huyu dogo Tomas Kalas aisee nimemkubali sana sikuteemea kama angeweza ku-defence kiac hiki,,bado tunavipaji sana the bluez, ndo nimetoka kuiangalia tena kwa mara nyingine full match namna tulivyowapiga liver
na maana nasema makocha wengine wanajidhalilisha tu hakuna kitu,,,unapoiponda tactic ya mwenzio wakti yako imefeli cjui hata mwenyewe unajionaje, Walikuwa wanataka wafunge kirahic wakati cc tumekuja kuchukua point tatu muhimumagoli yote yalianzia kati kati ya uwanja. makosa yao Gerrard akateleza tukachukua mpira toka 'kati' hadi golini mbona walishindwa kuzuia?
Kumbe wazembe sana hawa..
Goli la pili tumewavuta wakavutika kwenye goli letu; Dan Sturredge akapiga shuti tukaokoa mbele kwa Willian, Willian kwa Torres ..na Torres kwa Willian hatimaye gooooool;
LFC the past tense.
CFC the present tense.
anajidhalilisha tu, watu wote wako nyuma mbele hakuna watu unaruhu vipi kufungwa magoli mawili? Inamaana hauna wachezaji maana wamekosa mbinu za kufunga na kuzuia pia wameshindwa
Hapahitajiki ujuzi wowote wala akili yoyote kukusanya watu 11 na kuwaweka ndani ya 18..
CLASSLESS TEAM!!
View attachment 154389
huyo ndo special one
Nimezungumzia kujaza watu 11 ndani ya 18...Bytheway, ni nani na alitumia kipaji gani na ni kwenye mechi gani kutoka na mpira ndani ya boksi na kwenda kufunga?
LFC ordinary...with ball poss 75% kwa 25%..with chelshit refuse to play football and play handball...
na ana formula adimu na tofauti kabisahuyu jamaaa makocha wengi wanamchukia kwa sababu moja tu yeye hakuwahi kucheza mpira katika maisha yake na amekuwa na mafanikio mazuri.
huyu jamaaa makocha wengi wanamchukia kwa sababu moja tu yeye hakuwahi kucheza mpira katika maisha yake na amekuwa na mafanikio mazuri.
utawasikia wanasema Chelsea Fc hakuna vipaji.
Thomas Kalas #33.
Nathan Ake #27.
walikuwa kwenye list ya jana.
:smile-big:
na ana formula adimu na tofauti kabisa
Van Ginkel alikuwepo tayari kuwakabili Hao MBURUKENGE LOSERFOOL.
teh tehtehteh teh teh teh teh teh kama hapahitajiki ujuzi, mbona nyie mlishindwa?
Hiyo moja, mbili, hao watu 18 wote wakiwa upande wetu...magoli alifunga brendan rodgers na mourinho!??? Get the hell outta here man..unajiaibisha!!!!
Kasomesome basi hata wachambuzi wa mpira wanaongeleaje game ya jana kabla hujaja kupost vipicha vyenu vya mfa maji...gademu!
This is chelsea, the only epl side still in the ucl and only top side no other epl top side could win this season (home and away)! Whether we win the league or not, no one can take that away from us!!! Blue is the colour, football is the game [[chelseafc]]