Chenge akemea ufisadi

Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.

Chanzo: Raia Tanzania
hatumiagi mambo ya kule arusha ,isije kuwa zimemzidiii nguvu
 
Mhhh!! Hata shetani akizeeka anakuwa malaika.!
Kama lowassa vile, mi nimeshakuwa na mashaka na watu wooooote ambao walibatizwa kuwa ni mafisadi na chadema, chadema siwaamini kabisa! Kama wamesema lowasa sio fisadi na wamewasaliti kabisa wale wapiganaji wao kisa kuwa na msimamo, hivyo yawezekana kabisa kiwa huyu jamaa sio fisadi kama wanavyosema chadema.
 
Back
Top Bottom