Chemsha bongo hapa wapi nchini tanzania?

Mkuu Lukolo Hayo maneno yapo kwenye Airport ya mjini kigoma hayo ndio Maendeleo ya Tanzania yetu aibu tupu hata viongozi wetu wanayafumbia macho hayo maneno kama vile vipofu hawaoni kuwa ni aibu kwa nchi yetu wanapokuja wageni?
Ndiyo hapo ninajiuliza, ina maana hata meneja wa uwanja huu wa ndege ameona hayo maandishi yapo sawasawa? Au na meneja naye ni form four failure? Kweli Tanzania ina safari ndefu ya kwenda.
 
demo1.jpg
5462438220_e2a73885e6_z.jpg

images
Zanzibar+004.jpg

Ukiondosha Dares-Salaam Airport, airport zilizobakia zote ni Pumba tupu bado Tanzania tuko nyuma kimaendeleo mkuu Asprin.

itabidi chama kitakacho kuja kushika Uongozi kifanye kazi kweli kweli sio mchezo kabisa hakuna Maendeleo Tanzania bado tupo nyuma sana kimaendeleo.

Kwani wewe ulipoondoka kwenda ulaya ulipita wapi si bora ndege itue na kuondoka wewe unataka nini zaidi zinyo nyingine madoido tu bora maisha au maisha bora?
 
Mkuu kitalolo hali mbaya za viwanja vywtu ndio maisha yawe bora?usingizi wewe amka uone watu wanavyoishi mkuu acha usingiz huo.
 
Last edited by a moderator:

niko macho ndio maana naweza kuchati na wewe nakuuliza kwani ndege hazitui au wewe mpaka uone majengo mazuri ndio utajua umefika airport.
sio kwa serekali hii yenye surakali na serakali
yaani sirikali nyingine ikiingia madarakani sijui itaanzia wapi maana elimu ccm wamekwishaimaliza madini wametuachia maandaki afya ndio ukiwa na kitambi unaonekana una afya bora, kilimo ndio hicho kimekuwa kwanza, twiga wanapandishwa ndege, maji tunalipia lakini ukifungua bomba zinatoa hewa na sisi hatujalipia hewa, umeme nao tunalipia ukitoka kununu vocha ya luku ukifika nyumbani huwei kuweka maana umeme hakuna.
wewe unataka tukajenge majengo mazuri airport wakati watu hali zao ni mbaya hospitali watu wanalala chini hakuna vitanda wla madawa wala vifaa tiba mashule walimu wamechoka wanajinunulia chalk na kuuza vitumbua hatuna hata mtaala wa elimu walimu hawana nyumba za kuishi baadhi ya shule hazina hata matundu ya choo au wewe hujasikia kuna shule inafugwa kwakukosa chakula? wewe unataka majengo ya kurushia twiga? usafi wenyewe kwenye miji umekuwa kwa hisani ya watu wa marekani

We have a long way to go and we don't know where are we heading to
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, MziziMkavu, haya maneno yameandikwa airport au mahali gani? Aibu kubwa hii, hivi ina maana huo uwanja hauna uongozi? Haiwezekani kufuta na kuandika upya? Kweli hii nchi inaongozwa na mazuzu! Unawezaje kuwa manaja wa uwanja halafu ukavumilia kuyaona haya?

Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
 
niko macho ndio maana naweza kuchati na wewe nakuuliza kwani ndege hazitui au wewe mpaka uone majengo mazuri ndio utajua umefika airport.
sio kwa serekali hii yenye surakali na serakali
yaani sirikali nyingine ikiingia madarakani sijui itaanzia wapi maana elimu ccm wamekwishaimaliza madini wametuachia maandaki afya ndio ukiwa na kitambi unaonekana una afya bora, kilimo ndio hicho kimekuwa kwanza, twiga wanapandishwa ndege, maji tunalipia lakini ukifungua bomba zinatoa hewa na sisi hatujalipia hewa, umeme nao tunalipia ukitoka kununu vocha ya luku ukifika nyumbani huwei kuweka maana umeme hakuna.
wewe unataka tukajenge majengo mazuri airport wakati watu hali zao ni mbaya hospitali watu wanalala chini hakuna vitanda wla madawa wala vifaa tiba mashule walimu wamechoka wanajinunulia chalk na kuuza vitumbua hatuna hata mtaala wa elimu walimu hawana nyumba za kuishi baadhi ya shule hazina hata matundu ya choo au wewe hujasikia kuna shule inafugwa kwakukosa chakula? wewe unataka majengo ya kurushia twiga? usafi wenyewe kwenye miji umekuwa kwa hisani ya watu wa marekani

