Thanks bro
Shukran mkuu kwa story nzuri ya kweli....Episode 8,
Nipo na sued homeboy wangu niliyekuwa naishi nae India vasant Bihar..
Tunakutana baada ya miaka 16 kupita tangu nirudi toka India.
Nikamuuliza sued habari za watu niliowaacha nyuma yangu kule India..
Sued akapiga ile juice fundo la nguvu halafu akanambiya ni long story mwandende...
kwanza akaanza na habari zake,, kwamba ametoka south,, alifata biashara fulani,,lakini kuna watanzania wenzetu walimdhulumu pesa zake zote,,
Hata kufika kukosa hata nauli ya kumfikisha Tanzania.
Ilibidi aweke rehani laptop mbovu ili iwe Kama dhamana ya kumfikissha Tanzania,
Kufika Lusaka nadhani yule kondactor aliishtukia ile laptop mbovu,,
Ikabidi alazimishe kupewa nauli.
Sued alishukuru sana kwa jinsi nilivyomsaidia nauli..
Mwandende,,
Aliniita,,akanambiya ulipoondoka India na mm haikupita mwaka mmoja nikarudi zangu Tanzania.
Siku moja alipiga simu msichana mmoja akajitambulisha anaitwa chenai,
Akajitambulisha ni girlfriend wako,,
tukamwambiya mwandende kasafiri yupo Tanzania.
Duu nikamwambiya mlishaharibu kila kitu,,
Akasema alilazimisha apajuwe nyumbani ili apate uhakika zaidi kama ni kwl umesafiri.
Siku amekuja chenai ,,na kugunduwa kama upo Tanzania,
Chenai alipiga kelele za kilio hata kukaribia kujaza wahindi pale ndani.
Nilijisikia vibaya sana kumwacha chenai katika hali ile.
Nikauliza kuhusu hamidu,,
akasema hamidu alipata ajali mbaya ya gari akafa papo hapo..
Nikakumbuka utabiri wa rajesh kwamba hamidu kivuli alikuwa hakioni na ataishia hapo India.
Nikauliza kuhusu Saidi,, akanambiya nae yupo jela kafungwa miaka mingi ,,
aligombana na mnigeria mmoja ikafikia kumchoma kisu yule jamaa na kufa papo hapo.
Pia nikakumbuka utabiri wa rajesh,,
alisema saidi atapata matatizo
makubwa sn India.
Kwakweli nilijisikia vibaya sana kusikia habari zile.
Nikatoa noti ya $ 100 ,,2 nikampa sued,,
tukaingia tena kwenye bus safari Tanzania..
Hii ni true story ya maisha yangu ya kutafuta inchini India.
Mwisho.
NitarudiEpisode 1.
Bado naikumbuka siku ya kwanza kufika India,,
Moyo wangu ulikuwa na hofu na wasiwasi na huko niendako.
Naikumbuka siku niliyoishiwa pesa za matumizi na kunifanya niwe street boy katika jiji la new delh.
Miaka 21 toka sasa,,lakini naikumbuka kila mtaa na eneo lote la new delh,,
kuanzia Karol Bagh,palika bazaar,pahar ganj ,,vasant vihar ,conut place.nk.
Bado naikumbuka sura nzuri sana ya mrembo chenai my love.
Where are you?
Hapa dar nilikuwa naishi mitaa fulani ya down town,,
Kipindi hicho watu wakitoka majuu,,basi wanatutia hamasa na tamaa ya kufika ng' ambo.
Yupo brother mmoja wa mtaani,,ilikuwa akirudi yupo powa sana,,
Kuanzia pamba ,,pesa kibao,,mademu kumgombania ni kawaida sana,
Kipindi hicho nina umri wa kama 20 hivi..
Basi niliamua kuzichanga pesa ,,mwishowe na Mimi mwandende nikawa kwenye emirates nakwea pipa ,,
Safari yangu ilianzia Nairobi,,kupitia Dubai,,then sahara international airport Mumbai..
Nakumbuka nilikuwa na jamaa zangu watanzania 3 ambao ndy walikuwa wanaongoza safari nzima.
Hawa jamaa nilikutana nao Nairobi ktk mipango ya kutafuta viza ya India.
Maana kipindi hicho hapa bongo hakukuwa na mambo mengi ya wajanja wa kutoa viza.
Ilikuwa kila kitu basi lazima upite Nairobi.
Mimi nilikuwa bado mdogo sana,,wala sina ndugu huko,,wala jamaa zaidi ya watanzania wenzangu wanaoishi huko ambao siwajuwi.
Tulifika Mumbai asubuhi salama,
pale tukakutana na watanzania wachache,,
Usiku tukapanda train tukaenda new delh ambapo ndy niliishi kwa dhiki na shida hadi kukutana na mtoto wa kishua chenai..
Itaendelea ,,
Hapana mkuu,,kipindi kille hakukuwa na mambo ya Mobile phone,,,so communications ilikuwa ngumu sana bila simu ya mkononi.Shukran mkuu kwa story nzuri ya kweli....
kwanza nikupongeze story umeitelemsha vizuri bila kuchelewa.....
pili nimesikitika kwanini hukufanya efforts kumtafuta Chenai inaonekana hukumjali kabisa mkuu!!??
Dah kweli kuna wenzetu mmeshayaishi haya maisha. Napenda sana kusafiri nchi mbalimbali Duniani, sijui lini ndoto yangu itakuwa kweli
Uko vizuri....mwanangu natumaini Tunaifunika ilaaa Khumbu...Dadadekiii......HIIII KALIIII xweetie #Chenai#Episode 2.
Tulifika new delh kesho yake jioni,,maana mwendo wa train kutoka Mumbai kwenda delh ni masaa 24.
Nakumbuka tulifika kama saa moja usiku.
New Delh ina baridi sana kuliko Mumbai,, nakumbuka ilikuwa mwezi wa february kama huu,,
Mbaya zaidi hatukujiandaa kwa winter jackets,, basi ilikuwa ni zaidi ya mateso kwa baridi.
India ni inchi ya ajabu sana,,maana ikiwa wakati wa summer,,basi joto hadi watu wanaanguka barabarani na kufa.
Na hata winter pia inakuwa ni baridi Kali sana sana.
Tulivyofika delh tukawatafuta watanzania kulingana na address tuliyopewa .
Tuliwasili katika hotel ya green guest house,,
Iliyopo mtaa wa pahar ganj,,guest ambayo ndy ilikuwa wanaishi baadhi ya watanzania waishio hapo new delh.
Kwa kweli jinsi nilivyokuwa naisikia India,,na jinsi nilivyoikuta ni vitu viwili tofauti,,
Jinsi nilivyokuwa naiangalia ktk movies ,,
na reality ni kama naota.
India ilikuwa ni Chafu sana,,kila mahali kuna mate ya tambuu,,wahindi hawachaguwi pa kutema mate.
Kwakweli nilianza kuichukia tangu nipo Mumbai,,
Lakini sikuwa na jinsi,sababu nilichokifata ni pesa. Ambazo hata sijuwi nitazipata vipi.
Maana mtu mgeni yeyote akifika India watu wanakushawishi uiuze ile return ticket yako.
Nikaja kugunduwa baadae kwamba ,,
lengo la kukushawishi uuze ticket yako ni kukufanya ushindwe kurudi nyumbani hata kama siku maisha yakikushinda.
Basi nilianza maisha mapya hapo green guest house,
Guest ilikuwa na vyumba vingi sana,,
ilikuwa na flat moja,
na kila chumba kina vitanda 2 ,,
Kwa malipo ya 10$ kwa kila kichwa kinacholala humo.
Maana yake hata mlale 6 chumba kimoja,,
yeye muhindi akija anachukuwa 10$ kwa kila mtu..
Kisha anafunga geti,,
Ilikuwa bado ni mgeni,,
na ktk balance yangu ya pesa nilibaki kama na 170$ tu,,
Kama ilivyo kawaida ya mgeni,,sehemu yeyote ukifika suala la pesa ngeni kwako inakuwa kama huziheshimu,,
Kwa matumizi ya hapa na pale,,mwisho wa siku pesa zote nimemaliza.
Maana kama ujuavyo maisha ya guest,,kula ni kujitegemea,
Nitaishije?
Nitalipa guest na nn?
Usiku umeshafika,,muhindi anataka pesa zake.
Muhindi,,
"Pesa chaiyee.."maana yake nahitaji pesa.
Mimi nikajibu pesa sina,nasubiri kutumiwa toka Tanzania.
Muhindi akanijibu kwa ukali..
--Is this your father's house?
Nikajibu No
--Is this your mother's house?
Nikajibu No
Niche jaoo...maana yake toka nenda chini..
Duu!! Wakuu usiku huu mm naenda wapi,,
Mgeni halafu simjuwi mtu huko nje,
Basi nikatoka nje na baridi lile la usiku,,
nikaanza kutafuta wapi nijibanze ili usiku upite.
Kwenye kuzunguka mtaa wa nyuma,nikaona watu wengi nao wamelala nje,,
na mm nikajilaza pembeni kabisa,,ili usiku upite.
Kufika asubuhi,,tukaamshwa na kelele za watu fulani,
kufuatilia kwa makini,,nikagunduwa kumbe ni wanaokodisha mabox ya kulalia,
India ni sehemu pekee duniani ambapo baadhi ya mitaa hufungwa usiku kupisha watu kulala ktk barabara hizo,
Wapo watu fulani wanamradi wa kukodisha mabox ya kulalia.,,
wanachofanya wanakuja pale na kukodisha mabox kwa wanaolala pale.
Na saa 12 am inapaswa muamke ili barabara itumike tena kwa matumizi ya magari.
Basi nilitumia kama mwezi kulala hapo barabarani na kulipia pesa kidogo za mabox,,
kwakweli killikuwa kipindi kigumu sana kwangu. ,mapito haya yalinifanya niwe very strong katika changamoto zozote za maisha.
Nilikuwa na moyo mgumu sana ktk kukata tamaa ,,,
nilifikiria sna Tanzania,, nilipotoka,,
Nikifikiria sna mtaani kwangu na wachumba niliowaacha bongo,,
Nitarudije home bila pesa?
Hili jambo lilinipa ujasiri sna wa kuvumilia shida kwa muda wote .
Basi Ilikuwa mchana nakwenda kule green guest lilipokuwa bag langu,,
chumbani kwa jamaa yng fulani,,
Navizia yule muhindi hayupo,,
naoga nabadilisha nguo,,
naingia mtaani.
Baada ya miezi kadhaa nikaanza kuuzoea jiji la new delh.
Hapo pahar ganj street ni mtaa fulani upo very busy,
Ni mtaa fulani mwembamba kama ulivyo mtaa wa Congo daresalam,
Fully tourists,, sasa kazi yangu ilikuwa ni kuwakamatia wazungu..
Maana India ni moja kati ya inchi inayoongoza kwa watalii duniani.
Mfano atataka hotel,,au anahitaji bangi,,basi mm najuwa wapi pa kuzipata na namuuzia kwa bei juu..
Atahitaji tax ,,basi mm very sharp naweka cha juu,,kwa mzungu naishi.
Mfano tourist anataka bangi ya dola 20
Nachukuwa kwa mtanzania mwenzangu kwa dola 5 nauza juu
,na uzuri wa wazungu akikuzoea hachukuwi kwa yeyote zaidi ya mtu wake. Basi niliwashika sana.
Ukizingatia umri wangu mdogo halafu naongea straight English,, basi wazungu walinipenda sn.
Nilikuwa napata pesa mbili tatu za kula na kupiga simu nyumbani.
Mwishowe nikapata wazo la kupanga nyumba sehemu fullani ya mji,
panaitwa Vasant Vihar.
Vasant Vihar ni sehemu illiyotulia sana,,huku ni sehemu ambayo 98% ya watu weusi ni students.
Ni umbali wa kama 30 kilometers from delh town.
Na sisi tukajichanganya huko vasant kama students,, ili maisha yazidi kuenda..
Huko ndy nilipopata bahati ya kukutana na mrembo chenai.,
Itaendelea.
Ongezaaaa GEAR Mwandende......kumbe Chenai ni Mwafrica xafiiii.....nilikua mpole mwanzo nilizani Kanyabaliiii.....Episode 4.
Helo cute ?can I have a word with you?
Nlimwambiya yule mrembo black,,
Akajibu,,
Yes,,
Where are you from?
Nikajibu
Iam from Tanzania.
And you?
Iam from Zimbabwe,,
My name is chenai.
Wht are you doing in delh mwandende?
Nikajibu,
Iam studying .
Chenai.
OK
Iam studying too.
Na hapa kwenye kusoma lazima utumie mbinu za kigaidi kujibu na kuuliza maswali,,usije ukasema unasoma chuo kumbe na yeye yupo hicho hicho.
Where do you study chenai and Wht are you taking in your studies.
Iam studying in delh university,
Iam taking computer science.
OK,,hapo na mm nikapata nguvu ya kushindilia minyororo ,,nilipiga minyororo kwa mtoto chenai hata kuifunguwa inabidi kukata na welder.
Mtoto alinielewa sana sana.
Especially by that time nilikuwa na rangi fulani ya co brown hatari,,halafu nipo simple lakini nimenyooka sana..
Unajuwa katika vitu tunawashinda waafrica wengine ni kuvaa na mapoz,,
Wabongo tukiwa ng'ambo tunakuwa tupo powa sn ktk sekta za kupiga pamba,,
kwa watu wa zamani tunasema kupiga vidudu..
Basi mtoto aliogopa sn,,kwa kujuwa labda na mm nipo fresh sana.
Nilimdanganya na mm nipo chuo kimoja wapo hapo hapo delh ila nachukuwa mambo ya sheria .
Chuo kimoja matata sana.
Mtoto akanambiya mama yake ni secretary wa balozi wa Zimbabwe inchini India.
Duu!! Nlijiona Nina bahati sana,
maana India kupata mwanamke black ni ngumu sana kwa kipindi kile,
sio sasa watanzania kibao wanajiuza huko,,
kipindi hicho ukitaka sex basi uende kuna mtaa fulanj unaitwa GP road ,,huko ndy kuna madanguro ya kuuza mwili,,
Goli rupees 50..na huko ni mashaka matupu kwani sometimes police wanavamia utapigwa magongo ya haja,
Na hata wanawake Malaya wauzaji sometimes wanatukataa watanzania,,
Ukienda kununuwa wanakwambiya ,,
mtu mweusi simtaki ,,wanakaa sana kiunoni, utanipotezea muda wa wateja.
Badala ya kupata wateja 10 utapata watanzania 3 sababu ya kukaa muda mrefu mapajani.
Maana mtanzania huwa anapiga 2 kwa moja.
Hii inakuwa unapiga goli moja na kuendelea zingine humo humo ndani ya condom moja bila yeye kujuwa kama umeshashusha mzigo,
Maana pesa yako inaisha pale unapopiga goli,
basi ikawa hatutakiwi kwenye madanguro,,
hiyo ilipelekea kuzidi kuwa na hamu ya tendo la ndoa.
Ukikosa muhindi utakwenda wapi?
Na hata tourist wengi India wanakuja one couple ,,mtu na partner wake,
so ni ngumu sana kupata mwanamke wa kizungu labda vibibi vilevi vya kitalii na wengi sio chaguo letu.
wanawake weusi wanahitaji PESA,, mfano Nigerians,, na mataifa mengine ya magharibi ndy waliweza kuwamudu hawa mastudents au hata wanawake wa kitanzania wasomao huko.
Kumpata chenai ilikiwa ni zaidi ya bahati,,maana hata kwao walikuwa na pesa sana huko Zimbabwe.
Aliwahi kunambiya siku moja kwamba wana undugu na Mugabe aliyekuwa rais kipindi kile.
Basi tulikuwa marafiki na chenai kama kwa week mbili au tatu hivi ,
Alikuwa akipiga simu mchana siku za week end,,maana anajuwa nakwenda chuo asubuhi na kurudi jioni.
Basi atapiga simu hata saa nzima tukiongea mambo romantic,, hata kutamani kufanya sex phone.
Mtoto alikuwa na sauti tamu sana,,lakini hata yeye alikuwa haishi kunisifia kwa sauti yangu nzito tena inayokoroma kiume na very sexy sound,,
namshukuru mungu kwa hilo.
Mimi nikiongea na mwanamke kwenye simu kwangu ni sawa na kupewa penalty,, huwa sikukosi.
Nilikuja kugunduwa thamani ya sauti yangu nilipokuwa south Africa,
Wanawake wengi wakinisifia sana sauti yangu.
Mwandende,, your voice is too romantic and sexy,,
Ingekuwa mtangazaji hakika nisingekosa kipindi chako,
Sauti yako nzito na so romantic inapasua moyo wa mwanamke yeyote .
Alipata kunambiya mrembo mmoja wa South Africa neno hilo hilo.
Halafu sauti ambayo haikupotei,,
ukiisikia kwenye simu na reality ni hivyo hivyo.
Basi mimi na mrembo chenai tuliangukia katika penzi zito kwa muda huo ,,ikawa ni simu kupitiliza,,
Muda wote huo mm sikuwahi kumgusia suala la sex,sababu sikuwa na pesa,pili hakuwa na muda wa kutoka Mara kwa Mara zaidi ya chuo.
Na hata akitoka kuja sokoni lazima awe na house girl wao muhindi...so ikawa ngumu kwangu kuomba sex.
Naikumbuka siku moja chenai alinambiya naomba tuonane,
Nikifika Indira market kama kawaida ,,
Chenai akaniangalia kwa macho ya udadisi akanambiya,,
Where do you live mwandende?
Nikamwambiya not far from here,, just 10 minutes walk.
Akanambiya,,
Plz take me there today.
Duu!! Nitampelekaje pale home ? Nikihofia kama hapana hadhi kuwa na yule mtoto mle.
Pia sikutaka nimpeleke pale,,,huenda wenzangu watakuja kumzoea na kuanza kumtia fitna.
Nikamwambiya next time,sababu wakati nakuja hapa na roommate wangu nae katoka na funguo,,so next time usijali.
Basi alihuzunika sana.
Then akanambiya.
My mother is going to Zimbabwe next week,,
She will be there for three weeks.
Will you come home?
It will be only me and house girl.
Please say yes.
Nilitamani nipige kelele kwa furaha,.nikajuwa sasa ndege yupo tunduni.
Siku ya kufika kwa akina chenai sikuamini macho yangu,,
Kwanza kwao wanaishi sehem za diplomatic ,,kama masaki fulani hivi,
Yaani mitaa very cool ,,fully ulinzi.
Nimefika pale kwa msaada wa address ya pale,
Siku ya mwisho kabla ya ahadi aliinipa address ya kwao akanambiya .
Take rickshaw,, I will pay.
Duu! Nilizidi kujiona Nina bahati .
Nilipofika pale nilimkuta tayari yupo nje,,
sababu hatukuwa na simu za mkononi,
ila nikamwambiya natoka home now nikukute nje,,
ingawa umenipa address ya hapo.
Basi alinikumbatia kwa shauku na hisia kali sana,,akanishika mikono,,
Let's go inside my love mwandende.
Kufika getini,,geti limefungwa,,mlinzi hataki kufunguwa mlango Mimi niingie ndani,
Mlinzi.
He is not allowed inside..
Chenai.
Why not?
Iam in charge of the house now,,let him inside.
Jamaa hataki,, basi mwisho chenai akamwambiya,,
You refused to let my guest inside..
Now iam going out with him, I won't come back never again in this house.
Basi pale pale nikamuona yule mlinzi muhindi akihangaika kupiga simu tofauti tofauti sijuwi akiongea na nani.
Chenai akaita rickshaw akanambiya let's go mwandende..
Itaendelea.




Kkkk mkuu,, chenai ni mzimbabwe,,kabila la shona.Ongezaaaa GEAR Mwandende......kumbe Chenai ni Mwafrica xafiiii.....nilikua mpole mwanzo nilizani Kanyabaliiii.....
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mkuu sijuwi hata nianzie wapi? Miaka 16 ni mingi sana,, na nahofia kuumia zaidi kujuwa taarifa zake.
Shukran sana mkuu,,,Hongera Sana mkuu@mwandende umepiga story mbili na kuzimaliza fresh kabisa bila kuomba buku ya vocha Wala kuzingua zingua... kiukweli umehasisisha wengi kwenye ulimwengu huu wa utafurahi!!! mwenyezi mungu azidi kukusimamia bro.
Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app