Mkuu agosti kuna tetesi kwamba legend drogba mourinhyo anamtaka,hivi anamhitaji kama mchezaji au kocha na kama anamhitaji kama mchezaji mbona uwezo wake wa chini ukicompare na wachezaji tulionao.
Mkuu acha utani: kombe la dunia ukifaulu kufika fainali unakuwa umecheza mechi 7 tu.
Ligi ina mechi 38, Champions League jumlisha kombe la mfalme..
Diego ni bora kuliko ki-Sanchez nakuambia..:wacko:
mpira wa Ujerumani ni tofauti na wa England mkuu agosti 8,wale jamaa wote wanacheza si timu ya taifa tu hadi vilabu vyao,ila kwa sisi wa England ipo tofauti kidogo
siongei kiunazi yan diego costa kumfananisha na sanchez dah!matuc hayo mkuu,huyu galasababu kaibuka msimu mmoja tu,huwezi linganisha na mtu kama alexis,dah mara mia ungemtaja schurrey(namkubali sana huyu jamaa) kuliko hiko kibabu na kitawaganda mpaka mjute,hilo ni bonge la flop
kwanza niambie unajua CHELSEA FC imesajili wangapi hadi sasa..maana unalalamika tu.
jiulize kwanini mchezaji bora wa dunia anaweza kuwa cannavaro,zidane,messi au george weah?kwani wote wanacheza nafasi tofauti lakini wanashndanishwa kumpata bora kuliko mwengine!
habari zenu the blues
What about this..
Huyo Costa kwani keshasaini? Anavyoongelewa utadhani tayari ni mchezaji wa Chelsea.
Wakuu nathubutu kusema Blues bado hawajafanya usajili wa maana,huwezi kufananisha na Arsenal waliomnunua Alexis,Man u waliomnunua Di maria,Man city ndo usiseme.
huu msimu utakuwa una walakini sana kwetu kwa mtindo huu.
bado.
lakini kuna wakati wa kuzungumza mpira tu..sasa huyu bwana Dully Jr, analeta mzaha ambao ni vigumu kunyamaza.
Diego asaini ama asisaini..bado DIEGO ni bora kuliko Sanchez..
Data zinazungumza..wamecheza ligi moja msimu ulopita..kwa nini tupotoshe ukweli?
Wakuu nathubutu kusema Blues bado hawajafanya usajili wa maana,huwezi kufananisha na Arsenal waliomnunua Alexis,Man u waliomnunua Di maria,Man city ndo usiseme.
huu msimu utakuwa una walakini sana kwetu kwa mtindo huu.
SOMENI KWANZA KABLA YA KUJA KUBISHANA HAPA CHELSEA FC THREAD.
KAMATA DATA SASA.
Alexis Sanchez:
all games = 382.
total number of goals = 93.
DIEGO COSTA;
All games played = 278.
Goals scored = 104.
Sasa kwa akili zako hapo nani mkali?:couch2:
Both were vital components in their respective sides' seasons and while Costa had the more influential part to play, inspiring Atletico to the coveted La Liga title and Champions League final, it was Sanchez who seemed to be a more menacing prospect than most defenders in the Spanish division.
Per 90-minutes, Sanchez more than doubled Costa's Squawka Performance Score(37), highlighting just how effective he was over the whole game while Costa perhaps faded at times.
Costa scored 27 goals in 35 appearances in La Liga last season.
Costa did find the target more and his efficiency in-front of goal is one of many reasons Mourinho took a chance on him, with his number at 0.82 compared to Sanchez's 0.72.
With Costa more likely to be the focal point at Stamford Bridge, as he was at Atletico, his creativity won't be at the forefront of his mind, whereas for Sanchez it is more crucial. Wenger will look for the blistering pace of Sanchez down the flanks to provide ammunition for Olivier Giroud, who will most certainly through the middle for the majority at times. Thankfully for Wenger, Sanchez is not a stranger to complimenting his team-mates.
He averaged 0.38 assists per ninety-minutes compared to Costa's 0.09, while he also mustered more chances with his number at 1.72 – again bettering Costa's status in La Liga last season.
Sanchez's pass success, La Liga 2013/14.
His pass accuracy stands at 80%, pivotal for Wenger with his sides rapid transitional phases in play a common feature in his side. Wenger will give his men the license to interchange up-front and with the game so quick and dynamic, it suits Sanchez's game perfectly whereas Costa may find it slightly more difficult to adapt himself.
For a swash-buckling striker, Costa had a marginally better take on percentage (35%) and his Squawka Attack Score was just better than Arsenal's new signing (29.84).
Arsenal's new £30 million signing has left the home faithful delighted. A striker with blistering pace, prolific finishing and all the attributes to succeed in England. While Diego Costa's physique makes the more suited to the Premier League in that aspect, Sanchez's season for Barcelona makes him the more fearsome of the pair.
Despite Barcelona's indifferent campaign and Atletico's memorable success under Diego Simeone, Sanchez will be hoping to have a fair crack at the whip this time round and it is him who could have the more devastating effect in the Barclays Premier League.
Alexis Sanchez vs Diego Costa: Which will be the bigger hit next season in the Premier League? | Squawka News
Hapo kwenye wino mwekundu nakukumbusha tu kidogo...tuliwapiga 6-0 hao watu wako.
ligi gani mkuu?
sasa wewe hushangai mzee costa kacheza mechi chache kuliko dogo sanchez,angalia nafasi zao uwanjani ktk timu walizopitia,so kushindanisha hawa watu kwa idadi ya magoli hutendi haki,nakuheshimu sana mkuu August8 lakini kwa hapa umepotea,
jumlisha na zile 5 za pale darajani
Hoja yako ni nini?
Ozil anacheza ligi gani?
Per Met..anacheza ligi gani?
Andre Schurrle anacheza ligi gani?
Lukas Podolski anacheza ligi gani?
Pablo Zabaleta anacheza ligi gani?
Kun Aguero anacheza ligi gani?
na Dimichelis anacheza ligi gani?
Wote hao timu zao ndo zimeingia fainali, yaani, Argentina na Germany.
Alaf wewe unakaa hapa unadharau PREMIER LEAGUE..
Naanza kuamini maneno ya chilumendo..kwamba huenda kuna umamluki fulani humu ndani..:embarrassed: