Chenge aandaa chakula Bariadi, Magufuli akacha kukila

Nasikia jamaa anaogopwa kichizi hasa baada ya ule uvumi Wa unga mweupe kwenye ukumbi Wa bunge Dodoma.
 
Ameonesha nia ya dhati kwa "kumnunia" mtu.
Kumnunia mkosaji sio kufaulu kupambana na tatizo linalomuhusu.

Leo?!

Angeshinikiza mapema asiruhusiwe kuchukua form ya kugombea ubunge kabisa. Kwani leo ndo amejua kuwa ni mtuhumiwa.

Unafki at work,kama hapendi ufisadi ahamie tu ukawa sio kuji.....wakati ndo wadhamini wa kampeni zake
 
Kama MACK ZUCKERBERG na BILL GATES wao Wali DROPOUT pale HAVARD UNIVERSITY..
ANDREW CHENGE yeye alikaza mpaka aka GRADUATE pale ..
Mnategemea WABONGO mtaenda nae sawa.?
 
Kama MACK ZUCKERBERG na BILL GATES wao Wali DROPOUT pale HAVARD UNIVERSITY..
ANDREW CHENGE yeye alikaza mpaka aka GRADUATE pale ..
Mnategemea WABONGO mtaenda nae sawa.?
Magufuli lazima aendenae sawa na atakula nae sahani moko hadi kieleweke
 
"Pale BoT kuna PhD kumi na saba; these are the results. Wanasheria wengi wamefundishwa na Profesa Kabudi...wakiingia kwenye mikataba wanasaini kila kitu...tumelogwa na nani? Basi kama tumelogwa, mtuombee nyinyi wachungaji na mashehe, kama mapepo yaondoke" - JPM
 
Nimekosa kabisa lakusema,
Leo sijui niseme nini,
Sijui tulirogwa na nani,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom