Chenge aandaa chakula Bariadi, Magufuli akacha kukila

Naomba nionyeshwe mstari unaowatenganisha Magufuli na CCM, kwa sababu ukisema tu CCM unamaanisha ufisadi! Lengo ni kujua Magufuli kama yupo ndani ya CCM anajitenga vipi na ufisadi?
 
CCM aina mgombea maana Mapadilock aitaiki cfm kabisa. Magufuri karibu UKAWA
 
MAGUFULI AMTOSA CHENGE BARIADI.

Katika kile ambacho wachunguzi wa mambo ya kisiasa wamekiita tukio la kimapinduzi na mwanzo wa mabadiliko mapya ndani ya CCM, Mgombea wa Urais kwa ticket ya CCM Dr. John Magufuli amefanya kile ambacho Rais Jakaya Kikwete na Edward Lowassa wameshindwa, kumtosa Andrew Chenge hadharani.

Mwanasheria huyo mkuu wa zamani ambaye anahusika kwenye kashfa mbalimbali zilizozikumba taifa hili, ambaye ndio alikuwa mratibu wa kampeni za Urais za Edward Lowassa alipokuwa CCM alijikuta kwenye wakati mgumu leo pale ambapo Dr. Magufuli alipogoma kumpandisha jukwaani na kumkabidhi ilani ya CCM kama anavyofanya kwenye majimbo mengine. Magufuli ambaye mpaka sasa ameweka wazi adhma yake ya kuanzisha Mahakama ya Mafisadi, inasemekana aliweka msimamo wake wazi mbele ya Mwenyekiti wa kampeni za CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwamba hana mpango wa kuwanadi wana CCM wowote ambao wana kashfa za ufisadi, na amepewa baraka zote za kukisafisha Chama cha Mapinduzi ili kuonyesha tofauti na mgombea wa UKAWA ambaye ana kashfa lukuki za ufisadi.

Tukio hili la leo linaelezewa na wachambuzi wa Siasa kama mwanzo mzuri wa Magufuli kujitofautisha na makada wa CCM wasio wasafi na kurejesha imani ya Watanzania kwamba yeye ndio atakayeleta mabadiliko bora zaidi kwa Wananchi.

Itambuliwe pia, Dr. Magufuli amefanya kazi katika awamu zote mbili za Rais Mkapa na Kikwete na hajapata kashfa yoyote, tofauti na mgombea wa UKAWA ambaye kwa kipindi cha miaka 40 aliyokuwa ndani ya CCM amepata kashfa lukuki ikiwemo ya Richmond, Ranchi za serikali, na kwa sasa kuna sintofahamu kubwa kuhusu kauli zake za kuomba kura- kanisani na hali yake ya kiafya.

Kwa sasa Dr. Magufuli amefaulu kizingiti hiki kikubwa cha Mheshimiwa Chenge, na kugoma kwake kumnadi kunatuma ujumbe kwa wale mafisadi wote wa ndani na nje ya chama kujipanga kwani anaonekana ana nia ya dhati kusafisha Chama na Serikali ili kuwapa Watanzania mabadiliko chanya wanayoyahitaji.

HAPA NI KAZI TU.
 
Hali ya afya nayo ni kashfa mkuu?

Vipi kuhusu Uuzaji wa Nyumba za serikali sio kashfa?

Kuwapa Vimada nyumba za serkali kwako sawa tu

Je vipi kuchelewesha kuwalipa wakandarasi kwa makusudi ili kunufaika na pesa za Penalty?

CCM Acheni uQUma
 
Mleta uzi ni muongo ...jmaa alimsifia sana ..kuwa na mwana mabadiliko kwa kuwaletea et katiba nzur.....

Huyu jamaa huu uzi ameurudia kama mara ya kumi sasa kwamba Magufuli kamtosa Chenge. Sasa najiuliza kwani CCM mlipompitisha hamkujua Chenge ni fisadi na alihojiwa na tume ya maadili? Au mmegundua baada ya kumptisha kugombea ubunge? magufuli na CCM ni vyama tofauti? Acheni hadaa kwa watz. watawadhibu vikali! Kama ccm kweli mlikuwa serious kwa nini hamkumtema chenge? Upuuzi mtupu. na km kweli magufuli alikuwa na nia ya kumkacha kwa nini alienda kwentye hilo jimbo? Mbona Magazeti yaliandika kwamba Chnge alimbana magufuli kuhusu ahadi ya maji ya Kikwtet ambayo haijatekelzwa kwa miaka kumi sasa?
 
MAGUFULI AMTOSA CHENGE BARIADI.

Katika kile ambacho wachunguzi wa mambo ya kisiasa wamekiita tukio la kimapinduzi na mwanzo wa mabadiliko mapya ndani ya CCM, Mgombea wa Urais kwa ticket ya CCM Dr. John Magufuli amefanya kile ambacho Rais Jakaya Kikwete na Edward Lowassa wameshindwa, kumtosa Andrew Chenge hadharani.

Mwanasheria huyo mkuu wa zamani ambaye anahusika kwenye kashfa mbalimbali zilizozikumba taifa hili, ambaye ndio alikuwa mratibu wa kampeni za Urais za Edward Lowassa alipokuwa CCM alijikuta kwenye wakati mgumu leo pale ambapo Dr. Magufuli alipogoma kumpandisha jukwaani na kumkabidhi ilani ya CCM kama anavyofanya kwenye majimbo mengine. Magufuli ambaye mpaka sasa ameweka wazi adhma yake ya kuanzisha Mahakama ya Mafisadi, inasemekana aliweka msimamo wake wazi mbele ya Mwenyekiti wa kampeni za CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwamba hana mpango wa kuwanadi wana CCM wowote ambao wana kashfa za ufisadi, na amepewa baraka zote za kukisafisha Chama cha Mapinduzi ili kuonyesha tofauti na mgombea wa UKAWA ambaye ana kashfa lukuki za ufisadi.

Tukio hili la leo linaelezewa na wachambuzi wa Siasa kama mwanzo mzuri wa Magufuli kujitofautisha na makada wa CCM wasio wasafi na kurejesha imani ya Watanzania kwamba yeye ndio atakayeleta mabadiliko bora zaidi kwa Wananchi.

Itambuliwe pia, Dr. Magufuli amefanya kazi katika awamu zote mbili za Rais Mkapa na Kikwete na hajapata kashfa yoyote, tofauti na mgombea wa UKAWA ambaye kwa kipindi cha miaka 40 aliyokuwa ndani ya CCM amepata kashfa lukuki ikiwemo ya Richmond, Ranchi za serikali, na kwa sasa kuna sintofahamu kubwa kuhusu kauli zake za kuomba kura- kanisani na hali yake ya kiafya.

Kwa sasa Dr. Magufuli amefaulu kizingiti hiki kikubwa cha Mheshimiwa Chenge, na kugoma kwake kumnadi kunatuma ujumbe kwa wale mafisadi wote wa ndani na nje ya chama kujipanga kwani anaonekana ana nia ya dhati kusafisha Chama na Serikali ili kuwapa Watanzania mabadiliko chanya wanayoyahitaji.

HAPA NI KAZI TU.

Tumekusikia mrs magufuli endelea mbele na Hapa kiza tu
 
Chenge ambana Magufuli ahadi ya JK Simiyu - Siasa | Mwananchi
 
Sasa hapa mkweli ni nani wewe au mleta uzi?

Ukwel uwazi ...makufuli amemtosaje ...wakati chama kilimteua kupeperusha bendera na tume ya maadili ilisha mhoji...tuliokuwepi bariadi tuliona aluyosema makufuli kuwa chenge amewaletea mabadiliko ccm.....
 
MAGUFULI AMTOSA CHENGE BARIADI.

Katika kile ambacho wachunguzi wa mambo ya kisiasa wamekiita tukio la kimapinduzi na mwanzo wa mabadiliko mapya ndani ya CCM, Mgombea wa Urais kwa ticket ya CCM Dr. John Magufuli amefanya kile ambacho Rais Jakaya Kikwete na Edward Lowassa wameshindwa, kumtosa Andrew Chenge hadharani.

Mwanasheria huyo mkuu wa zamani ambaye anahusika kwenye kashfa mbalimbali zilizozikumba taifa hili, ambaye ndio alikuwa mratibu wa kampeni za Urais za Edward Lowassa alipokuwa CCM alijikuta kwenye wakati mgumu leo pale ambapo Dr. Magufuli alipogoma kumpandisha jukwaani na kumkabidhi ilani ya CCM kama anavyofanya kwenye majimbo mengine. Magufuli ambaye mpaka sasa ameweka wazi adhma yake ya kuanzisha Mahakama ya Mafisadi, inasemekana aliweka msimamo wake wazi mbele ya Mwenyekiti wa kampeni za CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwamba hana mpango wa kuwanadi wana CCM wowote ambao wana kashfa za ufisadi, na amepewa baraka zote za kukisafisha Chama cha Mapinduzi ili kuonyesha tofauti na mgombea wa UKAWA ambaye ana kashfa lukuki za ufisadi.

Tukio hili la leo linaelezewa na wachambuzi wa Siasa kama mwanzo mzuri wa Magufuli kujitofautisha na makada wa CCM wasio wasafi na kurejesha imani ya Watanzania kwamba yeye ndio atakayeleta mabadiliko bora zaidi kwa Wananchi.

Itambuliwe pia, Dr. Magufuli amefanya kazi katika awamu zote mbili za Rais Mkapa na Kikwete na hajapata kashfa yoyote, tofauti na mgombea wa UKAWA ambaye kwa kipindi cha miaka 40 aliyokuwa ndani ya CCM amepata kashfa lukuki ikiwemo ya Richmond, Ranchi za serikali, na kwa sasa kuna sintofahamu kubwa kuhusu kauli zake za kuomba kura- kanisani na hali yake ya kiafya.

Kwa sasa Dr. Magufuli amefaulu kizingiti hiki kikubwa cha Mheshimiwa Chenge, na kugoma kwake kumnadi kunatuma ujumbe kwa wale mafisadi wote wa ndani na nje ya chama kujipanga kwani anaonekana ana nia ya dhati kusafisha Chama na Serikali ili kuwapa Watanzania mabadiliko chanya wanayoyahitaji.

HAPA NI KAZI TU.

Wewe unaongelea mkutano gani?mim nlikuwepo Bariad mkutanoni wakat Maguful akimwita chenge SHUJAA wa mabadiliko na hakutaja khs mahakama ya mafisadi anayoihubiri kwingne
acha upotoshaji wa kwenye viblog
 
Mleta uzi ni muongo ...jmaa alimsifia sana ..kuwa na mwana mabadiliko kwa kuwaletea et katiba nzur.....

Ndo maana nasema tuwe na hofu ya Mungu, coz roho imeniuma sn, eti magufuli anasema chenge ni shujaa wa mabadiliko? Huyu cjui anaongea nn hapa
 
Mkuu huwa kuna watu wanamponda chenge ila walikuwa wanamsifia .....alivyopewa kazi ya kuandika katiba akaingiza mambo yake ...na leo wanajidai wanamponda.....chenge katoa mpaka malori ya kutengeneza nyomi ya ccm ..hata haamwamshukuru........pombe mwenyewe ...ni fisadi kawauzia nduguze nyumba zetu ......
 
Asante Yesu, na nasikiliza radio now, mleta mada muongo, magufuli amemnadi chenge ww unatuambia nn, bado kwa tibaijuka
 
MAGUFULI AMTOSA CHENGE BARIADI.

Katika kile ambacho wachunguzi wa mambo ya kisiasa wamekiita tukio la kimapinduzi na mwanzo wa mabadiliko mapya ndani ya CCM, Mgombea wa Urais kwa ticket ya CCM Dr. John Magufuli amefanya kile ambacho Rais Jakaya Kikwete na Edward Lowassa wameshindwa, kumtosa Andrew Chenge hadharani.

Mwanasheria huyo mkuu wa zamani ambaye anahusika kwenye kashfa mbalimbali zilizozikumba taifa hili, ambaye ndio alikuwa mratibu wa kampeni za Urais za Edward Lowassa alipokuwa CCM alijikuta kwenye wakati mgumu leo pale ambapo Dr. Magufuli alipogoma kumpandisha jukwaani na kumkabidhi ilani ya CCM kama anavyofanya kwenye majimbo mengine. Magufuli ambaye mpaka sasa ameweka wazi adhma yake ya kuanzisha Mahakama ya Mafisadi, inasemekana aliweka msimamo wake wazi mbele ya Mwenyekiti wa kampeni za CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwamba hana mpango wa kuwanadi wana CCM wowote ambao wana kashfa za ufisadi, na amepewa baraka zote za kukisafisha Chama cha Mapinduzi ili kuonyesha tofauti na mgombea wa UKAWA ambaye ana kashfa lukuki za ufisadi.

Tukio hili la leo linaelezewa na wachambuzi wa Siasa kama mwanzo mzuri wa Magufuli kujitofautisha na makada wa CCM wasio wasafi na kurejesha imani ya Watanzania kwamba yeye ndio atakayeleta mabadiliko bora zaidi kwa Wananchi.

Itambuliwe pia, Dr. Magufuli amefanya kazi katika awamu zote mbili za Rais Mkapa na Kikwete na hajapata kashfa yoyote, tofauti na mgombea wa UKAWA ambaye kwa kipindi cha miaka 40 aliyokuwa ndani ya CCM amepata kashfa lukuki ikiwemo ya Richmond, Ranchi za serikali, na kwa sasa kuna sintofahamu kubwa kuhusu kauli zake za kuomba kura- kanisani na hali yake ya kiafya.

Kwa sasa Dr. Magufuli amefaulu kizingiti hiki kikubwa cha Mheshimiwa Chenge, na kugoma kwake kumnadi kunatuma ujumbe kwa wale mafisadi wote wa ndani na nje ya chama kujipanga kwani anaonekana ana nia ya dhati kusafisha Chama na Serikali ili kuwapa Watanzania mabadiliko chanya wanayoyahitaji.

HAPA NI KAZI TU.

Ameonesha nia ya dhati kwa "kumnunia" mtu.
Kumnunia mkosaji sio kufaulu kupambana na tatizo linalomuhusu.

Leo?!

Angeshinikiza mapema asiruhusiwe kuchukua form ya kugombea ubunge kabisa. Kwani leo ndo amejua kuwa ni mtuhumiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom