Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

Chembe ya moyo inanitesa 24/7 takribani miezi sita sasa, kimsingi nina ulcers nimetumia dawa nyingi za hospitali na mitishamba hadi leo sijapata ahueni naomba msaada wenu ndugu zangu 0685100909 hata msg nitumie nitakupigia.
 
chembe ya moyo inanitesa 24/7 takribani miezi sita sasa, kimsingi nina ulcers nimetumia dawa nyingi za hostpl na mitishamba hadi leo sijapata ahueni naomba msaada wenu ndugu zangu 0685100909 hata msg nitumie nitakupigia
Maradhi ya VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS): Haya ni maradhi ambayo hufanya vidonda upande

wa ndani ya ukuta wa tumbo. Kuna Duodenal ulcer na Gastric ulcer.

DALILI: (1) Kupata maumivu makali chini ya kifua kwa
upande wa ndani.

(2) Kuchoka bila sababu.

(3) Kuumwa kwa mgongo au kiuno.

(4) Kupungua kwa nguvu za kiume.

(5) Kuwa na kichefuchefu baadhi ya wakati.

(6) Kuwa na kiungulia .

(7) Tumbo kujaa gesi.

(8) Tumbo kuwaka moto.

(9) Kukosa choo na wakati mwingine kupata choo kigumu kama cha mbuzi.

(10) Kukosa hamu ya kula.

(11) Kutapika damu au wakati mwingine kutapika nyongo.

(12) Maumivu makali baada ya kula vitu vikali au chakula cha moto.

TIBA: Chukua asali robo lita uchanganye na unga wa arki susi vijiko vinne vikubwa kisha ukoroge kwa kijiko. Chukua vijiko viwili vikubwa vya mchanganyiko huu ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto. Yakishapoa unywe kikombe kimoja kutwa mara tatu.

siku 14 au siku 21
usipopoona tumia ingine kwa muda wa siku 7 mpaka utakapo pona uje utuambie
 
Maradhi
ya VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS): Haya ni maradhi ambayo hufanya vidonda
upande

wa ndani ya ukuta wa tumbo. Kuna Duodenal ulcer na Gastric ulcer.

DALILI: (1) Kupata maumivu makali chini ya kifua
kwa

upande wa ndani.

(2) Kuchoka bila sababu.

(3) Kuumwa kwa mgongo au kiuno.

(4) Kupungua kwa nguvu za kiume.

(5) Kuwa na kichefuchefu baadhi ya wakati.

(6) Kuwa na kiungulia .

(7) Tumbo kujaa gesi.

(8) Tumbo kuwaka moto.

(9) Kukosa choo na wakati mwingine kupata choo kigumu kama cha mbuzi.

(10) Kukosa hamu ya kula.

(11) Kutapika damu au wakati mwingine kutapika nyongo.

(12) Maumivu makali baada ya kula vitu vikali au chakula cha moto.

TIBA:
Kanuni ya kwanza: Chukua asali robo lita
uchanganye na unga wa arki susi vijiko vinne vikubwa kisha ukoroge kwa
kijiko. Chukua vijiko viwili vikubwa vya mchanganyiko huu ukoroge ndani
ya kikombe cha maji ya moto. Yakishapoa unywe kikombe kimoja kutwa mara
tatu.

Kanuni ya pili: Chukua
viazi vya mviringo (vya chipsi) kama vitatu halafu uvikoshe na
kuvimenya. Baada ya kuvimenya upate juisi yake kwa kuvisaga kwenye
blenda. Kunywa vijiko vitatu vikubwa vya chakula kutwa mara mbili.

Kanuni ya tatu: Chukua lozi gramu 30 halafu usage
iwe unga. Changanya lozi hii yote ndani ya kikombe kidogo cha maziwa ya
moto kisha uongeze asali vijiko viwili vikubwa. Kunywa kikombe kimoja
robo saa kabla ya kula chakula cha asubuhi. Fanya hivyo kwa muda wa
mwezi na utapata shifaa.

Kila Tiba hapo juu kati ya hizo 3 ni zenye kujitegemea tumia moja kwa
muda wa siku 7 au

siku 14 au siku 21

usipopoona tumia ingine kwa muda wa siku 7 mpaka utakapo pona uje
utuambie umetumia

dawa gani kati ya hizo 3 nilizokupa imekuponesha? uguwa
pole.

Dr mzizi mkavu naomba pm au email yako ili nikupatie maelezo yangu zaidi maana hali yangu ni mbaya
 
Maradhi ya VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS): Haya ni maradhi ambayo hufanya vidonda upande

wa ndani ya ukuta wa tumbo. Kuna Duodenal ulcer na Gastric ulcer.

DALILI: (1) Kupata maumivu makali chini ya kifua kwa
upande wa ndani.

(2) Kuchoka bila sababu.

(3) Kuumwa kwa mgongo au kiuno.

(4) Kupungua kwa nguvu za kiume.

(5) Kuwa na kichefuchefu baadhi ya wakati.

(6) Kuwa na kiungulia .

(7) Tumbo kujaa gesi.

(8) Tumbo kuwaka moto.

(9) Kukosa choo na wakati mwingine kupata choo kigumu kama cha mbuzi.

(10) Kukosa hamu ya kula.

(11) Kutapika damu au wakati mwingine kutapika nyongo.

(12) Maumivu makali baada ya kula vitu vikali au chakula cha moto.

TIBA: Kanuni ya kwanza: Chukua asali robo lita uchanganye na unga wa arki susi vijiko vinne vikubwa kisha ukoroge kwa kijiko. Chukua vijiko viwili vikubwa vya mchanganyiko huu ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto. Yakishapoa unywe kikombe kimoja kutwa mara tatu.

Kanuni ya pili: Chukua viazi vya mviringo (vya chipsi) kama vitatu halafu uvikoshe na kuvimenya. Baada ya kuvimenya upate juisi yake kwa kuvisaga kwenye blenda. Kunywa vijiko vitatu vikubwa vya chakula kutwa mara mbili.

Kanuni ya tatu: Chukua lozi gramu 30 halafu usage iwe unga. Changanya lozi hii yote ndani ya kikombe kidogo cha maziwa ya moto kisha uongeze asali vijiko viwili vikubwa. Kunywa kikombe kimoja robo saa kabla ya kula chakula cha asubuhi. Fanya hivyo kwa muda wa mwezi na utapata shifaa.

Kila Tiba hapo juu kati ya hizo 3 ni zenye kujitegemea tumia moja kwa muda wa siku 7 au

siku 14 au siku 21

usipopoona tumia ingine kwa muda wa siku 7 mpaka utakapo pona uje utuambie umetumia

dawa gani kati ya hizo 3 nilizokupa imekuponesha? uguwa pole.

Mzizi nakukubali Maalim wangu..tangu unipatie tiba ya kiungulia nikapon mpaka leo nakuaminia..big up!
 
Maradhi ya VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS): Haya ni maradhi ambayo hufanya vidonda upande

wa ndani ya ukuta wa tumbo. Kuna Duodenal ulcer na Gastric ulcer.

DALILI: (1) Kupata maumivu makali chini ya kifua kwa
upande wa ndani.

(2) Kuchoka bila sababu.

(3) Kuumwa kwa mgongo au kiuno.

(4) Kupungua kwa nguvu za kiume.

(5) Kuwa na kichefuchefu baadhi ya wakati.

(6) Kuwa na kiungulia .

(7) Tumbo kujaa gesi.

(8) Tumbo kuwaka moto.

(9) Kukosa choo na wakati mwingine kupata choo kigumu kama cha mbuzi.

(10) Kukosa hamu ya kula.

(11) Kutapika damu au wakati mwingine kutapika nyongo.

(12) Maumivu makali baada ya kula vitu vikali au chakula cha moto.

TIBA: Kanuni ya kwanza: Chukua asali robo lita uchanganye na unga wa arki susi vijiko vinne vikubwa kisha ukoroge kwa kijiko. Chukua vijiko viwili vikubwa vya mchanganyiko huu ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto. Yakishapoa unywe kikombe kimoja kutwa mara tatu.

Kanuni ya pili: Chukua viazi vya mviringo (vya chipsi) kama vitatu halafu uvikoshe na kuvimenya. Baada ya kuvimenya upate juisi yake kwa kuvisaga kwenye blenda. Kunywa vijiko vitatu vikubwa vya chakula kutwa mara mbili.

Kanuni ya tatu: Chukua
lozi gramu 30 halafu usage iwe unga. Changanya lozi hii yote ndani ya kikombe kidogo cha maziwa ya moto kisha uongeze asali vijiko viwili vikubwa. Kunywa kikombe kimoja robo saa kabla ya kula chakula cha asubuhi. Fanya hivyo kwa muda wa mwezi na utapata shifaa.

Kila Tiba hapo juu kati ya hizo 3 ni zenye kujitegemea tumia moja kwa muda wa siku 7 au

siku 14 au siku 21

usipopoona tumia ingine kwa muda wa siku 7 mpaka utakapo pona uje utuambie umetumia

dawa gani kati ya hizo 3 nilizokupa imekuponesha? uguwa pole.
Mkuu sikujua kuwa ulipitia taaluma ya utibabu mbadala
Hapo kwenye reds , hebu tupe tafsiri/maneno ya kawaida/yanayofahamika.
 
Mzizi nakukubali Maalim wangu..tangu unipatie tiba ya kiungulia nikapon mpaka leo nakuaminia..big up!
Asante lakini siku nyingine nikikupa Dawa ukipona uje hapa ulete Feedback usiwe mchoyo wa kuleta maendeleo ya Afya yako uje uniambie ile dawa niliyokupa ya kutibu maradhi yako umepona ndio utakuwa umefanya ubinadamu sio kunyamaza kimya sio vizuri.

Mkuu sikujua kuwa ulipitia taaluma ya utibabu mbadala
Hapo kwenye reds , hebu tupe tafsiri/maneno ya kawaida/yanayofahamika.
Mkuu Dawa ya ( arki susi) kwa kiingereza inaitwa jina hili licorice root angalia picha

hapoa chini. Dawa ya
( Lozi) angalia picha kwa kiinghereza inaitwa Almond. Na neno

(Shifaa)
ni neno la kiarabu kwa lugha yetu ya kiswahili neno shifaa ni uponyezi yaani kupona maradhi.
attachment.php

Lozi (Almond)

attachment.php

ARKI SUSI (LICORICE ROOT)
 
Attachments

  • Long_Licorice_Root.jpg
    Long_Licorice_Root.jpg
    214.8 KB · Views: 1,241
  • Lozi  Almond.jpg
    Lozi Almond.jpg
    200.6 KB · Views: 1,247
Chembe ya moyo imenishika ghafla yaani imenibana sana. Msaada kwa mwenye kujua huduma ya haraka kwa ugonjwa huo.
 
Chembe ya moyo imenishika ghafla yaani imenibana sana. Msaada kwa mwenye kujua huduma ya haraka kwa ugonjwa huo.
Ninakushauri Uende kupima Hospitali Daktari atajuwa una Maradhi gani yanayokusumbuwa. Mimi nina hisi una

Maradhi ya VIDONDA VYA TUMBO (ULCERS): Haya ni maradhi ambayo hufanya vidonda upande

wa ndani ya ukuta wa tumbo. Kuna Duodenal ulcer na Gastric ulcer.

DALILI: (1) Kupata maumivu makali chini ya kifua kwa

upande wa ndani.

(2) Kuchoka bila sababu.

(3) Kuumwa kwa mgongo au kiuno.

(4) Kupungua kwa nguvu za kiume.

(5) Kuwa na kichefuchefu baadhi ya wakati.

(6) Kuwa na kiungulia .

(7) Tumbo kujaa gesi.

(8) Tumbo kuwaka moto.

(9) Kukosa choo na wakati mwingine kupata choo kigumu kama cha mbuzi.

(10) Kukosa hamu ya kula.

(11) Kutapika damu au wakati mwingine kutapika nyongo.

(12) Maumivu makali baada ya kula vitu vikali au chakula cha moto.
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa mda mrefu pamoja na kuanguka/kuinama kwa chembe ya moyo.

Je, vidonda vya tumbo vinahusika na kuanguka kwa chembe ya moyo?

Je ukipona vidonda na chembe inainuka? Ni athari gani,tiba na maelezo ya kitaalamu kuhusu abnormalities za chembe ya moyo.

Kwa wataalamu humu tafadhali.
 
Wana bodi na tumai wazima wote

Naomba kujua ugonjwa wa chembe ya Moyo husababishwa na nini?
Na dawa yake ni nini?
Na tanguliza shukurani zangu, ahsanteni
 
Hizo ni miongoni mwa dalili za vidonda vya tumbo,usiende kwa watabibu wa kienyeji watakutia makovu tu kwenye kifua cha msingi nenda hospitali ukapime ujue hivyo vidonda vimefikia hatua gani ili uanze kuoaya tiba haraka iwezekenavyo.
 
Nashukuru ndugu yangu
 
Hi wana JF mimi ua nafurahi sna pale mzizi mkavu akichangia mada ya maradhi yanayo tusumbua nashangaa kwa hili la chembe ya moyo hhajiusishi ! Inama niugonjwa uso julikana japo si mara ya kwanza nausikia nilisha wahi kumiona mtu akiwa taaban na akatibiwa na bibikizeemflani akitumia glasi ya kunywea maji na kumuinua hiyo chembe kwakweli mgonjwa alipona.
 
Daa wakuu habar za kaz, tokea naranja asubui kiungulia kinaniunguza balaa msaada kujua dawa yake
 
Nimekuwa na maumivu ndani ya kifua na nyuma ya mgongo na nikivuta hewa kuna kama vichomi hivi,nilienda hospitali wakanipa diclopar na vidonge vya antibiotic wakidai nina pneumonia ,

Nikakomaa na dozi wiki na nusu maumivu yakawa kwa mbali baada ya dozi kuisha ndani ya wiki ngoma imerudi pale pale, nikaenda tena hospitali wananambia wanipe tena vidonge nimeondoka hata dawa sijachukua wakuu, hebu nishaurini kuna mtu kanambia nichomwe sindano zitasaidia haraka
 
Back
Top Bottom