wadau wa 'darajani' tukutane hapa!
mwaka huu ni ubingwa tu!
Gael Kakuta! Blue is the future.....bring the Arsenal
Naona Ancelotti atali mchezo kaweka full kikosi ingawa tumeshaqualify. Tatizo hapo ni kurisk majeruhi.
Nimefurahi wachezaji walikuwa hawajapania sana, hivyo wamepunguza risk ya majeruhi.Maana leo kaja na formation inayoitwa "X-Mass Tree"
Nimefurahi wachezaji walikuwa hawajapania sana, hivyo wamepunguza risk ya majeruhi.
Yeah, game hii ya J'pili muhimu sana. Tukishinda tutakuwa tumeongeza gap kwa mshindani mmoja. Arsenal wakiwa Emirates ni wagumu sana, lakini tuone inakuwa vipi.Ndo faida za kufanya kazi asubuhi jion unakaa zako na kahawa yako huko ukikokotoa mahesabu yako.Game ya leo ilikuwa ni kama mazoezi kwa ajili ya game ijayo siunajua tutakuwa ugenini pia.
Yeah, game hii ya J'pili muhimu sana. Tukishinda tutakuwa tumeongeza gap kwa mshindani mmoja. Arsenal wakiwa Emirates ni wagumu sana, lakini tuone inakuwa vipi.
Hakuna kitu hao mimi natafuta pombe za kusheherekea!
Hakuna kitu hao mimi natafuta pombe za kusheherekea!
..wala hujakosea. Hawa wazalendo wenzetu mbona tena wanasuasua?
Mpira mbele nduguzanguni. Emirate watakula kibano tu.
Mwenzio nimeagizia mbege na makopo yake via DHL...🙂
Hiyo mvinyo yenu muiandae kweli........kwa lolote litakalotokea!
AB....Usisahau kuweka mipicha ya maaction, hasa ile mibao mtakayofungwa.....weka order kabisa ya picha.....ha!ha!hahahahaaaa!
Hiyo mvinyo yenu muiandae kweli........kwa lolote litakalotokea!
AB....Usisahau kuweka mipicha ya maaction, hasa ile mibao mtakayofungwa.....weka order kabisa ya picha.....ha!ha!hahahahaaaa!
Gael Kakuta! Blue is the future.....bring the Arsenal
He!he!heeee!........angalieni sana hiyo midomo yenu.....ha!ha!hahaaaaa!