Chenai upo wapi my love?

Shukran mkuu kwa story nzuri ya kweli....
kwanza nikupongeze story umeitelemsha vizuri bila kuchelewa.....
pili nimesikitika kwanini hukufanya efforts kumtafuta Chenai inaonekana hukumjali kabisa mkuu!!??
 
Hongera Sana mkuu@mwandende umepiga story mbili na kuzimaliza fresh kabisa bila kuomba buku ya vocha Wala kuzingua zingua... kiukweli umehasisisha wengi kwenye ulimwengu huu wa utafurahi!!! mwenyezi mungu azidi kukusimamia bro.


Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
 
Nitarudi
 
Shukran mkuu kwa story nzuri ya kweli....
kwanza nikupongeze story umeitelemsha vizuri bila kuchelewa.....
pili nimesikitika kwanini hukufanya efforts kumtafuta Chenai inaonekana hukumjali kabisa mkuu!!??
Hapana mkuu,,kipindi kille hakukuwa na mambo ya Mobile phone,,,so communications ilikuwa ngumu sana bila simu ya mkononi.
 
Uko vizuri....mwanangu natumaini Tunaifunika ilaaa Khumbu...Dadadekiii......HIIII KALIIII xweetie #Chenai#

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Ongezaaaa GEAR Mwandende......kumbe Chenai ni Mwafrica xafiiii.....nilikua mpole mwanzo nilizani Kanyabaliiii.....


Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
mwandende ngumi cherehani, umeshajaribu kumtafuta huyo binti?
Mkuu sijuwi hata nianzie wapi? Miaka 16 ni mingi sana,, na nahofia kuumia zaidi kujuwa taarifa zake.

,siku nikija gunduwa chenai sasa pengine ni mama wa watoto 5 ,,

Ni bora nibaki na hisia zile zile zilipoishia..

Miaka 16 atakuwa not the same chenai she used to be..
 
Shukran sana mkuu,,,
 
Nilikuwa nakimbiza mwizi kimya kimya.Asante kwa hii simulizi Mkuu.
Imebidi nimtafute Chenai huko Facebook ila wako wengi sana. Fanya kumtafuta mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…