Chemsha bongo hapa wapi nchini tanzania?

Chemsha bongo hapa wapi nchini tanzania?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,958
attachment.php




MAISHA BORA KWA KILA MDANGANYIKA NA MZANZIBARA............
...........​
 

Attachments

  • Pemba.jpg
    Pemba.jpg
    78 KB · Views: 287
Mkuu mbona imeandikwa hapo Pemba Airpot? Jibu: Hapo ni Pemba. Nigongee LIKE tafazali.
Mkuu Asprin Hiyo kweli airport au ofisi ya Airport? ndege inatua wapi? mbona hakuna kiwanja cha kutua ndege?
 
Last edited by a moderator:
demo1.jpg
5462438220_e2a73885e6_z.jpg




images
Zanzibar+004.jpg


Ukiondosha Dares-Salaam Airport, airport zilizobakia zote ni Pumba tupu bado Tanzania tuko nyuma kimaendeleo mkuu Asprin.

itabidi chama kitakacho kuja kushika Uongozi kifanye kazi kweli kweli sio mchezo kabisa hakuna Maendeleo Tanzania bado tupo nyuma sana kimaendeleo.
 
Ndo uwanja pekee tulio nao Bongo tunaojivunia nao, ambao ukilinganisha na viwanja vya wenzetu huu unakuwa uwanja wa kata..... Hii nchi bana.
Mkuu Asprin Tanzania Hakuna Serikali kuna Siri-kali tu huko nyumbnai kwetu Viongozi wetu wengi wao ni Mafisadi sasa kutakuwa kweli na maendeleo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kiranga Kigoma hakuna uwanja wa Airportkuna mabanda ya uwanja wa Airport haahahahahah


Kigoma%2BAirport%2B1.JPG
Mkuu, MziziMkavu, haya maneno yameandikwa airport au mahali gani? Aibu kubwa hii, hivi ina maana huo uwanja hauna uongozi? Haiwezekani kufuta na kuandika upya? Kweli hii nchi inaongozwa na mazuzu! Unawezaje kuwa manaja wa uwanja halafu ukavumilia kuyaona haya?
 
[QUOTE=Lukolo;5866692]Mkuu, MziziMkavu, haya maneno yameandikwa airport au mahali gani? Aibu kubwa hii, hivi ina maana huo uwanja hauna uongozi? Haiwezekani kufuta na kuandika upya? Kweli hii nchi inaongozwa na mazuzu! Unawezaje kuwa manaja wa uwanja halafu ukavumilia kuyaona haya?[/QUOTE]



mkuu Lukolo, na MziziMkavu, naona wote tuna matatizo sawa, tunazidiana idadi ya maneno yaliyoharibiwa.
 
Last edited by a moderator:
[QUOTE=Lukolo;5866692]Mkuu, MziziMkavu, haya maneno yameandikwa airport au mahali gani? Aibu kubwa hii, hivi ina maana huo uwanja hauna uongozi? Haiwezekani kufuta na kuandika upya? Kweli hii nchi inaongozwa na mazuzu! Unawezaje kuwa manaja wa uwanja halafu ukavumilia kuyaona haya?

mkuu Lukolo, na MziziMkavu, naona wote tuna matatizo sawa, tunazidiana idadi ya maneno yaliyoharibiwa.


Haha, hapo ujue nilikuwa nawaza kwa kiingereza halafu naandika kwa kiswahili!
 
Mkuu, MziziMkavu, haya maneno yameandikwa airport au mahali gani? Aibu kubwa hii, hivi ina maana huo uwanja hauna uongozi? Haiwezekani kufuta na kuandika upya? Kweli hii nchi inaongozwa na mazuzu! Unawezaje kuwa manaja wa uwanja halafu ukavumilia kuyaona haya?
Mkuu Lukolo Hayo maneno yapo kwenye Airport ya mjini kigoma hayo ndio Maendeleo ya Tanzania yetu aibu tupu hata viongozi wetu wanayafumbia macho hayo maneno kama vile vipofu hawaoni kuwa ni aibu kwa nchi yetu wanapokuja wageni?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom