Chenai upo wapi my love?

Chenai upo wapi my love?

Episode 6.

Tupo palika bazaar ,,,tupo kwenye utabiri wa rajesh,,
Mdosi kutoka Tamil akitubashiria hatma ya maisha yetu pale India.

Basi baada ya Mimi kutabiriwa mafanikio,,

Ikafika zamu ya sued,,nae akachanga karata kama kawaida,,
Akaziweka chini ,,kasuku akachaguwa moja akampa rajesh mtabiri,

Hapo rajesh akamuangalia sued halafu akashika mkono wake wa kulia akamwambiya na wewe utakwenda nyumbani tena soon.
Utapata mafanikio..

Hamidu nae akachukuwa karata,, akazichanga,,akaziweka chini.

Kasuku akachukuwa moja akampa rajesh mtabiri,,akaiangalia ile karata,,

Akamshika mkono hamidu halafu ghafla akauachia kwa nguvu sana.
Kama ameunguzwa na kitu..

Ni Kama vile afanyavyo mtu aliyeunguzwa na kitu.
Akasema ni kama vile sikuoni,,ila hakuna tatizo..
Ila hutofika nyumbani,, utaishia hapa hapa India.
Basi tukacheka,,kimasihara kama kumdhihaki rajesh mtabiri..

Ikaja zamu ya saidi nae akachanga karata,,halafu akaziweka chini,,tena kasuku akachukuwa moja
Akampa rajesh mtabiri.

Akamshika mkono saidi,, rajesh akasema wewe utapata matatizo makubwa sana hapa India..

Duu!! Ulikuwa ni utabiri fikirishi sana,,

lakini tuliupuuzia kama upuuzi
mwingine,
Tulifikiria pengine ni mambo ya kiongo kama wafanyavyo watabiri wengine matapeli

Mungu mkubwa nilipata passport yangu kutoka kwa police,, na mambo yangu yalirejea kama kawaida kufanya mishenishe za biashara..

Ikawa chenai tunawasiliana kwa usiku tu,,au week end moja moja nakutana nae sehem,,

Maana ni kipindi sasa mama yake amesharejea toka Zimbabwe.yupo hapo new delh.

Kwahyo muda mwingi nilikuwa busy,,

hivyo ilimfanya chenai kuchanganyikiwa zaidi na mwandende boy.

Ikawa simu mfululizo hadi kero,,Kama unavyojuwa simu tulikuwa tunashare na Mwenye nyumba,,

Kwa hyo muda mwingi yeye akipiga simu huwa wanapokea huko,,sisi yunakuwa town.

Phone calling!!!!!
Chenai

Hello,,

.sorry

Can I speak to mwandende plz?

"No no,,baadme mwandende abi neihe "

Abi school jaega"

Akimaanisha now mwandende hayupo amekwenda shule.

Basi simu kila wakati hata sometimes tunaongea habari zetu za mapenzi ktk simu bila kujuwa kumbe yupo Binti mmoja wa Mwenye nyumba anaitwa sapna anafuatilia maongezi yetu.

Ilitokea siku moja natoka ndani napita pale kwa Mwenye nyumba kuna jambo fulani la kumwambiya.

Nikakutana na Binti mmoja kama 20 hivi,,,nilikuja kujuwa baadae jina lake anaitwa sapna.

Ambaye ni mtoto yule mama,,nikamsalimia,,akajibu kwa aibu sana.

Then nikamuuliza yule mama akawa hayupo.
Nikamwambiya nitakuja baadae.

Yule binti akanambiya.
You must be mwandende.

Nikajibu

Yes,,iam the one.

Akanambiya ..

Your voice is so family to me.

Nikashangaa sana,,

I used to hear you on the phone with your girl friend talking.

I wish to see her one day..

She is so luck to have you.

Duu..
Nilitetemeka kwa hofu jinsi huyu binti alivyonitamkia,,

Halafu sikuwahi kumdhania chochote,,
Kumbe huyu Binti anatusikiliza maongezi yetu?

Halafu inaonyesha amependa sana sound yangu through phone.
Hii ni hatari sana hii.

Ghafla akaingiia muhindi mmoja Mzee wa makamo kiasi,, ambaye tunakaa wote flat moja,,
Ni Jirani yetu.

Basi alituangalia Jicho Kali sana hata nikahisi kuna kitu zaidi ya utazamaji wake.

Wahindi ni watu wanafki sana,,pia hawapendi kuona mwanamke yeyote muhindi awe karibu na mwanaume mwafrica.
Kwa jinsi alivyotuangalia yule jamaa nikahisi ni tatizo.

Nikarudi zangu ndani kwangu nikaendelea na shughuli zng,,

Siku ,,week zinakatika huku nikiendelea na ukaribu wa yule mtoto wa kihindi sapna..

Na yeye nilipogunduwa anasikiliza maongezi yetu,,

Basi nizidi kuweka sound za kimahaba zaidi,,

nikazidi kumteka sapna,,hata kwao wakaanza kuhisi jambo mbaya kwangu mm na yeye.

Siku moja usiku tupo home,,na ma home boys, ,

Kama saa mbili hivi tunapiga story mbili tatu huku tukiangalia tv..

walivamia wahindi pale flat na magongo wakiongozwa na mkuu wa kitongozi,

Wakiwalazimisha homeboys wangu tufunguwe mlango,,wana shida na mm,,

Wale jamaa hawakujuwa kosa na sababu ya mm kutafutwa na wale wahindi zaidi ya 20 ,,

tena wakiwa wameshika magongo ya ctiket mkononi..

Tukaomba aitwe Mwenye nyumba tujuwe sababu ya kwann mm natakiwa nje na wahindi,,

nihojiwe kwann natembea na Binti yao,,

maana yake kinachofatia ni kupigwa magongo ya cricket mwilini.

Yule mama kumbe alishalishwa sumu kwamba natembea na spna Binti yake,

Akiongea kwa uchungu wanitoe mm na tuhame mle flat.

Basi ilitokea purukushani pale tufunguwe mlango na sisi hatutaki,,

Itaendelea.
 
Episode 7.

Tupo ndani,,tumezungukwa na kikundi cha wahindi kikiongozwa na kiongozi wa mtaa,,

wakituamrisha tufunguwe mlango,,
Ili wanihoji juu ya uhusiano na binti wa kihindi Sapna.

Tuligoma kwa muda hata wakatishia kuuvunja mlango wetu.

Mwishowe wakaja police ,,tukafunguwa mlango,

Na ktk mahojiano ya hapa na pale,,

Sikukutwa na ushahidi wa moja kwa moja kimahusiano na Sapna,

Kwani hata sapna alipoulizwa alikataa.

Basi nilionywa kuwa karibu na binti yule,,

Hilo likapita..kama yalivyopita mengine.

Baada ya miezi kadhaa kupita mambo yangu yalikuwa powa sn,,

Nilipata connections nyingi sana nikapata pesa kama dola 5000 hivi.
By that time ilikuwa pesa nzr sn,,

naikumbuka change ya dola to shilling ilikuwa 1200 sh..1$.

Nikafikiria kurudi Tanzania,, lakini nitamuambiaje chenai?

Sikutaka ajuwe kama narudi Tanzania .

Nikatengeneza story kwamba nipo likizo sasa nakwenda Thailand for Holiday,,kama two weeks,
then narudi India kuendelea na masomo..

Maana students wengi Kenyans na Tanzanians likuwa hawaendi inchi zao kipindi cha likizo,,.

Ni gharama sana ticket two ways.
Ni bora uendelee kukaa pale india hadi mwisho wa masomo yako.

Au uende inchi zingine za Asia,

Ilikuwa ni kawaida sana kwa wanafunzi pale India,,
wakati wa likizo kwenda popote duniani,, especially inchi za Asia.
Thailand.
Malaysia.
China.
Hong Kong.

Kwa kipindi kile likuwa haisumbuwi kabisa kuingia inchi hizo ukiwa na students passport..

Nakumbuka kipindi kile,,
-Thailand ,
--Hong Kong.
--China.
--Bangkok (Thailand)

,Ni free kwa Tanzanian passport. Ikawa rahisi kwangu kudanganya.,

Week kabla ya safari yamgu. chenai aliomba tuonane,,

tukakutana Indira market kama ilivyo kawaida.,
Alikuja na house girl wao ,mtoto mmoja wa asili ya Tibet.
Jamii fulani karibu na Nepal ndy asili yao.

Baada ya maongezi mawili matatu,

Chenai aliniuliza,,

""Mwandende ,,"do you really go?

Yes I do,,but I won't take long my love.

Nilijibu huku namkazia macho ili kuonyesha msisitizo ktk kile ninachokimaanisha..

Ghafla akaanza kulia kwa sauti hata kuwavuta wapita njia waliopo jirani na pale market.

