Space ndiyo unayotakiwa unipe mimi ya kuexpress views zangu!Hujalazimishwa kusoma all the postings!Sio kweli kuwa everybody reads all the postings!So stay on your track brother na ulete hoja badala ya vioja!MMJOMBA SPACING...
According to the dataz, ni kwamba alikuwa na barua ya kujiuzulu tayari toka akiwa u-China, ndio maana hakwenda US,
More dataz ni kwamba kuna wanasiasa wa hapa bongo wajishirikiana na wa UK hasa Blair, wanamshinikiza Brown, asimamishe uchunguzi wa Radar uliomponza Chenge..........!
Actually data ni kuwa CHENGE ana £15 million kwenye account moja na wala si £1million kama ambavyo wengi wanavyoamini
Duh, huyu jamaa kiboko, jamani....ziko wapi hizo millions of pounds Jersey or Switzerland
Kwenye ripoti walisema ni pounds millioni tano zipo hapo UK, na dola millioni moja kule Jersey, US,
lakini leo imethibitishwa kuwa ni more than hizi hesabu....! kwa hiyo GT, you might be on the right dataz..thanx!
Hii inaonyesha jinsi gani pamoja na madegree aliyonayo CHENGE ni MJINGA wa AJBAU siku hizi watu huwa hawaweki pesa USWISI, CAYMAN wala JERSEY...inabidi amshitaki financial advisor wake
ale Uslam waliovamia nyumbani kwake alidhani ni wajinga?
Hivi huyu mjinga hakujua kuwa hakuna kilichofutika kwenye HARD DRIVE ya ile laptop?
According to the dataz huyu Chenge, ni ndugu na mama kahama....!
Wadau bado nauliza kama mbunge wa mafia ni mheshimiwa Kimbau!Kwani GT anampigia debe so i i just wanna know if still Kimbau ni mbunge wa Mafia!
Mwanatanu naona bado unaishi miaka ya 60..umesahau TANU iliungana na TAA na kuform CHAMA CHA MAPINDUZI!Mapinduzi hayo yalikuwa yakumkoma beberu na myonyaji!Na this time tunahitaji mapinduzi mapya dhidi ya unyonyaji na ubeberu wa wenyewe kwa wenyewe.almaarufu "UFISADI"Sasa hivi the idea kwamba Ufisadi umeanza zamani haina maana kwamba hauwezi kupigwa vita!Ukoloni,unyonyaji na ubeberu wa watu kutoka nje ulkuwa wa muda mrefu!Na ni vita vinavyohitaji kujitolea!sio vita rahisi!kuwakana marafiki na kubakia mpweke kwa muda wakati akiunda uongozi mpya wenye matumaini mapya na uwajibikaji! na kuandika chapter mpya kwenye historia ya taifa letu hili changa na kuepuka possiblity ya machafuko..na kureconcile..na kuapa kwa katiba mpya ya taifa jipya!Hiyo ndio option ambayo ni salama zaidi kwa mkuu wetu wa nchi!Hiyo ni option ya upande wa wananchi na sio wa ufisadi!Bado tunaendelea kufuatlia kwa karibu!Nimeimba sana kwanza muelewe kuwa hawa mafisadi hawajaanza leo walikuwepo toka era ya Nyerere na walikuwa wakibebwa na kulindwa na CCM.
Sasa ametokea Mzalendo kisura wetu Kikwete kwa baraka zake i mean ameruhusu system iwaweke hawa mafisadi hadharani hii ina maana wakati wa Nyerere,Mwinyi na Mkapa hawa mafisadi walifichwa na kulindwa,hawa mafisadi ni very powerful na wana mtandao mkubwa sana...huwezi ukawa rais na ukaweza kuvunja mtandao wenye mizizi takriban 50yrs overnight.
Naimba tena tumpe credit JK kidogo
Nimeimba sana kwanza muelewe kuwa hawa mafisadi hawajaanza leo walikuwepo toka era ya Nyerere na walikuwa wakibebwa na kulindwa na CCM.
Sasa ametokea Mzalendo kisura wetu Kikwete kwa baraka zake i mean ameruhusu system iwaweke hawa mafisadi hadharani hii ina maana wakati wa Nyerere,Mwinyi na Mkapa hawa mafisadi walifichwa na kulindwa,hawa mafisadi ni very powerful na wana mtandao mkubwa sana...huwezi ukawa rais na ukaweza kuvunja mtandao wenye mizizi takriban 50yrs overnight.
Naimba tena tumpe credit JK kidogo