Episode 5.
Nipo getini home kwao chenai, mlinzi anaweka ngumu kuingia ndani.
Mlinzi, ,
He is not allowed inside..
Chenai.
Why not?
but he is my friend and my classmate too.
He is still a student like me ,,
Yule mlinzi kaweka ngumu,,
Chenai akaita rickshaw,(bajaj).
You refused to let my guest inside,, so iam going out with him,and I will never come back in this house.
Pale pale yule mdosi akawa anahangaika kupiga Simu zisizokwisha,,
Mara kampigia huyu Mara huyu,
Sijuwi haswa alikuwa na hofu gani,,
Niliwaza Sana bila majibu,,au pengine alikuwa anahisi labda mm ni mpenzi wa yule house girl muhindi wa akina chenai, niliwaza tu
Jamaa alikuwa hasomeki.
Zile purukushani zake zilisababisha hata walinzi wa Jirani kutoka kuangalia nn kinaendelea pale.
Tupo ndani ya rickshaw hata kukaribia kuondoka,,
Yule mlinzi akasema kwa sauti..
"Tickey ,,Tickey andar jaoo.."
"Andar jaoo."
Yaani poa poa ingia ndani.
Nadhani alipewa oda kutoka kwa bosi wao.
Chenai ni mtoto ndani ya family ya secretary wa balozi wa Zimbabwe inchini India,,
haikuwa jambo rahisi kwa unknown person kuingia nae ndani ya nyumba.ukizingatia ni usiku.
Nilikuja kupata majibu baadae huenda yule mlinzi alikuwa na hofu iliyopelekea kutusumbuwa.
Au alihisi naweza kumfanyia jambo lolote mbaya chenai wakaja kupata lawama,,
maana india kwa ubakaji hawajambo,,
kwa upande fulani,alikuwa na haki kama mlinzi.
Nikiwa ndani kama kawaida ya mgeni yeyote lazima macho yazunguke zunguke kuangalia tathmini ya eneo nilipo.
Aisee!! huyu mrembo kwao wamejipanga sana,,
Yaani hakuna sehem utasema wamekosea,,
Sebule ilikuwa kubwa ina vitu vya thamani ambayo kwa macho yangu haya mawili sikuwahi kuyashuhudia popote ktk maisha yangu.
Kwa Mara ya kwanza ndy nilishuhudia TV kubwa sana tena flat TV.
Ilikuwa ni TV flani iliyosimamishwa ukutani ikijitegemea na stand yake yenyewe.
Nakumbuka miaka ile ya 1999 TV zilikuwa za chogo aina national, Philips, Panasonic nk.
Naikumbuka ile tv ilikuwa aina ya sanyo.
Nilishangaa sana kwa vitu vya thamani zilizopo mle,
India ni watu wenye maendeleo sana sana.
India sio inchi ya kuichukulia poa,,
maana hawa jamaa kila kitu wanatengeneza wenyewe.
Kuna jamaa yngu fulani muhindi alishawahi kunambiya kwamba India inashindwa kumove so fast sababu ya population,,
lakini nusu ya population iliyopo sasa ingetoweka pale India,,
basi hata ulaya wangeomba poo,,kwa mafanikio ya inchi ya India.
Wangekuwa mbali sana kimaendelo
70 % ya raia wote ni masikini wakutupwa,,
hyo ndy tatizo kubwa linalowatafuna India na kufanikiwa.
,pia wahindi wapo so smart na intelligent sana.
Halafu hata mfumo wao wa elimu ni mzuri sana.
Ndy maana utakuta muhindi mmoja ana professional hata 3..
Mfano wahindi wanatengeneza wenyewe vitu kama,
--magari,,madawa,TV.silaha,simu nk.
Nakumbuka niliwahi kuona gari aina ya pajero,,
ndy zilikuwa zinatamba miaka hyo.
Yaani kila kitu ni vile vile kama pajero tofauti inaitwa Tata Pajero,,
yaani muhindi anabadilisha jina kidogo tu,,
lakini muonekano wa Benz ni ule ule lakini ataipa jina tata Benz..
India sekta ya import wameweka ushuru mkubwa sana kwa baadhi ya vitu imported ili kuuza vitu vya ndani mwao.
Mfano ukinunuwa TV,,au chochote cha inje ya India basi kitauzwa ghali,
pengine Mara 5 ya bei ya kitu cha made in India.
Yote ni kuinuwa soko la vitu vya ndani kwao.
Na wahindi wanapenda sana vitu vya made in India kuliko kutoka nje ya India.
Kwahyo kitendo cha kukuta ile TV tena sanyo made in Japan,,nilizidi kutoa big up kwa mama chenai.
Itakuwa kainunuwa TV bei mbaya sana.
Yeyote akifika pale , basi hakuhitaji hata elimu ya chuo kikuu kugunduwa kama hii ni family yenye Neema...
Mle ndani kulikuwa na vyumba 3 tu.na makorokoro mengine, ila ilikiwa nyumba moja matata sana.
Wakati nikiendelea kushangaa. shangaa..
Mwandende will you take shower before dinner?
Chenai aliniuliza.
No no,,i have taken shower already my love..
Nikajibu..
Basi chenai akaniandalia msosi mzuri wa wali na beans na nyama za kukaanga.
Unajuwa Zimbabwe ni wabantu kama wabantu wengine kwahiyo mapishi hayatofautiani sana na watanzania..
Nilikula sana msosi wa nguvu ,, hata kukaribia kuvimbiwa .
Nikamshukuru chenai kwa msosi nikasema.
It was so delicious ..
Akajibu thanks.
Basi muda wa kulala akanambiya come with me.
Akanishika mkono tukaelekea chumbani,,
huku tukimuacha house girl wao chumba kingine.
Bed room ilikuwa nzr sana,,ilikuwa na kitanda chenye dalili zote kwamba kilinunuliwa bei mbaya.
Pamoja na vitu vinginevyo vya kupamba.
Tukaanza story then nikaanza kuchombeza.
Duu,,kumbe chenai alikuwa bado mdogo,
namaanisha bikra kabisa,,
ilibidi nianze kumbembeleza maana alikuwa kagoma kabisa kunipa sex.
Kila nikimfanyacho haoyeshi ushirikiano wowote zaidi ya kubana miguu ,,,mtoto alikuwa na umbo zuri na rangi nzuri sana,,
Maziwa dodo halafu mbele ya ziwa kwenye chuchu kuna weusi,, aisee nilizidi kupata mzuka .
Mwishowe akanambiya..
Mwandende please ,,
Promise me ,,that you won't hurt me.
Nikawa nimeshamuelewa,,
Unajuwa sometimes hawa wasichana bikira wanakuwa wasumbufu ktk kutoa penzi ,,
especially siku ya kwanza ,,sababu huwa wanadanganywa kwamba bikira siku ya kwanza ikitolewa inauma sana .
So chenai aliniomba nimtoe pole pole,
Duu,,nikijiona kama fisi kakabidhiwa bucha..
Basi kwa ustadi mkubwa nilimtambaa chenai,,ktk kila eneo la
Mwili wake,,
Nilinyonya kila sehem ninayohisi ni ngumu ili kuilainisha.
Ni kama nilikuwa naweka Gris kwenye joints zilainike.
Basi nilimtambaa mtoto mwili mzima,,
huku nasikilizia mdundo matata sana wa R Kelly kibao kinaitwa down low.
Mwishowe chenai hakuwa na ujanja wala nguvu za kufunguwa hata Jicho lake,
Hapo nikaingia ktk sekta ya mambo ya mikono,,
Nikitumia style ya brush na nusu inchi hatimae nafanikiwa kumvunja mtoto wa kizimbabwe .