Nikambembeleza kidogo akatulia lakini akawa bado analia kwa kwikwi,,

Alikuwa ni kama mtu ambaye bado ana uchungu mwingi moyoni na haujakwisha..
Like kama alikuwa ana deka fulani hivi,,
Si unajuwa mambo ya mapenzi tena?

Nilijitahidi kumbembeleza akatulia..

You know why chenai still crying?

Aliniuliza swali yule house girl wao.

Nikajibu,,

No,,I don't know.

House girl akaendelea kusema,

She has a feeling that you won't come back in india again.

That's why,,,, she has been crying since the day you told her about going to Thailand.

Nilishangaa sana,,
nikasema kwenye mapenzi ya kwl mara nyingi mioyo huongea pamoja,

Chenai amejuwaje kama sitorudi India tena?

Nilimbembeleza siku ile akanielewa.

Lakini nikawa nazidisha muda mwingi wa kuwa nae pamoja,,
ili kuendelea kumliwaza..

Siku ya safari iliwadia, sikupata nafadi ya kuagana na chenai,,

Week end always mama yake yupo home,

I called her and said goodbye,,through Phone.
Just like that.

Nilitoka Indira Ghand international airport New Delhi India, ,,,

nikafika Daresalam salama,.

Nilikutana na home boys wangu wa bongo ,,
Ilikuwa fully shangwe,,

,naikumbuka perfume yangu ya hatari sana,,XS PACCO RABANNE..

that time mtu yeyote mjanja akitoka nje lazima amiliki perfumes kali mfano ..

-Korous.

--Jazz.

--Hugo boss.

--Xs pacco rabanne.

Ninapokuwapo popote lazima uvutwe na pacco rabanne/korous perfume.

Zilikuwa harufu tamu mno..

Miezi,,miaka ilipita,,nikasahau kuhusu chenai,,

Nikasahau kuhusu India,,

sikumtafuta tena chenai,,

habari za India zilifutika kabisa,,

nikasahau kila kitu,,

maisha yakaendelea upande mwingine.

Nipo Lusaka ndani ya bus la Taqwa,, nikitokea south kupitia Zimbabwe.

Bado ilikuwa tunasubiri muda ufike tuanze safari tena ya Lusaka -Tunduma.

Nilkuwa nimechoka sana,,

maana safari ya south Lusaka ni hatua ndefu sana.

Nipo karibu kupata usingizi,,

nikashtuliwa na kelele za huko nje,

nikazipuuzia maana hapo inter city bus terminal walevi ni wengi.

Kilichonifanya nishtuke ni kusikia wanazungumza kiswahili,,

nikaweza kusikia kila kinachoendelea.,

Ilikuwa ni zogo nikagunduwa pengine kuna ugomvi fulani wa watanzania wenzangu..

Nikasema ngoja nikajaribu kufuatilia shida nn huko chini.

Nikajisogeza karibu ya ule ugomvi,,

nikaona jamaa mmoja kakunjwa shati lake hata kufikia kuacha eneo zima na tumbo na kifua kipo wazi.

Nikaja kugunduwa kwamba hawa jamaa mmoja ni conductor wa basi lile na mwingine alikuwa ni abiria.

"Conductor,."

Ulisema ukifika Lusaka utatoa pesa za nauli,,

Umefika hapa unasema unatoa pesa Tunduma,,

Hilo hakiwezekani,,toa pesa,,toa pesa..

Hebu nishikie simu yangu.

Duu ,,,!!!!yule konda akiomba msaada ashikiwe simu ili amtie adabu yule abiria.

Nikamuangalia kwa makini yule jamaa,,

Duu, aisee!!!!!,nikashtuka sana,,

Kumbe ni sued,, !!!!!!.

yule homeboy wangu niliyekuwa naishi nae vasant vihar India 1999.

Yule sued aliyenitolea $100 kwa ajili ya kunisaidia kukomboa passport yangu kwa police wa kihindi..

Miaka 16 sasa imepita ,,

naonana na mtu niliyekuwa nae bega bega ktk kutafuta maisha India.,

Tena maisha mabovu na ya hatari kabisa..

Mtu aliyejitolea kunilipia pesa $100 ,,ili nikomboe passport yangu,

Ili niendelee kujitafutia ridhiki badala ya kukaa ndani na kuogopa kutoka nje bila passport.

Nikasema huyu ni ndugu yangu na siwezi kumuacha akiangamia mbele yangu.

Pale pale nikaingilia ugomvi ule,,

Kwani huyu jamaa anadaiwa kwacha ngapi?

--" Nikauliza conductor"

Konda akasema alipaswa anipe $ 20 kutoka harare hadi Lusaka.

Nimwambiya yule sued kwani safari yako inaishia wapi?

Sued akasema.

Daresalam,,"

Pale pale nikatoa 600 rands nikamlipia sued pesa zote hizo..

Ajabu muda wote sued bado hajanikumbuka mwandende.

Nikamuita jina sued,,vasant vihar,
Sued alinikumbuka,,

akanikumbatia,,

alilia sana mbele yangu.
Hata nikajisikia vibaya sn.

Nikaona nimtoe eneo la tukio maana watu walishaanza kujaa tena pale.

Tukiwa tumeshapata msosi wa ugali samaki choma na kachumbari,,

Nje kidogo ya terminal ya usaka inter city.
Huku tukishushia na juice ya mixed fruit,,
ndy nilipopata nafasi ya kumuuliza sued habari za India.

Akanambiya ni long story mwandende..

Itaendelea.
 
Episode 7.

Tupo ndani,,tumezungukwa na kikundi cha wahindi kikiongozwa n kiongozi wa mataa,,

wakituamrisha tufunguwe mlango,,
Ili wanihoji juu ya uhusiano na binti wa kihindi Sapna.

Tuligoma kwa muda hata wakatishia kuuvunja mlango wetu.

Mwishowe wakaja police ,,tukafunguwa mlango,
Na ktk mahojiano ya hapa na pale,,

Sikukutwa na ushahidi wa moja kwa moja kimahusiano na Sapna,

Kwani hata sapna alipoulizwa alikataa.

Basi nilionywa kuwa karibu na binti yule,,
Hilo likapita..

Baada ya miezi kadhaa kupita mambo yangu yalikuwa powa sn,,

Nilipata connections nyingi sana nikapata pesa kama dola 5000 hivi.
By that time ilikuwa pesa nzr sn,,

naikumbuka change ya dola to shilling ilikuwa 1200 sh..1$.

Nikafikiria kurudi Tanzania,, lakini nitamuambiaje chenai?

Sikutaka ajuwe kama nakwenda Tanzania,

Nikatengeneza story kwamba nipo likizo sasa nakwenda Thailand for Holiday,,

Ilikuwa ni kawaida sana kwa wanafunzi pale India,,

wakati wa likizo kwenda popote duniani,,

Na viza zake haisumbuwi kabisa.

Nakumbuka kipindi kile Thailand ni free kwa Tanzanian passport. Ikawa rahisi kwangu kudanganya.

Week kabla sijasafiri,,chenai aliomba tuonane,,

Nikaitikia wito,,
akaja na house girl wao,, tukakutana Indira market kama ilivyo kawaida.

Basi akanambiya..

Mwandende ,,do you really go?

Yes I do,,but I won't take long my love.
Nilijibu kwa kumtoa hofu,

Ghafla akaanza kulia kwa sauti hata kuwavuta wapitanjia waliopo Jirani na pale.

Nikambembeleza kidogo akatulia lakini akawa bado analia kwa kwikwi,,

kama mtu ambaye bado ana uchungu mwingi moyoni na haujakwisha..

You know why chenai still crying?

Aliniuliza swali yule house girl wa kipindi,simkumbuki jina..

Nikajibu,,
No,,I don't know.

House girl,

She has a feeling that you won't come back mwandende.

That's why,,,, she has been crying since you told her about going to Thailand.

Nilishangaa sana,,nikasema kwenye mapenzi ya kwl mara nyingi mioyo huongea pamoja,

Chenai amejuwaje kama sitorudi India tena?

Nilimbembeleza,,nikawa nazidisha muda mwingi wa kuwa nae pamoja,,ili kumliwaza..

Nilitoka India nikafika daresalam salama,

Nilifanya fujo nyingi sana mtaani ,,

hakuna mwanamke aliyekuwa na uwezo wa kunikataa mwandende.

Nilikuwa natamba mm tu mitaa yote.
Kwa nguo Kali na perfumes za hatari.

Nilikuwa nikipita mtaani kila mtu anajuwa mwandende kapita,

,naikumbuka perfume yangu ya hatari sana,,XS PACCO RABANNE..

hiyo ndy ilikuwa kama salam za mwandende kapita hapa.
Au yupo eneo hilo.
Ninapokuwapo na pacco rabanne yupo.
Ilikiwa ni ngumu kututenganisha,,ilikiwa perfume nzr sana.

Miezi,,miaka ilipita,,nikasahau kuhusu chenai,,
nikasahau kuhusu India,,

sikumtafuta tena chenai,,

habari za India zilifutika kabisa,,

nikasahau kila kitu,,
na maiaha yakaendelea upande mwingine.

Nipo Lusaka ndani ya bus la Taqwa,, nikitokea south kupitia Zimbabwe.

Bado ilikuwa tunasubiri muda ufike tuanze safari tena ya Lusaka --Tunduma.

Nilkuwa nimechoka sana,,maana safari ya south Lusaka ni hatua ndefu sana.

Nipo karibu kupata usingizi,,

nikashtuliwa na kelele za huko nje,

nikazipuuzia maana hapo intercity bus terminal walevi ni wengi.

Kilichonifanya nishtuke ni kusikia wanazungumza kiswahili,,
na kusikia kila kinachoendelea.

Nikasema ngoja nikajaribu kufuatilia shida nn huko chini.

Nikajisogeza karibu ya ule ugomvi,,

nikaona jamaa mmoja kakunjwa shati lake hata kufikia kuacha eneo zima na tumbo na kifua kipo wazi.

Nikaja kugunduwa kwamba hawa jamaa mmoja ni conductor wa basi lile na mwingine alikuwa ni abiria.

Conductor,
Ulisema ukifika Lusaka utatoa pesa za nauli,,
Umefika hapa unasema unatoa pesa Tunduma,,

Hilo hakiwezekani,,toa pesa,,toa pesa..

Hebu nishikie simu yangu.

Duu ,,,!!!!yule konda akiomba msaada ashikiwe simu ili amtie adabu yule abiria.

Nikamuangalia kwa makini yule jamaa,,

Duu, aisee!!!!!,nikashtuka sana,,

Kumbe ni sued,, yule homeboy wangu niliyekuwa naishi nae vasant vihar India 1999.

Yule sued aliyenitolea $100 kwa ajili ya kunisaidia kukomboa passport yangu kwa police wa kihindi..

Miaka 16 sasa imepita ,,naonana na mtu niliyekuwa nae bega bega ktk kutafuta maisha India.,

Pale pale nikaingilia ugomvi ule,,

Kwani huyu jamaa anadaiwa kwacha ngapi?
Konda akasema alipaswa anipe$ 20 kutoka harare hadi Lusaka.

Nimwambiya yule jamaa kwani safari yako ni wapi?

Akanambiya daresalam,,

Pale pale nikatoa 600 rands nikamlipia sued pesa zote hizo..

Ajabu muda wote sued bado hajanikumbuka mwandende.

Nikamuita jina sued,,vasant vihar,

Sued alinikumbuka,,

akanikumbatia,,
alilia sana mbele yangu.

Hata nikajisikia vibaya sn.

Nikaona nimtoe eneo la tukio maana watu walishaanza kujaa tena pale.

Tukiwa tumeshapata msosi wa ugali samaki choma na kachumbari,,
Nje kidogo ya terminal ya usaka intercity.

Huku tukishushia na juice ya mixed fruit,,
ndy nilipopata nafasi ya kumuuliza sued habari za India.

Akanambiya ni long story mwandende..

Itaendelea.
Interesting
 
Episode 8,

Nipo na sued homeboy wangu niliyekuwa naishi nae India vasant Bihar..
Tunakutana baada ya miaka 16 kupita tangu nirudi toka India.

Nikamuuliza sued habari za watu niliowaacha nyuma yangu kule India..

Sued akapiga ile juice fundo la nguvu halafu akanambiya ni long story mwandende...

kwanza akaanza na habari zake,, kwamba ametoka south,,
alifata biashara fulani,,
lakini kuna watanzania wenzetu walimdhulumu pesa zake zote,,

Hata kufikia kukosa hata nauli ya kumfikisha Tanzania.

Ilibidi aweke rehani laptop mbovu ili iwe Kama dhamana ya kumfikissha Tanzania,

Kufika Lusaka nadhani yule kondactor aliishtukia ile laptop mbovu,,

Ikabidi alazimishe kupewa nauli.

Sued alishukuru sana kwa jinsi nilivyomsaidia nauli..

Mwandende,,

Aliniita,
,akanambiya ulipoondoka India na mm haikupita mwaka mmoja nikarudi zangu Tanzania.

Siku moja alipiga simu msichana mmoja akajitambulisha anaitwa chenai,

Akajitambulisha ni girlfriend wako,,

tukamwambiya mwandende kasafiri yupo Tanzania.

