Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,833
Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU, kwamba imebeba chachu ya maendeleo halisi Tanzania.
Kabisa inaonyesha wananchi wana shauku na uhakika wa kupata maendeleo halisi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi chini ya chemistry ya viongozi hao makini sana nchini.
Imani ya waTanzania kwa viongozi hao ni kubwa, na matarajio ya maendeleo kwa kila mTanzania ni ya uhakika mno. Na kwa hali ilivyo mpaka sasa, wananchi wengi hasa vijana wameanza kutimiza ndoto na matarajio yao hasa kiuchumi na wanasonga mbele bila kujali uzushi na porojo za waliopoteza uelekeo kwa uvivu wao katika kufanya kazi.
Chemistry ya utendaji wa viongozi hao wa kitaifa katika chama na serikali inakonga nyoyo za wananchi wote kwa kiasi kikubwa na kufanya viongozi hao kukubalika sana kwa wananchi na kuamninika zaidi kitaifa na kimataifa.
Rai yangu kwa waTanzania wote,
hatuna budi kuwaunga mkono na kuwaombea kwa Mungu viongozi hawa makini wa taifa letu, ili hatimae wasimamie vyema utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM2025-2030 kwa kasi na viwango tajika kwa maslahi mapana ya ustawi wa kila mTanzania.
Mungu Ibariki Tanzania