Chenge akemea ufisadi

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,503
2,046
Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.

Chanzo: Raia Tanzania
 
Ha ha h,,, hii hatarii, kwa watu wanaomfaham akiwaambia hivyo wanabaki kucheka kimoyo moyo tuu!!!! " ata ww"
 
Hongera Chenge, Andrew John kwa kutambua kuwa Mafisadi wanarudisha maendeleo yetu nyuma na hii imetokana na wewe kuiba kwanza, pia toa kibanzi jichoni mwako kwanza!
 
Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.

Chanzo: Raia Tanzania
Inawezekana neno ufisadi limeanza kupoteza màana yake. Shetani akimshughulikia Shetani mwenzake ufalme wake hautaweza kusimama kwa kuwa utafitinika.
 
Back
Top Bottom