Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,176
- 1,473
wee Rockcity native umepotelea wapi?
nakumbuka wewe ni miongoni mwa wale waliokuwa wanaponda usajili wa Diego Costa..mbona kimya?
hadi sasa Diego Costa kafunga 4, assists 3.
hadi sasa Sanchez(wa Arsenal) hajafunga, ..sijui kama katoa assist yoyote.
hahahaha agost 08 "usilisifu panga lako kwa kukata mpapai" hata kezman alikua na makeke mwanzoni.
Wakuu Drogba anajua sana,huwa ni mjanja kukwepa mabeki na kujiweka kwenye position anayojua yeye,kwenye wachezaji wengi sijawahi kuona mchezaji mkwepa mabeki mpaka anasahaulika kama drogba,kama kuna mkwepaji wa mabeki zaidi ya drogba hebu niambie ni nani?
wa zamani,wa sasa bad sijaona game zake za chelsea ndo nasubiri nimwonedrogba yupi ? huyu au wa 2012 ?
unamjua Costa au unamsikia? the monster..DIEGO COSTA
ngoja akutane na wakata umeme wa england ndo atapimika vizuri, sio mtu kucheza na malaga anafunga goli 3 afu keshokutwa acheze na granada afunge 4. Ngoja akutane na mzik wa stoke,sundland,southamptn ndo tumpime
Wakuu Drogba anajua sana,huwa ni mjanja kukwepa mabeki na kujiweka kwenye position anayojua yeye,kwenye wachezaji wengi sijawahi kuona mchezaji mkwepa mabeki mpaka anasahaulika kama drogba,kama kuna mkwepaji wa mabeki zaidi ya drogba hebu niambie ni nani?
wakata umeme wote bora wanaishi CHELSEA FC, sasa wee mkuu Rockcity native; unadhani pale kwenu Arsenal kuna mtu ataweza kumkaba DIEGO COSTA?
Mtaumia nyie..mechi hiyo tunamweka benchi Diego tunawaleteeni SIMBA MZEE.. mwenye meno makali.:A S-eek:
mkuu agosti 8 unazungumzia ukwepaji upi?sizungumzii kuja na mpira na kupiga chenga mabeki na kufunga,nazungumzia ule ukwepaji jamaa anakwepa mabeki na kusahaulika,mpira ukija unamkuta kwenye position ambayo hata mashabiki hawajategemea acha mabeki.Kama ni kukwepa mabeki wapo # 9 wengine bora katika historia yetu ya CHELSEA FC pia ambao walikuwa na uwezo huo.
Naomba nikujibu kwa mfano mmoja angalau; GIANLUCA VIALLI - KOCHA MCHEZAJI.
hKweli kabisa..mechi za Arsenal na Man utd tunamweka Drogba hahahahahahahahaha
mkuu agosti 8 unazungumzia ukwepaji upi?sizungumzii kuja na mpira na kupiga chenga mabeki na kufunga,nazungumzia ule ukwepaji jamaa anakwepa mabeki na kusahaulika,mpira ukija unamkuta kwenye position ambayo hata mashabiki hawajategemea acha mabeki.
Hebu nipe hao wengine tisa wa kukwepa mabeki

Unajua nini Viol? mimi huwa sipost chochote hapa ambacho sijasoma kwanza. Kama wee ungekuwa umeanza kushangilia Chelsea zamani kidogo utakumbuka mambo aliyofanya huyu jamaa..
Tofauti ni kwamba Drogba amecheza muda mrefu zaidi hapa Chelsea. Lakni Vialli ni mojawapo ya # 9 bora zilizowahi kucheza Chelsea fc..
unataka zaidi? Jimmy Floyd Hasselbank...

agosti 8 mkuu nahisi we ni kati ya mashabiki walioona uwalakini Drogba kurudi Chelsea
Lakini hata hivo mass media ipo,haya magoli ya Vialli ni kwenye purukushani au jamaa kujiweka wakati move inakuja,but Drogba huwa mpaka kipa anachoka,maana jamaa yupo tu yale maeneo kila mda,halafu bonus Drogba cross ikipigwa ana uwezo wa kuiconnet mpaka ndani,ule mpira wa moto kutoka cross unaogezewa moto,imagine goal keeper kule anafeel vipi