Chenai upo wapi my love?

Nipo hapa mwanangu mwandende
 
Khumbu?
 
Daahh huu Uzi kumbe ulihamishiwa huku mode hawajatutendea haki kabisa yaani


Nilikuwa natafuta Sana .. mkuu Hilo jina la chenai linamaana gani nimelipenda Sana Lina sound poa Kama linaasili ya asia hivi
 
Wahindi kweli makuππa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Daahh [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]

Nimemuonea huruma sana chenai
 
Ongezaaaa GEAR Mwandende......kumbe Chenai ni Mwafrica xafiiii.....nilikua mpole mwanzo nilizani Kanyabaliiii.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kkkkk..eti kanyabaliii.

Chenai mtoto mrembo wa kishona,,Zimbabwean mkuu..
 
Mkuu umetisha sana kutoa bikira ughaibuni
Duu. Hata mm nilishangaa sana mkuu.
Lakini imetokea tu mkuu.

Yaani nimemvunja msichana bikira kwenye ardhi ya mahatma ghand.
 
Daahh huu Uzi kumbe ulihamishiwa huku mode hawajatutendea haki kabisa yaani


Nilikuwa natafuta Sana .. mkuu Hilo jina la chenai linamaana gani nimelipenda Sana Lina sound poa Kama linaasili ya asia hivi
Duu,,mkuu mm maana yake sijuwi,,
Wala sikuwahi kumuuliza.

Lakini mkuu haya majina watu wanayatoa kwenye vitabu na mitandao.

Siku hizi mambo ya majina ya asili imekuwa ngumu sana kuyaona.

Yamebaki family names pekee.
 
Wahindi kweli makuππa[emoji16][emoji16][emoji16]
Wahindi ni hatari mkuu,,
Kwa ramli hata kwa ushirikina.

Yule tembo na ubabe wake wote lakini wahindi wanamfanyisha kazi za mashambani,

Mfano kubeba Magogo,
Kulima nk.

Mtu anafuga nyoka yule black mamba,,

Halafu anamkodisha kwa watu either nyumbani au shambani kupambana na panya waharibifu.

Akimaliza kazi ,,anachukuwa joka lake.

Hata sijuwi wahindi wana dawa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…