Basi mtoto alikolea sana juu ya penzi langu.
nikawa kama nimehamia kwa muda humo kwa akina chenai ,
hata my homeboys wangu wa vasant wakaanza kunisema,,
now sipo serious na maisha,,kana kwamba ni mgeni na wanawake.
India tumefata maisha mwandende,, wanawake wapo nyumbani Tanzania,
usipoangalia utakaa sana hapa.
Aliongea kwa hisia Kali sana homeboy wangu sued.
Hata nikajihisi mkosefu na ni limbukeni wa wanawake.
Chenai alinipenda na kuniamin sana.
Siku moja akanambiya kwamba ,,mama yake ulikuwa ni mwaka wa mwisho kufanya kazi pale India.
Next year anahamishiwa marekani basi akawa analalamika ataishije marekani bila Mimi?
I will tell mom to let me still studying here.
I can't live without you mwandende.
Siku moja homeboy wangu sued akanambiya,,
Sababu wewe mwandende ni mpambanaji,,
halafu umekaa zaidi ya mwezi huendi mjini,,utaishije?
Mimi nitakulipia dola 100$ kwa police ,,
siku yeyote ktk maisha yako ukipata utanipa,,,,,nakusaidia kama homeboy wangu.
Nikasema thanks.
Tupo barabarani tunaelekea town mm pamoja na homeboys zangu,sued hamidu,said kama kawaida yetu ,,
hyo ni baada ya weeks kadhaa za kukaa nyumbani vasant bila kwenda town ktk mishemishe za kutafuta rupees.
Tulipofika mtaa fulani eneo la palika bazaar tukaona kuna muhindi mmoja mtabiri wa nyota,,anatabiria watu mambo yao ya maisha .
Tukajisogeza pale na sisi tukataka tuone nn anachokifanya yule muhindi.
Huyo jamaa nikaja kujuwa baadae anaitwa rajesh,,
ni mwenyeji wa Tamil,,
India kuna makabila zaidi ya 200 ,,
na hii Tamil ni moja kati ya jamii ya wahindi lakini ni weusi pengine hata kushinda Africans..
Ni jamii fulani iliyobaguliwa na Hindu( Hindu) pamoja na Punjab (singasinga)Hawa ndy jamii zenye nguvu sana India.
Matajiri wengi ni either Hindu au Punjab.
Hawa Tamil wengi ni masikini.
Na hawa weusi ambao wanaongea Tamil ,,wengi ni wafanya kazi ngumu,,au kujitafutia kwa mtindo wa mitaani kama rajesh mtabiri wa nyota.
Rajesh alikuwa na kasuku pamoja na karata za aina fulani za kiganga ,,
so kafata hizi tulizozoea kuziona.
Basi tukajisogeza na sisi kama masihara hivi na sisi tuweze kupata utabiri wa maisha yetu kwa ujumla.
Nilimpa mkono wangu wa kulia akauangalia kwa nukta kadhaa halafu akasema chukuwa karata zichanganye,,,
Nikafanya kama alivyotaka nikaweka karata chini.
Yule kasuku akachaguwa karata moja ktk zile nilizochanga.
Akampa yule rajesh kwa kuibana na mdomo wake.
Rajesh mtabiri akaiangalia ile karata halafu akasema..
Kwa kihindi ,,maana mm nilikuwa sijuwi Tamil ila Hindi nilikuwa nakisikia vzr sana,,
Akasema ,,
Utakwenda nyumbani,, naona safari yako ipo vzr ya mafanikio ,,
Nikacheka sana,,kuonyesha kama sijakubaliani na jambo lile la safari ,,
sababu sikuwa hata na mawazo nisafiri nimwache chenai wangu mpweke.
Niliona ni mzushi ,,nikampa rupees 10,
Akaja sued nae akachanga karata akaziweka chini,,
Yule kasuku akachaguwa karata moja akampa rajesh mtabiri,,
Itaendelea .