Chenge aandaa chakula Bariadi, Magufuli akacha kukila

Chenge aandaa chakula Bariadi, Magufuli akacha kukila

Dawa ni kuwaweka pembeni Kwanza wamalize kuuwa kunguni kwenye kitanda chao,Wakati watanzania wanalilia kitanda kisicho na kunguni.

Kwi kwi kwi ..kile cha kwenu kina viroboto na chawa kama banda la mbwa
 
Treni imeanza kurudi kwenye reli........mwanzani mwa kampeni watu hawakuwa wakijua nguvu ya CCM sasa hivi naona tunaenda sawa.
 
Kazi kweli kweli.......ukijumlisha na kutoa mleta mada atakuwa kaandika asichokijua, kaandika anachokifikiria
 
UKAWA kama wameanza elewa somo hvi. MAGUFULI is the ONE. Kama nawaona mlivyotegesha mi tekno yenu mpate pcha ya chenji na MAGUFULI. hahahaha. imekula kwenu.

Washaelewa tayari
 
Ukikaribishwa si unaenda, wewe vipi musigaji??? inawezekana wabunge wengine hawakuandaa chakula kama unavyosema sio lazima mgombea ale kwa mbunge, lakini kama ameandaa na kukukaribisha kwa nini usiende??? mnaogopana huku mnanadishana jukwaani
 
Eti kakwepa fisadi Chenge. Atakwepa vipi wakati ndiyo mfumo wenyewe?
 
Kuna njia nyingi za kuonyesha kuchukizwa na jambo (UFISADI). Kilichotokea hana ni dhahiri kinaonyesha kwamba mambo yatakua yale yale na story zile zile.

1. Mimi nilitegemea magufuli asiende kabisa bariadi lakini aandike waraka uwafikie wananchi wa bariadi kwamba yeye kama mgombea anaejinasib kuwashughulikia mafisadi kwamba hayuko tayari kushilikiana nao na hii ingetoa funzo kwa mafisadi wote na angepata kuaminika mbele ya WATANZANIA.

2. Kukubali kwenda kwenye jimbo la mtuhumiwa wa ufisadi ni kuonyesha jinsi gani bado yuko nae pamoja.
 
Atakuwa rais wa wote hata wewe hata kama itakuuma na zikija fursa na wewe utapata kama utataka ..so, u r heard.
 
atakua hana utimamu wa akili kamnadi kwa kusema ni shujaa afu kagomea kitu kidooogoo..mleta mada nawe ni...
 
Basi halijaandikwa " chagua ccm ..chagua Magufuli "

Kuna chama kipya kinaitwa Magufuli ...nembo yake ni ...M na MWENGE
 
Mbona alimpigia kampeni Chenge hapo bariadi.Chakula sio issue.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom