Chenge akemea ufisadi

Chenge akemea ufisadi

Ama kweli dunia ni kiboko. Yaani chui ageuke kuwa mbuzi au ameokoka siku sio nyingi hivyo anaongozwa na utukufu wa Mungu katika kuyaongea haya?
 
Katumwa na kina Rostam kupima upepo. Hali ikiwa nzuri Karamagi naye atakemea ufisadi bandarini.
 
Ufisadi ulishapoteza maana yake toka wale vinara wa kuusema walipogeuka watetezi wa mafisadi. Watu pekee ninaoamini kwamba wanachukia ufisadi kutoka moyoni ni Dr. Sla na Magufuli tu. Wengine ni maigizo tu.
 
TEHE! Tehe! Tehe!! Andrew Chenge Yule Yule Mzee Wa Vijisenti, Nyoka Makengeza, Mzee Wa Fursa!! Yule Masakata Yote Ya KIFISADI YUMO!! KWELI Huu Mwaka Tutaona Mengi Mno!!!
 
Angeweza kusema hayo kama angekuwa amebadilika yeye kwanza.
 
Hivi watu wengine hawana hata chembe ya aibu???!
Niliwahi kuandika humu kuwa, vigezo vya kuwa kada mzuri wa Ccm ni kutokuwa na aibu,kuwa na uwezo wa kutetea uongo uonekane ni ukweli na ya mwisho mwisho uwe mnafiki.
 
Niliwahi kuandika humu kuwa, vigezo vya kuwa kada mzuri wa Ccm ni kutokuwa na aibu,kuwa na uwezo wa kutetea uongo uonekane ni ukweli na ya mwisho mwisho uwe mnafiki.
 
achen matani basi wakati mwingine, yaan chenge akemee ufisadi!!!!!!! au ndoo shetani akizeeka!!!!!
 
Wakati wa kampeni, Rais Magufuli aliwataka mafisadi kutubu na kutoshiriki tena vitendo hivyo. Nafikiri Chenge ni mmoja wapo wa wale waliotubu na kutakasika!
 
Labda wamemwibia kwenye miradi yake huko bariadi make mwizi akiibiwa ni hatareee.
 
Hahahah.. kuna watu wanafanya vitu mpaka unashangaa, badala ya kumchukia unaishia kumkubali tu.
 
Back
Top Bottom