapa, la sivyo ujinga utaendelea kukutawala.
Nafuu mimi mjinga maana nikielimishwa nitaelimika kuliko wewe mpumbavu ukidhani kutetea majambazi utafaidika.You are so stupid in such a way binadamu wa kawaida hawezi kuimagine.Pesa za wizi hazina baraka.Chenge ni jambazi lililo kubuhu na ndiyo maana amejiita Nyoka.
Hakuna nchi yeyote itakayomlipa mtu hiyo pesa.Hata hao wazungu wanaoletwa na International organisation hawalipwi kama unavyodai.Pole mtaweza kutudanganya kwa muda tu lakini siyo kwa maisha.
Am saying again with confidence you are so stupidy very stupidy kumpigia kampeni huyu Jambazi na muuaji wa watanzania fisadi Chenge Mzee wa vijisenti.
Nimeamua kukupa mbovu sababu unadhani matusi siyajui.Mwanaume mzima unashindwa kutumia akili za kuzaliwa na busara ndogo tu kwa kuwa Mzalendo na kuwapiga vita wezi na majangili ya mali za ummq[/QUOTE Tetty!huyu mzee ni jambazi sugu!ushahidi wa scortland yard kuhusu ujambazi wake uko wazi!na maajabu ya musa jamaa wakampa pande atuwandikie katiba pendekezwa?jamani wa TZ sio maboga!wameenda shule na wana reasoning capacity ya ajabu!huyu mzee nyumbani kwake ni segerea bila kumumunya maneno...����

Na hawa wanaoutetea uovu wake nawashangaa nadhani hawaelewi impact yake kwenye jamii.Hawajui kuna watu wanakufa hospitali sababu hawana uwezo wa kulipia bill zao lakini kuna watu wanapiga pesa za umma tuanawatetea na kuwasifu.Hivi unanunua ASSET kwanye nyumba na mtoto mmoja anaiba unamsifia inaingia akilini? Na hawa usikute ndiyo wauaji wa maalbino ili wasiguswe na waendelee kuwa wabunge.Siwaewi watanzania wanaouendekeza wizi.Hakika hata angekuwa baba yangu ningempa za uso tu.
Nafuu mimi mjinga maana nikielimishwa nitaelimika kuliko wewe mpumbavu ukidhani kutetea majambazi utafaidika.You are so stupid in such a way binadamu wa kawaida hawezi kuimagine.Pesa za wizi hazina baraka.Chenge ni jambazi lililo kubuhu na ndiyo maana amejiita Nyoka.
Hakuna nchi yeyote itakayomlipa mtu hiyo pesa.Hata hao wazungu wanaoletwa na International organisation hawalipwi kama unavyodai.Pole mtaweza kutudanganya kwa muda tu lakini siyo kwa maisha.
Am saying again with confidence you are so stupidy very stupidy kumpigia kampeni huyu Jambazi na muuaji wa watanzania fisadi Chenge Mzee wa vijisenti.
Nimeamua kukupa mbovu sababu unadhani matusi siyajui.Mwanaume mzima unashindwa kutumia akili za kuzaliwa na busara ndogo tu kwa kuwa Mzalendo na kuwapiga vita wezi na majangili ya mali za ummq
inaonekana umezaliwa kwenye familia maskini wa kutupwa. mtu akipata pesa kidogo tu unawashwa mwili mzima. wacha watu watumie usomi wao, popompo wewe! tafuta za kwako. endelea kupiga kelele lakini pesa hazitokaa zirudi... next time unaandika post-quote uwe na akili angalau ya kuelewa mambo, sio akili za QT na vijiweni.
wachana na habari ya rada, tunaongelea escrow sasa. popompo wewe! hata kwenye rada, makosa yalikuwa kwa BAE Systems walipouza kwa gharama za juu zaidi.Acha upoyoyo wewe..! Atumie usomi wake kwenye kushauri ununuzi wa wa rada kwa gharama iliyozidi mara tatu ya gharama ya kawaida..? Wakati mwingine ni vizuri ukae kimya kuliko kuja kutetea ungese hapa.. Watu wanakufa mahospitalini huko hakuna dawa.. Mashuleni hamna vitabu wala walimu wa kutosha na bado watoto wengi wanakaa chini.. Yote hii ni kutokana na wizi wa akina Chenge & co.. Halafu wewe unakuja kutetea hapa..! 😡😡😡
wachana na habari ya rada, tunaongelea escrow sasa. popompo wewe! hata kwenye rada, makosa yalikuwa kwa BAE Systems walipouza kwa gharama za juu zaidi.
kama kulikuwa na utata tangu day one kwa nini hamkuutatua? mnalalamika nini sasa? wacheni yada yada!Ona sasa..! BAE Systems waliuza kwa bei ya juu kwanini..? Ina maana mwanasheria mkuu wa Serikali alishindwa kugundua kwamba price ya rada ilikuwa juu sana..? Ule mgao wake uliokutwa kwenye ac yake ulikuwa ni wa nini..?
Kuhusu escrow wakati mkataba wa iptl unasainiwa mara ya kwanza enzi za Mkapa, mwanasheria mkuu wa alikuwa nani..? Na mkataba ule ulikuwa na utata tangu day one.. Leo unakuja kusema hapa amelipwa ati consultancy fee..! Na wewe unatetea kabisa bila ya chembe cha haya..!
kama kulikuwa na utata tangu day one kwa nini hamkuutatua? mnalalamika nini sasa? wacheni yada yada!
Mnyika maji ubungo vipi, mwezi wa pili huu wana ubungo hatujaoga maji hakuna
inaonekana umezaliwa kwenye familia maskini wa kutupwa. mtu akipata pesa kidogo tu unawashwa mwili mzima. wacha watu watumie usomi wao, popompo wewe! tafuta za kwako. endelea kupiga kelele lakini pesa hazitokaa zirudi... next time unaandika post-quote uwe na akili angalau ya kuelewa mambo, sio akili za QT na vijiweni.
Utayatatua vipi wakati wamejiundia genge la ujambazi kufisadi nchi..? Wamekamata mihimili yote.. Halafu bado wana sympathisers huku uraiani kama wewe wanaotetea ujinga..
kama kulikuwa na utata tangu day one kwa nini hamkuutatua? mnalalamika nini sasa? wacheni yada yada!