Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Game ya Leo tumecheza kikubwa sana baada ya ujio wa Caicedo team yetu imeimarika sana nilichopenda Alonso anawabadilisha wachezaji position ndani mchezo Neto na Hato hawachezi wingback kwa asimilia 100 Kuna wakati Hato anakuwa kama left back in back 4 sometime wingback same to Neto hii imewachanga wapinzani tukiendelea hivi clean sheet zitapatikana sana
 
Mechi mbili mfululizo, Alonso amepanga 4-4-2 au 4-2-3-1. Ni watu tu wamekariri
 
Emiliano Martinez kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Asanteni kwa jumbe zenu, Operesheni imeenda vizuri. Jambo muhimu ni kwamba tumeshinda tena kwa clean sheet.
Tutarudi tena kwenye wiki chache zijazo

 
Emiliano Martinez kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Asanteni kwa jumbe zenu, Operesheni imeenda vizuri. Jambo muhimu ni kwamba tumeshinda tena kwa clean sheet.
Tutarudi tena kwenye wiki chache zijazo

View attachment 3692742
Nafasi kwa Mike Penders yakutuonesha ingawa Sina wasiwasi nae ni Kipa mzuri lakini kwenye hizo mechi atakazokosekana Martinez inabidi awe bora sana kiasi ambacho Emil Martinez hasionekane ni pengo ni kama alichofanya Hato jana na kizuri Alonso kaweza kutumia vizuri
 
YES, Henderson anafanya run nyingi sana kwa hiyo Caicedo anapata fursa ya kama DM, Enzo alikiwa akinasa kule mbele harudi kusaidia
Hapa najiuliza hivi kama James akirudi kwa hii performance ya Henderson sijui itakuaje na kumbuka huyu camptain wetu au Kocha atampeleka kwenye nafasi ya beki??
 
Hapa najiuliza hivi kama James akirudi kwa hii performance ya Henderson sijui itakuaje na kumbuka huyu camptain wetu au Kocha atampeleka kwenye nafasi ya beki??
Inavyoonekana Jordan Henderson ameingia na kuziba nafasi ya Granit Xhaka bure kabisa — zero transfer fee, full impact. Chelsea wamepata leadership ya mzee bila hata kufungua wallet.
 
Break news: Alex Scott amechagua kwenda Chelsea dhidi ya Liverpool kwenye dirisha dogo la Usajili baada ya kukataa kuongeza mkataba na team yake ya Bournemouth kazi imebaki kwa Chelsea kupeleka offer kwa team yake hiyo. Hii taarifa imetolewa na Fabrizio Romano vipi jamani mnaionaje huu Usajili?
 
Shida itabaki kwenye ada. Mchezaji ambaye mkataba wake unaisha 2028 hatakiwi kuuzwa zaidi ya pauni mil 60 Januari au Mil 50 July 2027
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…