Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
RIP marehemu
Kwa taarifa yenu, mmoja wa wale wasichana alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Chenge. Haikuwa ajali, bali mauaji ya makusudi baada ya yule binti kumbwaga Chenge. Si polisi wala waandishi wa habari walioingia kwa undani na kujua ukweli huu. Nondo zaidi zitakuja.ni kweli yuko kituoni oysterbay na waandishi wa habari kibao wako pale wanasubiri apelekwe kwa pilato.
Kwa taarifa yenu, mmoja wa wale wasichana alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Chenge. Haikuwa ajali, bali mauaji ya makusudi baada ya yule binti kumbwaga Chenge. Si polisi wala waandishi wa habari walioingia kwa undani na kujua ukweli huu. Nondo zaidi zitakuja.
Interesting!Msichokijua wengi ni kuwa hiyo ajali haikusababishwa na Chenge kabisa. Ni mke wake aliyeipanga ili kumkomoa "mke mdogo".
Chenge aliamua kuibeba usiku uleule ili kumwokoa mke wake. Thats truth I know for three years.
Kabisa yaaniNimeona kuna umuhimu wa kuirudisha hii thread
Aliua dereva na msichana wa chuo kikuu ambaye alikuwa demu wake. Mze Chenge alipata tetesi kuwa demu aliyekuwa anamgharamia anatembea na kijana mwenzie, akakasirika na kwenda kumvizia akitoka disco. Alipomuona anatoka disco akamfuata na kwenda kumgonja mpaka kufa. In short, Mze Chenge alikuwa hataki kuachwa na msichana aliyekuwa anamgharamia kwa kila kitu. Polisi walivyopata mkanda wote wakakaa kimya kumlinda mtu wao, hii nchi ina laana mno.Wana JF -- kuna habari kwamba yule Bwana wa Vijisenti, Andrew Chenge anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay kwa kuua watu wawili kwa kugonga Bajaj. Habari zaidi bado hazijapatikana. Tafadhali fuatilieni habari hizi.
View attachment 525054
Gari la Chenge lililosababisha ajali
View attachment 525053
Bajaj iliyongongwa na Chenge na kusababisha vifo
Msichokijua wengi ni kuwa hiyo ajali haikusababishwa na Chenge kabisa. Ni mke wake aliyeipanga ili kumkomoa "mke mdogo".
Chenge aliamua kuibeba usiku uleule ili kumwokoa mke wake. Thats truth I know for three years.
Aliua dereva na msichana wa chuo kikuu ambaye alikuwa demu wake. Mze Chenge alipata tetesi kuwa demu aliyekuwa anamgharamia anatembea na kijana mwenzie, akakasirika na kwenda kumvizia akitoka disco. Alipomuona anatoka disco akamfuata na kwenda kumgonja mpaka kufa. In short, Mze Chenge alikuwa hataki kuachwa na msichana aliyekuwa anamgharamia kwa kila kitu. Polisi walivyopata mkanda wote wakakaa kimya kumlinda mtu wao, hii nchi ina laana mno.
JamaniNimeona kuna umuhimu wa kuirudisha hii thread
Anajua mbowe ulipoNimeona kuna umuhimu wa kuirudisha hii thread
Huyu Mze ilibidi anyongwe kwa kweli, aliua makusudi baada ya kugundua demu aliyekuwa anamsomesha chuoni anapigwa miti na kijana mwenzie wa 20 something, eti Mze akakasirika na kuanza kuwawinda mji mzima kama commando. Alipompata demu ndo akaenda kumgonga na kumuua kuondokana na stress alizokuwa anampa. Serikali walijuwa msala mzima ila wameamua kukaa kimya labda na pengine waliilipa familia ya marehemu kisirisiri.Wana JF -- kuna habari kwamba yule Bwana wa Vijisenti, Andrew Chenge anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay kwa kuua watu wawili kwa kugonga Bajaj. Habari zaidi bado hazijapatikana. Tafadhali fuatilieni habari hizi.
View attachment 525054
Gari la Chenge lililosababisha ajali
View attachment 525053
Bajaj iliyongongwa na Chenge na kusababisha vifo