We have a long way to go and we don't know where are we heading to
Mkuu kitalolo Mkuu yote uliyoyasema ni kweli lakini cha ajabu ikifika wakati wa uchaguzi mbona mnaichaguwa hiyo hiyo SISI-EMU iwaongoze nchi yenu yenye utajiri wa Twiga,Madini Mali Asili na dhahabu? kwanini hamuamki nyinyi walala hoi? Kwanini hamchaguwi Viongozi wanao wapenda Walala hoi? Amkeni jamani ndugu zangu wakati ndio huu utakapofika wakati wa uchaguzi wachagueni viongozi wanaofaa kuongoza nchi sio kuwachaguwa viongozi wabovu hawafai kuongoza nchi asante sana kwa ushauri wako.
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo hapo ninajiuliza, ina maana hata meneja wa uwanja huu wa ndege ameona hayo maandishi yapo sawasawa? Au na meneja naye ni form four failure? Kweli Tanzania ina safari ndefu ya kwenda.
Mkuu.@v huyo Meneja inaonyesha hata hiyo Form 4 hajafiika Meneja wa kupewe tu na Viongi wahusika kwa sababu inaonyesha huyo Meneja labda ni Mfanya kazi wa siku nyingi ha Kiingereza inaonyesha hajuwi kusoma.
 
Bw Mzizi Mkavu baah yani kumaani maani watu tu sie kwetu hata hukufika yaani kiwanja cha Lindi kiko wapi hapo mbona sikioni
Mkuu.@v huyo Meneja inaonyesha hata hiyo Form 4 hajafiika Meneja wa kupewe tu na Viongi wahusika kwa sababu inaonyesha huyo Meneja labda ni Mfanya kazi wa siku nyingi ha Kiingereza inaonyesha hajuwi kusoma.
 
Bw Mzizi Mkavu ndio kiko kiwanja lakini kwa sasa ndio hivo tena ikiwa unaendea Mchinga utaona kibao kinachoonesha Metrology basi unaendelea huko ndio utakikuta kiwanja chetu
Lakini sie watu wa Kusini mumetusahau na gesi yetu hatutowi bbaah
6331776688_b356e6bfc5_b.jpg

0.jpg

Lindi Airport
 
Mkuu kitalolo Mkuu yote uliyoyasema ni kweli lakini cha ajabu ikifika wakati wa uchaguzi mbona mnaichaguwa hiyo hiyo SISI-EMU iwaongoze nchi yenu yenye utajiri wa Twiga,Madini Mali Asili na dhahabu? kwanini hamuamki nyinyi walala hoi? Kwanini hamchaguwi Viongozi wanao wapenda Walala hoi? Amkeni jamani ndugu zangu wakati ndio huu utakapofika wakati wa uchaguzi wachagueni viongozi wanaofaa kuongoza nchi sio kuwachaguwa viongozi wabovu hawafai kuongoza nchi asante sana kwa ushauri wako.

lakini nafikiri unakumbuka hata kiongozi mkuu wa nchi aliyeko madaakani sasa hivi hatukumchagua alidictate tu madaraka wewe ngoja wale watu wa kijijini ambao ulikuwa mtaji wao kwa kanga na Tshirt umepukutika haswa kwa hii hali ngumu ya uchumi inayoikabili dunia naona kila mmja anaona kama inasababishwa na sisiemu. wazazi wetu walioko vijiji tulikuwa walau tunawatumia vijisent lakini leo hii hali zetu =za kiuchumi sio kama zile za jana na wakiuliza kwanini siku hizi hamtumi hata vijisent tunawaambia nyie mliichagua ccm sasa ndio wamefanya hali kuwa hivi kwahiyo nao wamekwishajenga =chuki ya hali ya juu kwa ccm wewe utaona kura za 2015 jinsi zitakuwa nyingi na jinsi zitakavyolindwa.
ccm juzi walikaa kutathimini jinsi ya kuongeza mapato ili waweze kukuza hela za ruswa kwenye uchaguzi 2015 lakini nakuambi yote hiyo haitasaidia. we kama huamini angalia yanayotokea kwenye ngome za ccm kama mtwara na kwingineko ndio utajua
 
Last edited by a moderator:
hiyo FAST JET IPO SAUZI ngoja irudi itajibu kero zenu,hii serekali sikivu!
 
Back
Top Bottom