Mechi ijayo na Arsenal natamani Mou apange kikosi hiki hiki tulichocheza nacho vs Aston Villa.
Ila vyovyote vile Oscar asikosekane. Willian amejipa pass ya kuanza first eleven.
Ramires yupo nje bado hatocheza mechi hiyo mpaka baada ya international break.
Schurrle ataingia kuongezea tu magoli dk ya 75 hivi.
Magoli si chini ya manne....chelsea >=4 Arsenal 0
KWENYE VIWANGO BORA VYA TIMU ZA ULAYA KWA MSIMU WA 2014/2015.
1. Real Madrid
2. Barcelona CF
3. Bayern Munich
4. CHELSEA FC.
33. sporting clube de portugal
Thanks for a good analysis of our club, the best situational analysis of our team I've ever came across with.
Very nice kiongozi agosti 8. You keep our forum alive with such details
faida ya kuwapanga DIEGO COSTA na ANDRE SCHURRLE PAMOJA.
1. mechi ya CHELSEA vs BURNLEY ambayo tulishinda 3-1 ilionyesha wazi faida ya kuwapanga watu hawa pamoja.
2. faida ya SCHURRLE kupangwa pamoja na DIEGO ilionekana tena juzi tulipocheza na CITY..
kwa ufupi: wakati mabeki wanapokuwa bize kumkaba DIEGO COSTA ..huyu kijana SCHURRLE atakuwa anawaumiza polepole.
faida nyingine ya SCHURRLE ni kwamba anaweza sana kuelewana na MAESTRO FABREGAS..pasi za CESC hakuna mtu anayeweza kuzitendea haki kumshinda huyu jamaa..
udhaifu kidogo wa SCHURRLE ni kwamba jamaa hawezi kucheza dakika 90 katika kiwango cha juu...huenda ikafaa aanze alaf baadae aingie Willian.
tupate kwanza magoli mapema..alaf tunamweka Willian ili kukaa na mpira; ..
asante mkuu Ntuzu, kwa pongezi zako..leo nitamwaka data za kutosha muhimu kwa ajili ya mechi yetu ya kesho..
kijana amesema hana mpango wala mawazo ya kuondoka West London..
hakuna cha PSG wala nini; anajiandaa kuongeza miaka 5 kwenye mkataba wake..
hadi sasa tayari kipa Thibaut Courtois na beki Cesar Azpilicueta wameongeza miaka 5 kila mtu.:A S-eek: