Chenge aandaa chakula Bariadi, Magufuli akacha kukila

Magufuli ameshindwa kumnadi Chenge hata ivyo ni nadra sana kumsikia Chenge akimpigia chepuo Magufuli mfn. alifany mkutano wa kampeni haps Kidinda Bariadi,alipata watu wachache,wengi wamama ila nilimsikia ametaja jina la Magufuli mara moja tu.
yetu macho tuone MAGUFULI akichaguliwa atawashughulikia hawa jamaa
 
Wasingempa fomu ya ubunge Chenge ccm,ningewaamini hawa mafisadi ccm.Pesa za kampeni ya Magufuli zimetoka kwa mafisadi
Huwezi kumkataza mwanachama kuchukua fomu ya kuomba uongozi.

Vikao vya juu vya chama havikulikata jina la Chenge kwa sababu kwa sasa chama kimeweka utaratibu wa kutowachagulia wanachama/wananchi mgombea.

CCM imepata somo la kutowachagulia wanachama/wananchi mgombea kutokana na makosa yaliyofanyika katika uchaguzi wa 2010 ambapo chama kilipoteza majimbo kama Iringa kwa mtindo huo.

Wananchi ndiyo wataamua kwa sasa baada ya wanachama wenyewe kumpitisha kwenye kura za maoni.
 
Hata mmpaishe magufuri kivipi hatumchagui hata siku moja maana mnajitahidi kumfanya aonekane mtakatifu wakati anakula, anakunywa nao kila siku. mbona dodoma walimpigia kura hakuzikataa? hakuna panya asiye mdokozi.

CAG alisema wizara ya ujenzi wamechota zaidi ya bil 200 sasa huo usafi anautoa wapi ?
 
Mtu anayepambana na mafisadi kwa vitendo.


Lowassa ni fisadi wa akili moyo nafsi na mwili.
 
Hapo kuna ishu ya usalama pia. Si unajua kuwa Chenge ni Rafiki Mkuu wa Lowasa? Huenda kuna mtego uliandaliwa. Big up sana Magufuli. Unaongozwa na Nguvu za Mungu
 
Ahaaa mwaka huu ccm Lowasa kawashika hasa.ebu naomba ujibu maswali haya.
1.Tangu Magufuri aanze mikutano ya campaign mikoa kadhaa sasa je Amefika nyumbani mwa.wagombea ubunge wangapi kwa ajili ya kushiriki chakula?Taja jina la mgombea ubunge na jimbo husika.

2.Unasema Magufuri amekataa chakula nyumbani mwa chenge hivyo kashinda na njaa je utaratibu wa chakula cha mgombea chama kimetoa maelekezo mgombea baada ya Kampeni atakuaa anaenda kula kwa mbunge?

Humu kuna watu na akili zao kijana sawa?siku zingine husirudie

----- mkubwa, kule Ludewa mbona alilala nyumbani kwa Filipokunjombe?
 
Kama chakula anakataa mbona anaikubali KATIBA ya CHENGE? That's too low kuwa na impact kwenye uchaguzi.
 
Shida ipo kwa wananchi. Watu wa Chenge huwaambii kitu juu ya yake na hata upinzani hawawezi kumuondoa pale kwa sanduku la kura...

Mkuu napingana na wewe, alhamis alikua na mkutano bariadi, hakukua na watu hadi alitukana matusi makubwa jukwaani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom