💧 KELVIN HK BUILDER'S 💧
🏗️ Wachimbaji Visima vya Kisasa — Wataalamu wa Kuaminika!
📍 Temeke, Dar es Salaam | 🌍 Tunahudumia Tanzania Nzima
🔥 OFA YA MSIMU: PUNGUZO LA DHAMANA! 🔥
Tunakuzawadia TANK LA MAJI LA LITA 5,000 BURE! 🎁💦
Chukua hatua sasa! Kwa kila mradi wa kisima tutakaofanya...
💧 KELVIN HK BUILDER'S 💧
🏗️ Wachimbaji Visima vya Kisasa — Wataalamu wa Kuaminika!
📍 Temeke, Dar es Salaam | 🌍 Tunahudumia Tanzania Nzima
🔍 HYDROGEOLOGICAL SURVEY
(Utafiti wa Kisayansi wa Maji Ardhini)
Hatuchimbi kiholela — tunafanya utafiti kwanza!
📍 DSM & Pwani: TSh 300,000/=
📍 Mikoa...
Unakumbuka kuwa uliwahi kufanya mazungumzo ikulu na Rais Magufuli enzi hizo.
Jambo kubwa kwenye mazungumzo yako lilihusu vi "memo" toka kwa wakubwa vikiwataka mtoe hukumu wanazozitaka wao wakubwa! Mheshimiwa kwa maneno yako ulilalamika kuwa hivyo "vimemo' vinawapa wakati mgumu kwenye maamuzi...
Mashirika ya habari makubwa yapo mengi ukitoa BBC na aljazeera Kuna hawa AP na Reuters ila inawezekanaje mpaka wakati mwingine hawa kina BBC na kina aljazeera wananukuu kutoka kwa kina Reuters zile habari za motomoto kabisa ambazo zimetokea hivi punde mfano habari za ndani ya ikulu ya Washington...
Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU, kwamba imebeba chachu ya maendeleo halisi Tanzania.
Kabisa inaonyesha wananchi wana shauku na...
Utafiti mpya wa kimataifa uliofanywa na Ipsos Global Trustworthiness Index 2024 unaonesha kuwa madaktari ndio taaluma inayoaminika zaidi na watu duniani kote. Zaidi ya asilimia 58 ya washiriki walisema wanawaamini Madaktari, ikifuatiwa na Wanasayansi (56%) na Walimu (54%).
Utafiti huo...
Binafsi naipinga serikali batili ya CCM na Kila jambo lake .Lakini nafikiri kama kuna kitu Hawa wanaojiita wanaharakati wanakosea sana basi ni utoaji wa taarifa hovyohovyo, Tena za upotoshaji .Hii inapunguza kuaminika kwenu mbele yetu sisi wananchi .
Tena wew Maria sarungi na Hilda Newton...
Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka...
Imani, Ushahidi na Ushuhuda wa Kuaminika
Biblia hushuhudia kwamba imani ya Wakristo ina msingi katika ukweli, kufikiri, ujuzi, na uthibitisho (Warumi 1:20; Zaburi 19:1-4; Yohana 5:31-47; Matendo 1:3; 26:25).
Baadhi ya watu wanashangaa kwa nini Yesu aliwakemea mitume kwa kutilia shaka ufufuo...
Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu kusafiri kwenda mbinguni na farasi kwa nini ushangae mtu kujaza gesi ya kupikia kwa kupuliza na mdomo?
Kwa wafuatiliaji wa siasa Polepole si mzalendo wala hawezi kuwa mwanaharakati.
Anayosema leo yameanza leo? Kutekwa watu, kupotezwa ndio mara ya kwanza?
Mbona kipindi cha Magufuli hakuongea haya? Eti Musiba Junior nae anaungana nae kweli?!! Mbona Watanzania tunakuwa watu wa kujisahau sana...
Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu.
Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni.
Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile.
Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
Je, umewahi kuhitaji spare parts za magari na kutafuta sehemu za ubora? Au pengine unahitaji huduma za kutunza gari lako ili likuweke kwenye hali nzuri? Jerry Spare Parts and Services inakuletea suluhisho bora!
Kuhusu Jerry Spare Parts and Services:Jerry Spare Parts ni duka la kuaminika...
Habari.
Davao Service Center tunatengeneza simu za aina zote pamoja na kufunga spea mpya za simu.
Tumebobea kwenye matengenezo ya :
Kubadili Vioo Vya Simu.
Kubadili Camera.
Kubadili Betri.
Simu Iliyozima Ghafla.
Simu Iliyoingia Maji.
Mfumo wa Chaji.
Mfumo Wa Simu Kugandaganda.
Tunarepair...
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;
1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe
Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya...
Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa...
Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba,
Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa Tanzania, Lakini pia kukubalika zaidi kwa wanainchi kama mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, na...
Habari wana forums,
Nina mteja (company) kutoka UAE ambaye anatafuta reliable supply ya UBC aluminum scrap. Ikiwa una bidhaa hii au una taarifa za mtu/mashirika yanayoweza kuwa nayo, tafadhali tuwasiliane kwa mazungumzo zaidi.
Malipo ni cash, na bidhaa zitapelekwa nje kwenda Thailand...
Yawezekana unakonda na kukosa raha huku ukifikiria hivi kweli fulani ndio kanifanyia hivi? Jibu ni ndio huyo ni yeye halisi na wala hawamzingizii bali huo ndio uhalisia wake.
Kosa lipo kwako kumuamini zaidi ya anavyostahili kuaminika, Ulimuamini zaidi ya jinsi alivyo ndio maana kafanya vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.