Marko Marin anafanyiwa vipimo FIORENTINA, :A S-eek:
huyu kijana amefundishwa na makocha wengi sana;
Jose Mourinho,
roy Wilkins,
Scolari,
Ancelotti,
guus hiddink,
Villa Boas,
Benitez,
Di matteo,
lakini hata siku moja sijamsikia akipingana na kocha yeyote hadharani..WELL DONE MIKEL hata sasa amesema yuko tayari kugombe anamba, hata kama itabidi akae benchi yuko radhi..
Nakumbuka wakat anarise alikuwa anaitwa *Germany Messi*..but dogo kapotea kabisa.
mpira wa siku hizi shida kubwa nafikiri kwamba wachezaji wanasifiwa wakiwa bado hawajaiva vizuri, ni kweli Marco Marin ana uwezo mkbuwa sana, ila shida nyingnie majeraha yaliyompata yamemfanya ashindwe kupata namba; fikiria atapataje namba kwneye msitu wa WILLIAN, OSCAR, HAZARD, SCHURRLE, MOHAMED SALAH, VICTOR MOSES, FABREGAS?
timu yetu sasa imetimia .. jana nilitazama mechi yetu kule HUNGARIA, timu inacheza vizuri sana.. hadi raha..LIGI IANZE TUHESHIMIANE..
Karibu mkuu Mosdef..
Marko Marin anafanyiwa vipimo FIORENTINA, :A S-eek:
Moses anaondoka lini...?
habari zisizo rasmi::A S-eek: striker Loic Remy is being linked with a shock switch to Chelsea, weeks after he failed a medical at Liverpool. Goal are reporting that Jose Mourinho's side have made an enquiry for the French international, as a result of Didier Drogba suffering an ankle injury at the weekend.
Mimi nadhani tufanye hivi;
- chukua dogo mmoja kutoka youth side (solanke)
- Drogba
- Schurrle (aache kugombea namba na kina Hazard et al)
- Costa
Hawa wanatosha kuwa striking force zetu for this season...
- sell Torres! (tatizo nahisi hakuna timu inayomtaka)
Mimi nadhani tufanye hivi;
- chukua dogo mmoja kutoka youth side (solanke)
- Drogba
- Schurrle (aache kugombea namba na kina Hazard et al)
- Costa
Hawa wanatosha kuwa striking force zetu for this season...
- sell Torres! (tatizo nahisi hakuna timu inayomtaka)
Schurrle hayupo vizuri sana akicheza kama mshambuliaji wa mwisho, japo anaweza. Hata alivyokuwa Bayer Liverkusen alikuwa anapangwa kama mshambuliaji wa mwisho ila alikuwa anahama.
kweli kabisa Mentor;
solanke anajua...
lakini huyu Torres akiondoka ntafurahi sana..maana hana tamaa kabisa..
:A S-eek:
Aisee sikubalini na wewe! Mara nyingi anahama kwa sababu huwa hapangwi lone striker! Na mimi sishauri apangwe lone striker...inapobidi kutumiwa kule mbele tucheze 4-4-2.
Ahahah jana nimeangalia youtube video ya miss za torres during pre season! AWFUL kwa kweli...sijui atauzwa lini.
Yeah! Hapo sawa kama ni 4-4-2 inawekana kabisa
ni kweli; kwenye 4-4-2 mbele wanasimama Diego Costa na Schurrle.
viungo wa 4 sasa itakuwa Matic-Fabregas; Hazard na Oscar..
mwaka huu kazi ipo..:A S-eek: