Tunafeli wapi kuondokana na tatizo la Presha na Magonjwa ya Moyo?

YAMUNGU OMARY

Member
Feb 3, 2023
10
26
Magonjwa ya moyo ni muunganiko wa magonjwa yanayoshambulia moyo, vishipa vipelekavyo/vitoavyo damu kwenye moyo na maumbile yanayotengeneza moyo kwa ujumla (Structural and vessels disease).

Moja ya ugonjwa wa moyo unaokuja kwa kasi sana nchini ni Kupanda kwa shinikizo la juu la damu/Presha ya kupanda (high blood pressure/Hypertension) na kushuka kwa shinikizo la damu (Presha ya kushuka /Hypotension).

Presha ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huu ukiwa mkubwa au mdogo kuliko unaohitajika mwilini ndio huitwa presha ya kupanda au kushuka.

status_me_status_IMG-20230412-WA0000.jpg
 
Kua karibu na MWENYEZI MUNGU
Jifunze kusamehe na Kusahau

Jifunze kua mbali na wanaokukwaza..chukulia kila jambo in a Positive way

Ni dawa kubwa sana ya Pressure aina zote na maradhi sugu yote ya Moyo
 
Back
Top Bottom