Duu nikamwambiya mlishaharibu kila kitu,,

Akasema alilazimisha apajuwe nyumbani ili apate uhakika zaidi kama ni kwl umesafiri.

Siku amekuja chenai ,,na kugunduwa kama upo Tanzania,

Chenai alipiga kelele za kilio hata kukaribia kujaza wahindi pale ndani.

Nilijisikia vibaya sana kumwacha chenai katika hali ile.

Nikauliza kuhusu Hamidu,,?

akasema Hamidu alipata ajali mbaya ya gari akafa papo hapo..
Aligongwa na gari maeneo ya karol bagh..

Duu!!! Niliingia ubaridi mwili mzima,,

Nikakumbuka utabiri wa rajesh kwamba Hamidu kivuli chake Rajesh mtabiri alikuwa hakioni

Na akasema Hamidu ataishia India hatorudi nyumbani.

Nikauliza kuhusu Saidi,, ?

akanambiya nae yupo jela kafungwa miaka mingi ,,

aligombana na mnigeria mmoja ikafikia kumchoma kisu yule jamaa na kufa papo hapo.

Pia nikakumbuka utabiri wa rajesh,,

alisema saidi atapata matatizo
makubwa sn India.

Kwakweli nilijisikia vibaya sana kusikia habari zile.

Nikatoa noti ya $ 100 ,,2 nikampa sued,,$ 200.

tukaingia tena kwenye bus safari Tanzania..

Nilichojifunza ni kupenda kutendeana wema bila kujali malipo yeyote kutoka kwa unayemtendea.

Hujuwi atakaekuja kukufaa kesho ni nani,,

Wema ni akiba ya kesho

Hii ni true story ya maisha yangu ya kutafuta inchini India

Mwisho.
 
Episode 8,

Nipo na sued homeboy wangu niliyekuwa naishi nae India vasant Bihar..
Tunakutana baada ya miaka 16 kupita tangu nirudi toka India.

Nikamuuliza sued habari za watu niliowaacha nyuma yangu kule India..

Sued akapiga ile juice fundo la nguvu halafu akanambiya ni long story mwandende...

kwanza akaanza na habari zake,, kwamba ametoka south,, alifata biashara fulani,,lakini kuna watanzania wenzetu walimdhulumu pesa zake zote,,

Hata kufika kukosa hata nauli ya kumfikisha Tanzania.

Ilibidi aweke rehani laptop mbovu ili iqe Kama dhamana ya kumfikissha Tanzania,

Kufika Lusaka nadhani yule kondactor aliishtukia ile laptop mbovu,,

Ikabidi alazimishe kupewa nauli.
Sued alishukuru sana kwa jinsi nilivyomsaidia nauli..

Mwandende,,

Aliniita,,akanambiya ulipoondoka India na mm haikupita mwaka mmoja nikarudi zangu Tanzania.

Siku moja alipiga simu msichana mmoja akajitambulisha anaitwa chenai,

Akajitambulisha ni girlfriend wako,,

tukamwambiya mwandende kasafiri yupo Tanzania.

Duu nikamwambiya mlishaharibu kila kitu,,

Akasema alilazimisha apajuwe nyumbani ili apate uhakika zaidi kama ni kwl umesafiri.

Siku amekuja chenai ,,na kugunduwa kama upo Tanzania,

Chenai alipiga kelele za kilio hata kukaribia kujaza wahindi pale ndani.

Nilijisikia vibaya sana kumwacha chenai katika hali ile.

Nikauliza kuhusu hamidu,,

akasema hamidu alipata ajali mbaya ya gari akafa papo hapo..

Nikakumbuka utabiri wa rajesh kwamba hamidu kivuli alikuwa hakioni na ataishia hapo India.

Nikauliza kuhusu Saidi,, akanambiya nae yupo jela kafungwa miaka mingi ,,

aligombana na mnigeria mmoja ikafikia kumchoma kisu yule jamaa na kufa papo hapo.

Pia nikakumbuka utabiri wa rajesh,,

alisema saidi atapata matatizo
makubwa sn India.

Kwakweli nilijisikia vibaya sana kusikia habari zile.

Nikatoa noti ya $ 200 nikampa sued,,
tukaingia tena kwenye bus safari Tanzania..

Hii ni true story ya maisha yangu ya kutafuta inchini India.

Mwisho.
Hii noti ya $200 ilitengenezwa special kwa ajili yako mwandende???😂
 
huyu chenai ni aina ya watoto wa kishua bahili sjaona akikupa ela kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom