Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

Hakuna ugonjwa wa chembe ya moyo. Mdogo wako atakuwa na vidonda vya tumbo. Waswahili huwa wanadai ni ugonjwa wa chembe ya moyo wanatibu kwa mitishamba wanaishia kuchanjanja watu ovyo. Mpeleke hospitali akapimwe huenda ana vidonda vya tumbo apatiwe matibabu yanayoeleweka.
 
kwenye miaka ya 90s wakati nahangaika sana na ndoa yangu niliwahi kuupata huu ugonjwa,
nilihangaika sana hospitalini bila kupona. baadae nilikutana na mmasai aliyekuwa anauza dawa za mizizi,
nilimweze tatizo akawa amenipa kimzizi kamoja. nilienda kuchemsha na kunywa maji yake kweli nilipona kabisa
hadi leo sijawahi kusikia tena hilo tatizo. huwa nawaza sana ule mzizi ulikuwa wa mti gani najaribu kupata picha kuwa ilikuwa ni mzizi wa mti wa mlonge.

Mamndenyi mdogo wangu yuko kitandani hoi hoi nielekeze popote ulipopata huo mzizi ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
kwenye miaka ya 90s wakati nahangaika sana na ndoa yangu niliwahi kuupata huu ugonjwa,
nilihangaika sana hospitalini bila kupona. baadae nilikutana na mmasai aliyekuwa anauza dawa za mizizi,
nilimweze tatizo akawa amenipa kimzizi kamoja. nilienda kuchemsha na kunywa maji yake kweli nilipona kabisa
hadi leo sijawahi kusikia tena hilo tatizo. huwa nawaza sana ule mzizi ulikuwa wa mti gani najaribu kupata picha kuwa ilikuwa ni mzizi wa mti wa mlonge.
Bibie Mamndenyi Kumbe ile dawa uliyonitilia kipindi kile ulisema ni dawa ya ngiri kumbe ni dawa ya mapenzi ulikwenda kwa Mmasai ahhh? nina Bifu na wewe sikubali ndio maaana ninakupenda hivyo ahhh? Mkuu.@King'asti njoo umpe vipande vyake huyu Wifi yako bibie.@Mamndenyi i miss you :peace:
 
ha ha ha haaaaa
haaa
kupendwa raha
kupendwa raha daaah MziziMkavu najua ulishaachana na Madame B........
..........come this way. Siyo dawa ujue ni mapenzi tu.
Bibie Mamndenyi Kumbe ile dawa uliyonitilia kipindi kile ulisema ni dawa ya ngiri kumbe ni dawa ya mapenzi ulikwenda kwa Mmasai ahhh? nina Bifu na wewe sikubali ndio maaana ninakupenda hivyo ahhh? Mkuu.@King'asti njoo umpe vipande vyake huyu Wifi yako bibie.@Mamndenyi i miss you :peace:
 
Last edited by a moderator:
tafadhali nateseka mwenzenu chembe ya moyo inanisumbua sana nataka kujua tatzo ninin na tiba yake ili niweze kujinasua
 
katikat yakifua kwa chn kdogo panavuta sana kwa ndan inanpata kwa vpnd mfano mwez huu inankamata kama wk then after 2month kiufup kwakipind inankamata ndo kuuliza wananambia chembe yamoyo
 
katikat yakifua kwa chn kdogo panavuta sana kwa ndan inanpata kwa vpnd mfano mwez huu inankamata kama wk then after 2month kiufup kwakipind inankamata ndo kuuliza wananambia chembe yamoyo
Nakushauri uwahi hospitali ukamuone daktari wa moyo..Moyo wako utakuwa na matatizo mimi siwezi kukupa diagnosis kutokana na information ulizonipa,lazima daktari achukue vipimo tofauti...Ni muhimu sana ukiwa na matatizo ya moyo upate matibabu sahihi...Kila la kheri
 
Ndugu wanajf,

Kuna neno linanichanganya sana: CHEMBA YA MOYO au wengine wanaita CHEMBA CHA MOYO.

Hivi hii ni sehemu fulani ya moyo au ni eneo au kiungo ktk mwili wa binadamu? Au ni aina fulani ya ugonjwa?

Mara utasikia mganga wa mitishamba akijitangaza: 'ninatibu chemba ya/cha moyo'. Na leo nimesikia mtangazaji mmoja akiripoti kwamba kuna mtu 'amepigwa risasi kwenye chemba ya moyo'. Hapa ndipo amezidi kunichangnya kabisa.

Zamani nilidhani neno 'chemba ya moyo' limetoholewa kutoka kwenye kiingereza: 'heart chamber (any of the four chambers of the heart). Lakini, kwa mujibu wa matumizi ya neno hili, nimekuja kugundua kwamba hii siyo maana yake.

Wandugu, kama kuna mwenye ufahamu juu ya neno hili atujuze tafadhali.:help:
 
Ni maumivu yanayotokea kwenye kiungo kinaitwa Xiphoid process (mbavu zako zinakokutania, kifuani kwa chini). Ni dalili ya magonjwa mbalimbali kama ya moyo, mfuko wa nyongo na mifupa.

tragedy of the commons
 
Hapa nipo kitandani naumwa na hiyo kitu, usiombe isikie tu mkuu, maumivu yake km ya vidonda vya tumbo
 
Ni maumivu yanayotokea kwenye kiungo kinaitwa Xiphoid process (mbavu zako zinakokutania, kifuani kwa chini). Ni dalili ya magonjwa mbalimbali kama ya moyo, mfuko wa nyongo na mifupa.

tragedy of the commons

sasa mwandishihabari anapoandika kwamba mtu kapigwa risasi kwenye chemba ya moyo anakuwa anamaanisha eneo gani hasa?
 
Ni maumivu yanayotokea kwenye kiungo kinaitwa Xiphoid process (mbavu zako zinakokutania, kifuani kwa chini). Ni dalili ya magonjwa mbalimbali kama ya moyo, mfuko wa nyongo na mifupa.

tragedy of the commons

mkuu, hiyo xiphoid process ndiyo sternum au sio?
 
Back
Top Bottom