Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,379
- 21,717
Kweli Mkuu.. Magufuli Hana kesi yeyote hapa chini ya jua, anaukemea Ufisadi hasa wa nyumba za serikali kwa Nguvu zote.Ufisadi ulishapoteza maana yake toka wale vinara wa kuusema walipogeuka watetezi wa mafisadi. Watu pekee ninaoamini kwamba wanachukia ufisadi kutoka moyoni ni Dr. Sla na Magufuli tu. Wengine ni maigizo tu.
